ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,313
- 19,955
Kufuatia vita vikali kuwahi kushuhudiwa inayo endelea kati ya Israel na kundi la hamas, Israel meomba msaada wa silaha kutoka Marekani ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa silaha unao ikabili ili iweze kukabiliana na kundi la hamas.
Ikulu ya Marekani imekubali ombi la Israel na umetuma meli zake kwenye bahari ya medterania ili iweze kuipatia msaada wa kijeshi na silaha unao hitajika kwa mshirika wake huyo.
Hofu umeibuka kwa viongozi wa Ukraine ya kuwa wenda silaha ambazo zingepelekwa nchi humo kwa ajili ya kuisaidia kupambana na Urusi zikapelekwa nchini Israel kwa ajili ya kupabana na hamas hivyo kuwa kwenye hatari ya kushindwa vita dhidi ya Urusi.
Kutokana na hofu hiyo duru zinasema rais wa Ukraine amekuwa akifanya mazungumzo na rais Baden ili kumshawishi ahishinikize Israel iingie makubaliano ya kusitisha mapigano na kundi la hamas.
Chanzo BBC,Aljazeera.
View attachment 2776376View attachment 2776378