Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Polisi ya Israel inamshikilia waziri kutokea Palestine anayehusika na mambo ya mji wa Jerusalem
Bwana fadi al hadam alitiwa mbaroni akiwa nyumbani kwake na amehojiwa kuhusu mienendo yake awapo katika eneo takatifu la wayahudi , Al Aqsa
Inadaiwa pia amekuwa akitumia eneo hilo kupanga hila dhidi ya Israel
Hongereni police ya Israel kwa kufanya kazi kwa weledi