Ndio, silaha hutolewa Israel kupelekwa Ukraine.Lini Israel ilipeleka silaha Ukraine au huku ndio kupagawa kwa wajinga jamani, Hamas wamekimbia au wamemalizwa ndani ya mipaka ya Israel,
Kweli waafrika tumenyimwa akili.Duu ngoja tuone ila sasa na Israel yenyewe ina kuwaje ana kata pumzi mapema hovyo?
Umenena vyema mkuu.ITR acha akili za CCM hapa, hivi na wewe ni GT kweli mbona wewe ni muongo hivi? yaani umekaa kiumbea umbea wewe mwanamke!
Hakuna vita vikali ambayo haijawahi kushuhudiwa inayoendelea kati ya Hamas na Israel hivi sasa tuwe wakweli tuache akili za kinyani hapa.
Hivi kwako wewe na akili yako, vita vikali ni kuvizia raia wakiwa kwenye tamasha? kwako vita vikali ni kuua raia watoto, wanawake, wazee? may be wewe ni binti mdogo hujui historia Israel imeshinda vita vingi na hatari sana.
Tuwaombee Gaza sio kushangilia ujinga, wakati magaidi hao tayari wamewasha moto ambao ni ngumu kwao kuzima aise,mimi uwa nawaonea huruma sana wazee, wanawake na watoto wa Gaza.
Watu wa Gaza nao ni binadamu jamani, tuwaombee na tushikamane na watu wa Gaza jamani.
Tena ni hasira nzito, damu inamwagika kwelikweli ya Wapalestina. Kuna clip nimeona Israel inatumia gas kuua Wapalestina. Waarabu ni wana laana fulani hivi.Yaani nimeamini ni ngumu watanzania kutoka kwenye makucha ya CCM kwa akili hizi duh, hadi najiuliza viwango vya elimu ya watanzania jamani.
Lini Israel ilipeleka silaha Ukraine au huku ndio kupagawa kwa wajinga jamani, Hamas wamekimbia au wamemalizwa ndani ya mipaka ya Israel, sasa ni zamu ya mateso makali kwa watu wa gaza.
Ee Mwenye Mungu, simama na watu wako wa Gaza, sio matakwa yao bali ni magaidi wachache wanaotumika kwa maslahi ya Iran wala sio maslahi ya watu wako wa Gaza.
Saizi Iran wako mbali, wamekaa futi maelfu, kazi yao ni kutoa matamko bila msaada wowote kwa watu wa Gaza, wakati ambapo wanaume kutoka Israel wanaingia kwa hasira kwao
Ww ni mpumbavu sasa hapo mwenye laana ni nani kati ya waarabu na hao mayahudi wanao uwa binadamu mwenzao kwa gesi?Tena ni hasira nzito, damu inamwagika kwelikweli ya Wapalestina. Kuna clip nimeona Israel inatumia gas kuua Wapalestina. Waarabu ni wana laana fulani hivi.
Israel haijapeleka silaha Ukraine na ilikuwa ikisema walizo nazo haziwatoshiupungufu mkubwa wa silaha Israel, hasa ni kwakuwa walizipeleka huko huko Ukraine
Hamas wakatonywa
Kweli mmenyimwa akili na ndio maana unakataa jambo ambalo ni kweli.Kweli waafrika tumenyimwa akili.
Sasa huo upungufu umetokana na nn?Israel haijapeleka silaha Ukraine na ilikuwa ikisema walizo nazo haziwatoshi
Walahi Iwapo Palestina ingetaka amani kungekuwa na amani ya kumwaga. Israel ingetaka vita kusingekuwa na Palestina ingekuwa story...Umeongea jambo zito sana. Ila kamwe siwezi kushikamana na magaidi. Wanapewa umeme, chakula nk halafu bado wanaleta....
Kaa kwa kutulia ndio utajua mwenye ardhi ni nani.Nitolee mihemko yako ya kijinga hapa.
Hao raia wana tafuta nn kwenye ardhi za wapalestina?
Alafu kama unge kuwa ina huruma na wapalestina ungeiambia Israel iondoke kwenye ardhi za wapalestina.
Bado,hao kupigana hawakuanza leoHii ni vita kuu ya tatu ya dunia
Duh!wamefanikiwa kutuaminisha wao ni bora na wana uwezo mkubwa..na mtu km wewe tayari umeshaamini hivyo,na ndio maana unawaza hivyo,vita ina njia nyingi za kupata ushindi sio silaha wala ukubwa wa jeshi..wewe unafikiri Hamas wangekuwa na jeshi kamili Israel wangewaweza??au Taleban waingie vitani na Israel,Israel watawaweza?wamagharibi kupitia Media zao wanauaminisha ulimwengu kwamba wao ndio bora kwa kila kitu.Walahi Iwapo Palestina ingetaka amani kungekuwa na amani ya kumwaga. Israel ingetaka vita kusingekuwa na Palestina ingekuwa story...
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Ardhi ya baba yako.Kaa kwa kutulia ndio utajua mwenye ardhi ni nani.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app