Putin atakuwa mwiba dhidi ya Afrika Kusini katika kesi yao dhidi ya Israel mahakama ya ICC

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,641
46,290
Ikiwa mawakili wanaoitetea Israel wataiuliza Africa Kusini tu kama watatekeleza waranti ya ICC ya kukamatwa kwa Putin endapo atatembelea nchi yao wanaweza kuuharibu kabisa kesi hiyo kwani Africa Kusini itakuwa na kigugumizi kizito.

Kwa hiyo mashiko ya utetezi wa Israel katika kesi hiyo yanaweza kujengeka kwamba ikiwa Africa Kusini haiheshimu mamlaka na hadhi ya mahakama ya ICC linapokuja suala la kumkamata Putin na kama ambavyo ilipuuza kumkamata Omar Al Bashiri wa Sudan kwa makosa ya genocide kwa kwa nini imeleta kesi dhidi ya Israel sasa na kwa nini kesi hiyo iheshimike wakati Africa Kusini ina double standards!

Inaweza kuwa kesi nyepesi sana.
 
Ikiwa mawakili wanaoitetea Israel wataiuliza Africa Kusini tu kama watatekeleza waranti ya ICC ya kukamatwa kwa Putin endapo atatembelea nchi yao wanaweza kuuharibu kabisa kesi hiyo kwani Africa Kusini itakuwa na kigugumizi kizito.

Kwa hiyo mashiko ya utetezi wa Israel katika kesi hiyo yanaweza kujengeka kwamba ikiwa Africa Kusini haiheshimu mamlaka na hadhi ya mahakama hiyo linapokuja suala la kumkamata Putin kwa nini imeleta kesi dhidi ya Israel sasa!

Inaweza kuwa kesi nyepesi sana.
Mbona walishavuka huko!?, walimzuia Putin asiende south Afrika ili kuheshimu sheria za kimataifa na kuonyesha Utii kwa ICC. kwahiyo jibu litakuwa ndio tupo tayati, hakuna ugumu hapo.
 
ANC wanafiki na wazandiki walienda Ukraine wakatukanwa, waliomba Ukraine iliyovamiwa iongee na wavamizi Urusi, leo KIHEREHERE cha kujidai wanawatetea Waarabu walioua Waisraeli na watanzanis wasiguswe!
 
Ikiwa mawakili wanaoitetea Israel wataiuliza Africa Kusini tu kama watatekeleza waranti ya ICC ya kukamatwa kwa Putin endapo atatembelea nchi yao wanaweza kuuharibu kabisa kesi hiyo kwani Africa Kusini itakuwa na kigugumizi kizito.

Kwa hiyo mashiko ya utetezi wa Israel katika kesi hiyo yanaweza kujengeka kwamba ikiwa Africa Kusini haiheshimu mamlaka na hadhi ya mahakama hiyo linapokuja suala la kumkamata Putin kwa nini imeleta kesi dhidi ya Israel sasa!

Inaweza kuwa kesi nyepesi sana.
Ishu ya Putin na Ukraine ni tofauti sana na kesi ya Gaza. Gaza ni sehemu ya Israel.
Ila mwisho wa siku Israel itakuja kutambua unyama wao na itakuwa too late.
 
Mbona walishavuka huko!?, walimzuia Putin asiende south Afrika ili kuheshimu sheria za kimataifa na kuonyesha Utii kwa ICC. kwahiyo jibu litakuwa ndio tupo tayati, hakuna ugumu hapo.
Kuna suala la Omar Al-Bashir wa Sudan pia ambaye waligoma kumkamata na kumpeleka ICC kwa makosa kama haya wanayoishitaki Israel mahakama ya ICJ alipotembelea nchi yao!
 
Mkuu kuna tofauti ya ICC na ICJ kuna mahali unchanganya japo hoja yako nzuri.
 
Kuna suala la Omar Al-Bashir wa Sudan pia ambaye waligoma kumkamata na kumpeleka ICC kwa makosa kama haya wanayoishitaki Israel mahakama ya ICJ alipotembelea nchi yao!
Hapo sasa ndio waliisaliti mahakama kikamilifu,hata hivyo bado haijajitoa na haijawahi kukana kuitambua ICC,pia sio taifa la kwanza kwenda kinyume na amri za ICC na ndio maana wamepokea na kuanza kulifanyia kazi shauri lao.
 
Back
Top Bottom