Israel yapiga inapotaka haimuogopi mtu na hakuna anayewalaumu

Mleta mada takuwa umesikia story za waimba kwaya wakati wa mapumziko.
1. Israel haijawahi shambulia ndege ya Urusi. Ndege ya Urusi ilidunguliwa na jeshi la Syria mistakenly kwenye kile kinaitwa friendly fire. Jeshi la Syria halina capability ya Identification of Friend or Foe hivo hata dege zao zikiwa angani vigumu kuzitofautisha. Israel ililaumiwa kwa kuchukua cover kwenye ndege ya Urusi kwa kuwa RCS ya ile Ilyushin ni kubwa kuliko fighter jet.
Isitoshe Ururuki amewahi kudungua ndege ya Urusi, si kitu cha ajabu sana katika usalama.

2. Israel si kwamba hawezi shambuliwa kijeshi. Hata hii Egypt ya sasa hivi inaweza watia hasara nyingi tu. Ugaidi wamejitahidi sana kuupunguza lakini hauwezi kuisha. Hao Hezbollah wakipigana na Israel ni kutiana hasara na hakuna faida kwa pande zote. Na wote wanaogopana, utakuja bisha hapa.

3. Iran na Israel wanashambuliana kwa proxies. Hezbollah iliishambulia Israel kwa makombora kutoka Iran mwaka 2006. Kwa sasa Israel inahakikisha hawapati makombora yenye uwezo mkubwa. Iran inashambuliwa na cyber attacks nayo pia inashambulia kwa cyber attacks. Hakuna encounter ya majeshi yao ishawahi tokea.


4. Israel hana uwezo wa kuipiga Russia hata afanye nini. Ina any possible scenario, an all out war between Israel and Russia lazima hapo Bethlehem, Bethsaida, Jerusalem, Jericho, Tel Aviv na kona nyingine pachafuke. Israel ana meli tatu za kijeshi na subs tano sijui. Black fleet tu ya Russia inatosha kuinyanyasa navy yao. Southern military district ya Russia inatosha kupigana na wanajeshi chini ya laki, vifaru vyao Merkava chini ya 500, ndege zao F-16, F-5, F-35 chini ya 200.
Hawa watu hawajui uwezo wa Urusi kivita,hawajui nini wanaongea..

Mfano,vita vita vya Syria vimebadilika baada ya Mrusi kuingilia Kati,Ardhi yote ilivyokuwa imechuliwa na vikundi vilivyokuwa vinadhaminiwa na Marekani imerudishwa kwa serikani na majeshi ya Syria yanayo ungwa mkono na Urusi o
 
Katika miaka hii ya karibuni inaonekana taifa dhalimu la Israel limezidi kiburi chake,linapiga linapotaka bila kumuogopa yeyote na hakuna anayeilaumu kwa matendo yake haya isipokuwa wale wanaopigwa.

Imekuwa ni habari za kawaida kusikia imepiga hapa na pale Syria na hivi karibuni inakwenda mbali mpaka Iran na Lebanon.Kuna siku wamefika mpaka Libya na hata Urusi imewahi kuonja kipigo cha Israel pale ndege yake ya kijeshi ilipotunguliwa na kuuwa askari kadhaa takriban 50.

Kwa upande wa miji ya Palestina ikiwemo Gaza ndio kabisa wanapiga na hata kufanya kama sehemu za kujaribia silaha zake.

Kinachoshangaza ni kuwa hakuna kulaaniwa kwa wazi kutoka kwa jumuiya ya kimataifa na hata ikifanyika basi huwa ni kwa juu juu basi na hakuna natija inayopatikana kabla hawajarudia kupiga pale pale walipopiga mwanzo.

Jambo linalotisha na kusikitisha zaidi ni kuona mataifa ya kiarabu ambayo yana udugu wa karibu zaidi na Palestina pamoja na jeuri hiyo ya Israel yapo yanayorejesha uhusiano na Israel na kupuuza wazi wazi yale yanayotendwa na Israel kwa ndugu zao wakati huo huo wanapofanya makubaliano ya kurejesha uhusiano.
Kwani Nani anaewalaumu waarabu kwa kuvamia Africa na kufanya Ni nchi zao from Misri,Libya,Tunisia,Algeria na Morocco....

Sasa unataka tuilaumu Israel ambayo imerud kwen nchi yake baada ya kufurumushwa miaka mingi iliyopita na ardhi kutawaliwa na waarabu...
Tuilaumu Israel kwa kujaribu kujilinda na kupambana na ambao hawataki taifa Hilo kuwepo
 
Sina uhakika kama israel washajaribu kufanya mashambilizi ndani ya Iran.
Bas hujui chochote.....tangu kuanzishwa kwa Israel wameshafanya mashambulizi zaidi ya 2700 middle East nzima.....
Iran ndo usiseme miaka ya 2015's walikua wanaendesha assassination ya wanasayansi wa Iran Tena ndan ya nchi hiyo.....
 
Kwani Nani anaewalaumu waarabu kwa kuvamia Africa na kufanya Ni nchi zao from Misri,Libya,Tunisia,Algeria na Morocco....

Sasa unataka tuilaumu Israel ambayo imerud kwen nchi yake baada ya kufurumushwa miaka mingi iliyopita na ardhi kutawaliwa na waarabu...
Tuilaumu Israel kwa kujaribu kujilinda na kupambana na ambao hawataki taifa Hilo kuwepo
Historia hiyo umeisoma wapi kwamba waarabu walivamia nchi za Afrika na kuzifanya zao.Ukweli ni kuwa waarabu ni wakaazi wa Afrika na sehemu kubwa ya waarabu wanakaa Afrika.Yawezekana pia waarabu walihama Afrika hapo zamani na kuhamia mashariki ya kati kwani hata katika Qur'an kuna maneno Mwenyezi Mungu aliyoyatumia na wale waarabu wa kule tunakokuita Arabuni sasa hawakujua maana yake na ilhali Mtume Muhammad ambaye naye ni mwarabu hakuwahi kuja Afrika.Hii ni moja ya ithibati kuwa Qur'an ni maneno ya Mwenyezi Mungu ambaye akiwa kwenye arshi yake anaona kote Afrika na anasikia yote na anajua lugha zote za zama zote tangu enzi za Adam A.S.
Kwa upande wa Israel kila mtu anajua njama zilizofanyika mwaka 1947 kwa ushirikiano na mataifa kadhaa ya Ulaya kuwaleta watu kwenye maeneo ambako wenyewe wapo na kuwafurusha ili wakae wao.
 
Vilaza wengi wanaandika pumba tu humu .
Israel haijawahi angusha ndege ya Russia na haitajaribu kufanya hiyo kosa .

Ndege ya Russia ilipata friendly fire kutoka kwa Syrian army wakati SAA wanajaribu kuangusha ndege ya Israel iliyovamia anga la Syria.
 
Inawaonea wapalestina ijaribu kupiga iran waone matokeo
Iran Ki jiografia haina mpaka na Israel ndugu....hata hao Iran kuipiga Israel sio rahisi.

Israel analazimika kushambulia vituo au makundi yanayosapotiwa na Iran yanayokuwa kwenye nchi zilizo karibu nao, ambazo ni Syria, Palestina n.k....hata hayo Makundi yanayoisumbua Israel ni kazi mikakati ya Iran kupunguza umbali walio nao na Israel.

Mambo sio rahisi kama mnavyofikiri mnapokuwa mmetenganishwa na nchi nyingine, sana sana mtalazimika kukubaliana na nchi nyingine wawasaidie.

Ndio maana utaona mara nyingi Israel akichokozwa na Hezbollah anatembeza kichapo cha nguvu maana anajua ni kazi ya Iran.
 
Siku Iran akijaribu hata kurusha punje ya mchanga Pale Israel itakua ndo mwisho wao hapa duniani, ni kama ilivyotokea kwa Wafilisti
Iran huwa haanzi vita mpaka awe provoked, sasa tunataka hao wayahudi feki wawachokoze waajemi waone mziki wake.

Israel huwa anaonea vikundi vya wanamgambo kama Hamas anajua hawana la kutishia.
 
Iran huwa haanzi vita mpaka awe provoked ,sasa tunataka hao yahudi feki wawachokoze waajemi waone mziki wake.

Israel huwa anaonea vikundi vya wanamgambo kama Hama's anajua hawana la kutishia.

Yule ayatollah atageuzwa mavumbi ndani ya sekunde moja, amuulize Qasem soleiman kilichomkuta........Natamani sana siku moja itokee vita kati ya Israel na Iran ili ubishi uishe
 
Lilikuwa,mpaka pale Walipomkataa Mungu na kila aliewatuma,wamekataa mpaka Isa aka Yesu aka Jesus aka Kriato

Mungu aliwapa baraka zake zote Warabu, kabla ya Uislam Warabu walikuwa hawajulikani kabisa,taifa la Saudi ndio taifa teule kwa Mungu aka Allah

Waisraile hivi Sasa ni taifa Onevu,linatapatapa linashambulia kila kona,halijiamini,linaogopa majirani zake..

Tafakari
Kunywa maji ya baridi punguza presha....... Israel ni taifa teule la Mungu wa kweli sio allah
 
Back
Top Bottom