Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM.

Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama, yaani jamaa wanafyatua kombora wakiwa kwenye maeneo ya watoto, kisha wanakimbia na kukaa mbali na kamera, kombora lao linapanguliwa na mifumo ya Israel yenye uwezo pia wa kun'ghamua wapi kombora limetokea, wanajibu na kupiga hapo mahali, HAMAS na kamera zao wanachukua tukio la watoto kufumuliwa kisha wanarusha kwenye mitandao ya kijamii.....hapo dunia hususan wenzetu wa kubwatuka akbar akbar hawashikiki kwa hamaki
===============

Israel manufactures and deploys technologically sophisticated and diverse ballistic missile, cruise missile, and missile defense systems. 1 Several overarching themes characterize Israel’s missile program. First, Israel’s strategy of maintaining a “qualitative military edge” over potential adversaries motivated the country to rapidly develop one of the region’s most capable missile production infrastructures, and to deploy the region’s most advanced missile systems.
2 Second, Israel’s space program provides an additional venue for advanced ballistics science and rocketry engineering, and has collaborated technologically with Israel’s missile community. 3 Third, Israel has often offset the high costs of developing and maintaining a superior missile capability both by entering into international development collaborations and by exporting and licensing its missile technology.
4 Finally, Israel has developed a layered and multi-faceted portfolio of both offensive and defensive missile programs to address the aerial threats posed by a diverse set of both state and non-state actors, operating from different geographic locations and equipped with different types of weaponry.
Mleta mada unataka kututhibitishia kweli una tatizo la afya ya akili
 
sasahiv una heshima sana!

Ndugu captain fire,

Mimi nakukubali sana, unajua ukiwa unajadiliana na mtu yeye akawa anapaniki wewe uka lower your voice.

Mara nyingi ukiongea kwa utaratibu utasikilizwa, chukua hii na utaonekana ume win, mtu akikutukana unachukua point tatu muhimu.

Na ana lose pakubwa.

Kuwa humble jadili kwa ustaarabu, huwezi jua ipo siku tukasaidiana.

dini zisitufanye wajinga kiasi hichi.
Kuna muda na panic kutokana na maneno ya watu yanayoudhi ila najitahidi kwa sasa pia nimeona kubishana na mjinga ni kujipotezea muda
 
Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM.

Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama, yaani jamaa wanafyatua kombora wakiwa kwenye maeneo ya watoto, kisha wanakimbia na kukaa mbali na kamera, kombora lao linapanguliwa na mifumo ya Israel yenye uwezo pia wa kun'ghamua wapi kombora limetokea, wanajibu na kupiga hapo mahali, HAMAS na kamera zao wanachukua tukio la watoto kufumuliwa kisha wanarusha kwenye mitandao ya kijamii.....hapo dunia hususan wenzetu wa kubwatuka akbar akbar hawashikiki kwa hamaki
===============

Israel manufactures and deploys technologically sophisticated and diverse ballistic missile, cruise missile, and missile defense systems. 1 Several overarching themes characterize Israel’s missile program. First, Israel’s strategy of maintaining a “qualitative military edge” over potential adversaries motivated the country to rapidly develop one of the region’s most capable missile production infrastructures, and to deploy the region’s most advanced missile systems.
2 Second, Israel’s space program provides an additional venue for advanced ballistics science and rocketry engineering, and has collaborated technologically with Israel’s missile community. 3 Third, Israel has often offset the high costs of developing and maintaining a superior missile capability both by entering into international development collaborations and by exporting and licensing its missile technology.
4 Finally, Israel has developed a layered and multi-faceted portfolio of both offensive and defensive missile programs to address the aerial threats posed by a diverse set of both state and non-state actors, operating from different geographic locations and equipped with different types of weaponry.
Mkuu hayo makombora mbona yapo mengi tu. Mbona Russia hajafanya hivyo kwa Ukraine maana anayo can say most powerfull kuliko ya Israel.

Jambo moja for sure Israel anafanya kwa makusudi na sio kusingizia Hamas. Lengo ni kuifuta palestina na wapalestina kwa ujumla wake na anafanya kwa kuuua kiazazi kichanga zaidi na hii haikubaliki kwenye uwanja wowote wa kivita ni mauaji ya halaiki.
 
Jazba,chuki na matusi hazitakusaidia kuitangaza dini yako.Sana sana unatudhihirishia nyie ni watu wa aina gani.
Usiombe ukapata kichapo kama wanachopata wafuasi wa Muddy. Kule Gaza kumechakazwa na Sasa wameanza kudonolewa mmoja baada ya mwingine kule Lebanon, Iran na Yemen!

Msamehe amechanganyikiwa kwa kutelekezwa na Allah wao
 
Ishmael na Isaka ni ndugu ila baraka za Mungu alipewa zaidi mmoja kati yao.

Wapo watakaofutika kwenye sura ya nchi
Mama Isaka na Ismail jina nilipewa na Najma wakati nasilimishwa.
Sina ugomvi na upande wowote.
Nakubali dini yoyote
 
Wewe shoga kweli mimi sipo hapa kutangaza dini kama unataka mijadala ya kidini nenda jukwaa la dini usiniletee ushoga wako pia dini ya Kiislam inajitangaza yenyewe haimuitaji mtu watu ndiyo wanahitaji dini umesiikia wewe punguani ukiija kwenye post zangu njoo hoja iliyopo siyo maswala ya dini wewe mbona upo na dini yako ya mashoga kufunga ndoa Kanisani kuna mtu amekuambia ukaitangaze?
Unaakisi dini yako wee punga
 
dah
Kuna watu wanayataka makusudi kupewa za ugoko
 
Back
Top Bottom