Israel yaomba msaada wa silaha kutoka Marekani

Israel yaomba msaada wa silaha kutoka Marekani

Kuna mtu alisemaga Israel anaweza kuvimbiana na Iran uso kwa uso bila msaada.

Nikasikiaga hata Ureusii anaweza kupasuka head to head.

Vjva Putin.
US kapigwa kwenye Mshono atamsahau mtoto wa kambo sasa.
 
Hii ndo pigo baya ambalo Israel amepigwa hamas amemfanyia suprise mbaya sana wenyewe wameshavurugwa yan mpaka mmarekan alete siraha tena dhidi yahamas! Israeli sijui atafanya nin tena ili kurudisha ile hishima yake dunian kuhusu mossad
 
Kuna mtu alisemaga Israel anaweza kuvimbiana na Iran uso kwa uso bila msaada.

Nikasikiaga hata Ureusii anaweza kupasuka head to head.

Vjva Putin.
US kapigwa kwenye Mshono atamsahau mtoto wa kambo sasa.
Huyu huyu Iran aliyepigana na Iraq miaka 8 ndio mnampa kichwa hivyo. Alisema Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia sijui karne gani hiyo itakuwa.
 
Yaani nimeamini ni ngumu watanzania kutoka kwenye makucha ya CCM kwa akili hizi duh, hadi najiuliza viwango vya elimu ya watanzania jamani.

Lini Israel ilipeleka silaha Ukraine au huku ndio kupagawa kwa wajinga jamani, Hamas wamekimbia au wamemalizwa ndani ya mipaka ya Israel, sasa ni zamu ya mateso makali kwa watu wa gaza.

Ee Mwenye Mungu, simama na watu wako wa Gaza, sio matakwa yao bali ni magaidi wachache wanaotumika kwa maslahi ya Iran wala sio maslahi ya watu wako wa Gaza.

Saizi Iran wako mbali, wamekaa futi maelfu, kazi yao ni kutoa matamko bila msaada wowote kwa watu wa Gaza, wakati ambapo wanaume kutoka Israel wanaingia kwa hasira kwao
Ila we jamaa boya sana halafu unajiona et mjanja nmeiheshimu Israel kwamuda wote ila kwahili wamejivua nguo pakubwa wameweza kuvamiwa ndan kabisa bila mossad kubaini wakat kipind chanyuma wangezima jaribio hata kabla halijatokea, makamanda kibao wa IDF wametekwa marekan kaombwa msaada fasta
 
Kufuatia vita vikali kuwahi kushuhudiwa inayo endelea kati ya Israel na kundi la hamas, Israel meomba msaada wa silaha kutoka Marekani ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa silaha unao ikabili ili iweze kukabiliana na kundi la hamas.

Ikulu ya Marekani imekubali ombi la Israel na umetuma meli zake kwenye bahari ya medterania ili iweze kuipatia msaada wa kijeshi na silaha unao hitajika kwa mshirika wake huyo.
Hofu umeibuka kwa viongozi wa Ukraine ya kuwa wenda silaha ambazo zingepelekwa nchi humo kwa ajili ya kuisaidia kupambana na Urusi zikapelekwa nchini Israel kwa ajili ya kupabana na hamas hivyo kuwa kwenye hatari ya kushindwa vita dhidi ya Urusi.
Kutokana na hofu hiyo duru zinasema rais wa Ukraine amekuwa akifanya mazungumzo na rais Baden ili kumshawishi ahishinikize Israel iingie makubaliano ya kusitisha mapigano na kundi la hamas.
Chanzo BBC,Aljazeera.View attachment 2776376View attachment 2776378
Siku mbili tu wanaomba silaha
 
ITR acha akili za CCM hapa, hivi na wewe ni GT kweli mbona wewe ni muongo hivi? yaani umekaa kiumbea umbea wewe mwanamke!

Hakuna vita vikali ambayo haijawahi kushuhudiwa inayoendelea kati ya Hamas na Israel hivi sasa tuwe wakweli tuache akili za kinyani hapa.

Hivi kwako wewe na akili yako, vita vikali ni kuvizia raia wakiwa kwenye tamasha? kwako vita vikali ni kuua raia watoto, wanawake, wazee? may be wewe ni binti mdogo hujui historia Israel imeshinda vita vingi na hatari sana.

Tuwaombee Gaza sio kushangilia ujinga, wakati magaidi hao tayari wamewasha moto ambao ni ngumu kwao kuzima aise,mimi uwa nawaonea huruma sana wazee, wanawake na watoto wa Gaza.

Watu wa Gaza nao ni binadamu jamani, tuwaombee na tushikamane na watu wa Gaza jamani.
watu wa Gaza ni wapumbav sana , huez enda kuua wenzio halaf utegemee usijibiwe , wao wanawalea HAMAS unategema Israel anaenda kujibia wap?
 
Yaani nimeamini ni ngumu watanzania kutoka kwenye makucha ya CCM kwa akili hizi duh, hadi najiuliza viwango vya elimu ya watanzania jamani.

Lini Israel ilipeleka silaha Ukraine au huku ndio kupagawa kwa wajinga jamani, Hamas wamekimbia au wamemalizwa ndani ya mipaka ya Israel, sasa ni zamu ya mateso makali kwa watu wa gaza.

Ee Mwenye Mungu, simama na watu wako wa Gaza, sio matakwa yao bali ni magaidi wachache wanaotumika kwa maslahi ya Iran wala sio maslahi ya watu wako wa Gaza.

Saizi Iran wako mbali, wamekaa futi maelfu, kazi yao ni kutoa matamko bila msaada wowote kwa watu wa Gaza, wakati ambapo wanaume kutoka Israel wanaingia kwa hasira kwao
kqma ww ni muislam wanapaswa kukupa uongoz , unajielewa sana , HAMAS anawaponza wapalestina kwa maslai ya iran
 
Ww ni mpumbavu , unataka watz kujikomboa kutoka kwenye makucha ya CCM ila hutaki wapalestina wajikomboe kwenye makucha ya Israel? hivi una akili kweli?
kwan kati ya Wapalestina na Israel nan huwa anamuanza kumpiga mwenzie ? je israel ingekuwa dhaifu si wangekuwa washawachinja waisrael , mhalifu hatetew hata akishindwa fanikisha malengo yake
 
Nitolee mihemko yako ya kijinga hapa.

Hao raia wana tafuta nn kwenye ardhi za wapalestina?
Alafu kama unge kuwa ina huruma na wapalestina ungeiambia Israel iondoke kwenye ardhi za wapalestina.
kwann hao waisrael waliingia kwenye ardhi ya wapalestina?
 
Kweli mmenyimwa akili na ndio maana unakataa jambo ambalo ni kweli.

Unapambana na kikundi kidogo cha wahuni kwa siku mbili umesha anza kuomba misaada ya silaha alafu eti ndo huyu anaye jitapaga eti ana taka kuingia virani na Iran, siku akijichanganya atafirwa mchana kweupe.
sw huyo dhaif mdunden bas , ww si una akili sana
 
Ww ni mpumbavu , unataka watz kujikomboa kutoka kwenye makucha ya CCM ila hutaki wapalestina wajikomboe kwenye makucha ya Israel? hivi una akili kweli?
mzarendo wa parestina na sio mzarendo wa nchi yako Tz..doh ajabu sn!
 
Hii ndo pigo baya ambalo Israel amepigwa hamas amemfanyia suprise mbaya sana wenyewe wameshavurugwa yan mpaka mmarekan alete siraha tena dhidi yahamas! Israeli sijui atafanya nin tena ili kurudisha ile hishima yake dunian kuhusu mossad
Sote tunaona kinachoendelea sasa hivi huko Gaza,Netanyahu anaporomosha makombora hadi siyo poa.Ki Nchi chenyewe kimebanana kama mitaa ya K.Koo kinavurugwa kila corner.HAMAS walikuwa wanafikiria nini kuanzisha hii taharuki na sasa wananchi wao wamekimbilia kwa shule za UN kujihifadhi.
 
watu wa Gaza ni wapumbav sana , huez enda kuua wenzio halaf utegemee usijibiwe , wao wanawalea HAMAS unategema Israel anaenda kujibia wap?
Halafu wanavyojiliza sasa huko Aljazeera,utadhani walikuwa hawajui kinachokwenda kuwakuta.Wakiendelea kuwaendekeza HAMAS watakuwa wanatandikwa mpaka wachakae
 
kqma ww ni muislam wanapaswa kukupa uongoz , unajielewa sana , HAMAS anawaponza wapalestina kwa maslai ya iran
Wapalestina wakiendelea kuwaona HAMAS ni wakombozi wao,wakubaliane pia na kinachowakuta sasa hivi.
 
Sote tunaona kinachoendelea sasa hivi huko Gaza,Netanyahu anaporomosha makombora hadi siyo poa.Ki Nchi chenyewe kimebanana kama mitaa ya K.Koo kinavurugwa kila corner.HAMAS walikuwa wanafikiria nini kuanzisha hii taharuki na sasa wananchi wao wamekimbilia kwa shule za UN kujihifadhi.
Sasa badala wawafuate hamas kwenye medani wapambane wao wamegeukia kwenye kulipua majengo haya ni maajabu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] alafu eti hili ndo jeshi linalo jitapa kuwa linaweza kuikabili Iran.
 
Wapalestina wakiendelea kuwaona HAMAS ni wakombozi wao,wakubaliane pia na kinachowakuta sasa hivi.
Wapalestina hawana cha kupoteza.
 
Back
Top Bottom