Hao tangu enzi na enzi ni vita juu ya vita.Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran.
Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk.
Al Jazeera
Zama tu zaman mapanga ,mikuki ila sasahiv Mabomu na Bunduki ila hawa DNA ni zilezileHao tangu enzi na enzi ni vita juu ya vita.
Ni sehemu ya maisha Yao.
1.Lenanon
2. Waamori
3. Waamoni
4. Wa Edom
5. Wagiliathi
6. Wa Amaleki
7. Wa Ashuru
8. Wa Babeli
9. Washami( washamu)
10. Wamisri
Haya maeneo tangu kuumbwa Ulimengu ni vita juu ya vita.
They have beeb fighting over years and years.Zama tu zaman mapanga ,mikuki ila sasahiv Mabomu na Bunduki ila hawa DNA ni zilezile
Na ninasikia japo ni kanchi kadogo ila kana nuclear bombs ndio maana irani haingii kichwa kichwa etHao tangu enzi na enzi ni vita juu ya vita.
Ni sehemu ya maisha Yao.
1.Lenanon
2. Waamori
3. Waamoni
4. Wa Edom
5. Wagiliathi
6. Wa Amaleki
7. Wa Ashuru
8. Wa Babeli
9. Washami( washamu)
10. Wamisri
Haya maeneo tangu kuumbwa Ulimengu ni vita juu ya vita.
Myahudi hapepesi macho kwenye kupambana na ugaidiIsrael hacheki na kima.
Anamtamani sana Houthis ila umbali
wafe tuIsrael imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran.
Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk.
Al Jazeera
Umbali kati ya Yemen na Israel ni kikwazoMyahudi hapepesi macho kwenye kupambana na ugaidi
WAnasema israel yuko hoi bin taaban baada ya kupokea kichapo kwa hamasSafi sana,magaidi lazima waadabishwe.
Kabisa mkuu!Umbali kati ya Yemen na Israel ni kikwazo
Hizi SAM tuliambiwa hakuna jet fighter yeyote duniani inayoweza kupenya kwenye uzio wake,kumbe ilikua ni blah blah,tukumbushane zile SAM za Bekaa Valley maneno yakawa mengi,mwisho wa siku zikageuzwa majivuSAM mbele ya F-35 Adir😂
Kobazi kwa kujifariji hawajambo,hata enzi za utawala wa sadamu propaganda zilikuwa hizo hizo mpaka sadamu anachomolewa kwenye shimo na kunyongwa.WAnasema israel yuko hoi bin taaban baada ya kupokea kichapo kwa hamas