Israel yamkamata waziri mtukutu kutoka Palestine ananyea ndoo siku ya tatu leo

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Polisi ya Israel inamshikilia waziri kutokea Palestine anayehusika na mambo ya mji wa Jerusalem
Bwana fadi al hadam alitiwa mbaroni akiwa nyumbani kwake na amehojiwa kuhusu mienendo yake awapo katika eneo takatifu la wayahudi , Al Aqsa
Inadaiwa pia amekuwa akitumia eneo hilo kupanga hila dhidi ya Israel

Hongereni police ya Israel kwa kufanya kazi kwa weledi
 
Mkuu, sio kwa sifa hizo tenaa 😁😁 Muisrael anakutambua wewe ni Sokwe tu usiekuwa na thamani yoyote kwao. Halafu hao hao walimsulubu Mungu wako unaemuomba kila day 😁😁
 
Bora mungu wetu wa kusulubiwa. Kuliko wenu mmefanya kachanganyikiwa na kumuweka wakati mgumu na Dilemma aegemee wapi kati ya Shia Iran ama sunni Saudi Arabia
 
Polisi ya Israel inamshikilia waziri kutokea Palestine anayehusika na mambo ya mji wa Jerusalem
Bwana fadi al hadam alitiwa mbaroni akiwa nyumbani kwake na amehojiwa kuhusu mienendo yake awapo katika eneo takatifu la wayahudi , Al Aqsa
Inadaiwa pia amekuwa akitumia eneo hilo kupanga hila dhidi ya Israel
Hongereni police ya Israel kwa kufanya kazi kwa weledi
Wapalestina na Waisrael wa kawaida wao wanasemaje kwani?
 
Sipo kwenye muktadha uliyopo baina yako na uliyemkoti. Bali suala langu ni kukumbushana kuhusu mchango wa jamii tofauti tofauti uliyowezesha wakazi wa Dunia kwenye kurahisisha miamala mbalimbali.

Maendeleo ya Dunia yamechangiwa na jamii tofauti tofauti, miongoni mwao ni Waarabu. Nitakupa mifano hai 2. Logarithms na Al jebra zimegunduliwa na Waarabu. Na manufaa ya Log na Al jebra yananufausha Dunia kwa sehemu kubwa mpaka sasa.
Mwarabu ana mchango gani katika hii dunia zaidi ya kunywa kahawa na kujilipua
 
Polisi ya Israel inamshikilia waziri kutokea Palestine anayehusika na mambo ya mji wa Jerusalem
Bwana fadi al hadam alitiwa mbaroni akiwa nyumbani kwake na amehojiwa kuhusu mienendo yake awapo katika eneo takatifu la wayahudi , Al Aqsa
Inadaiwa pia amekuwa akitumia eneo hilo kupanga hila dhidi ya Israel

Hongereni police ya Israel kwa kufanya kazi kwa weledi
Alisha achiwa jana
 
Back
Top Bottom