Mtoa mada aliuliza hivyo alijua wazi Israel hawezi kwenda bila USA, Mimi navyo ona Iran anaweza kwenda kuishambulia Israel bila msada wa adui yake USA au marafiki zake wowote wale.
Sababu ni nyingi sana na nimekueleza sababu chache.
Kumbuka Iran yuko katika sunction miaka na anauwezo wa kutengeneza ndege, na kuendelza nchi yake usisikie western na propoganda zao, kumbuka pia Syria anapewa msada na Iran wakipesa na silaha. Iran bado wako kwenye sunction, mwenye akili angeisha fahamu wazi Iran si lele mama.
Mimi last year nilienda Iran na kwa kweli nchi yao iko mbali sana kimaendeleo, sio wewe hata hujui Iran iko vipi.
Siku Israel atawekewa sunction basi ujuwe miaka miwili tu Israel inakufa kabisa.
Afu lazima ujuwe western media zote ni pro Israel lazima waiponde Iran kama wana njaa au hawana uwezo wakuwashinda Israel hizo ndo zao, wanapenda sana kuwatukuza Israel wakati hawana kitu.