chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Hawa watu hawajui uwezo wa Urusi kivita,hawajui nini wanaongea..Mleta mada takuwa umesikia story za waimba kwaya wakati wa mapumziko.
1. Israel haijawahi shambulia ndege ya Urusi. Ndege ya Urusi ilidunguliwa na jeshi la Syria mistakenly kwenye kile kinaitwa friendly fire. Jeshi la Syria halina capability ya Identification of Friend or Foe hivo hata dege zao zikiwa angani vigumu kuzitofautisha. Israel ililaumiwa kwa kuchukua cover kwenye ndege ya Urusi kwa kuwa RCS ya ile Ilyushin ni kubwa kuliko fighter jet.
Isitoshe Ururuki amewahi kudungua ndege ya Urusi, si kitu cha ajabu sana katika usalama.
2. Israel si kwamba hawezi shambuliwa kijeshi. Hata hii Egypt ya sasa hivi inaweza watia hasara nyingi tu. Ugaidi wamejitahidi sana kuupunguza lakini hauwezi kuisha. Hao Hezbollah wakipigana na Israel ni kutiana hasara na hakuna faida kwa pande zote. Na wote wanaogopana, utakuja bisha hapa.
3. Iran na Israel wanashambuliana kwa proxies. Hezbollah iliishambulia Israel kwa makombora kutoka Iran mwaka 2006. Kwa sasa Israel inahakikisha hawapati makombora yenye uwezo mkubwa. Iran inashambuliwa na cyber attacks nayo pia inashambulia kwa cyber attacks. Hakuna encounter ya majeshi yao ishawahi tokea.
4. Israel hana uwezo wa kuipiga Russia hata afanye nini. Ina any possible scenario, an all out war between Israel and Russia lazima hapo Bethlehem, Bethsaida, Jerusalem, Jericho, Tel Aviv na kona nyingine pachafuke. Israel ana meli tatu za kijeshi na subs tano sijui. Black fleet tu ya Russia inatosha kuinyanyasa navy yao. Southern military district ya Russia inatosha kupigana na wanajeshi chini ya laki, vifaru vyao Merkava chini ya 500, ndege zao F-16, F-5, F-35 chini ya 200.
Mfano,vita vita vya Syria vimebadilika baada ya Mrusi kuingilia Kati,Ardhi yote ilivyokuwa imechuliwa na vikundi vilivyokuwa vinadhaminiwa na Marekani imerudishwa kwa serikani na majeshi ya Syria yanayo ungwa mkono na Urusi o