ISRAEL v/s IRAN.

ISRAEL v/s IRAN.

Status
Not open for further replies.
Join Date : 2nd October 2013
Posts : 38

Rep Power : 308

Likes Received
4
Likes Given
5

Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na watu wa namna hii ndiyo maana kila ukimwelewesha haelewi sasa sioni taabu maana nimeshajua ni mtu wa namna gani.

huu mtindo umeenea xana, ni ushamba tena sana eti kipimo cha hoja ya mtu ni join date yakeg, unaweza ukawe jf miaka 10 then hakuna hoja ya maana unaweza kuijenga na watu wakakuelewa na pia mtu akijoin jf hata leo haimaanish yeye ni wakupost utumbo kama wewe unavyojua nyoooo!
 
Israel wana silaha za nuclear, Iran hawana kwa sasa, kwa hiyo ni dhahiri Iran hamuwezi Israel, kwa sasa.

hizo siraha za nyuklia ataruhusiwa kuzitumia? Kumbe ndio maana israel anapinga sana mpango wa nyuklia wa iran kwa kuwa anajua iran akiwa na siraha za nyuklia atatisha mashariki ya kati. Hi vita ikitokea ni ngumu sana kutabiri nani mbabe,
 
Hivi we mzima kweli? Unadhani kuwa katika Jamii forum mda mrefu ndo unanizidi akili au unanizidi kitu.

Hivi we mwanajeshi msatafu, katika akli zako unadhani wote walio kuja join kwenye jeshi bada yako uliwazidi cheo, na ujuzi wa kijeshi.

umeona hee eti join date ndio kipimo cha maarifa nyoo! Yaani jf kuna members wako very broud kwamba ni member wa muda mrefu na kufikia hatua ya kuwadharau wale waliojiunga kipind kifupi kilichopita, tuache mambo hayo tunashindana hadi ktk join date utafikiri jami forum mwisho wa siku watatoa viinua mgongo vya wastafu
 
basi kumbe kumeendelea kipindi natoka pande hizo umeme haukuwepo ulikua unaishia somanda.na kwa njia ya kwenda ngulyati ulikua unaishia pale mnadani bariadi.

Karibu sana!
Mi nashangaa watu mada hii inanikumbusha miaka ya nyuma kabla Us hajaivamia Iraq eti watani zangu Wazalamo wa Kimbiji na Wakwele wa Kiromo pale Bwagamoyo wakawa wanasema Us hawezj ipigs Iraq!
Wakati mataifa makubwa Kama Germany walikua wanapanga namna ya kijenga Iraq baada ya utawala wa Sadam kuandika eti watani zangu wanakomaa haweziiiii

Ubishi Kama Huu ulikuwapo ata kwa Libya na Afghanistan na kwa vikundi Kama Hizbolah na Hamas na Alqaida na Wapo wengine wanaoamini kua Osama hakuuwawa!

Na kauli Kama hizo ndio zinazungumzws dhidi ya Israel!
Kuna mtu katoa hoja kua Israel inapokea Msaada mkubwa wa fwedha ni kweli na hizo zone zinaenda jeshini!

Iran vikwazo vinawayumbisha sana mpaka taasisi zake za kifwedha zilikua zimeyumba.,,.., Na wawashukuru sana Machina na Marusi yako nyuma Yao vinginevo Iran ingekua Na Hali mbaya sana!
 
Unajua hii mada Iko kiiman Zaidi
Kila mchangiaji avutia kwake kutokana na Imani yake!

Niseme kitu kimoja ili twende Sawa tutafute history ya haya mataifa ata kwenye vitabu vya Dini kua yametoka wapi na waliwahi kupigana vita na nana alishinda?
Kwa kufanya hivo tutaenda sawa

Nawakilisha
 
hizo siraha za nyuklia ataruhusiwa kuzitumia?
Kuna mtu alikuwa na ngumi kali sana anaitwa Leon Spinks ambae legend za zamani tukiwa wadogo tuliambiwa Muhammed Ali alikataa kupigana nae mpaka Spinks afungwe kamba mkono wa kushoto. Basi Spinks akawa anapokea kichapo kibaya sana kwa kujifanya kupigana na mkono mmoja, ikabidi kocha wake akaita Spiiiiiinks.... leeeeeft.... basi Spinks akakata kamba ya mkono akarusha jab moja kali kupita maelezo Muhhamed Ali akawa ameisikia ile ngumi ikiitwa, akaepa, Spinks akagonga mlingoti wa ring, akakata mlingoti akawa disqualified!

Mmeuliza Israel na Iran wakipigana nani atapigwa, halafu sasa mnataka kumfunga mkono Israel asitumie silaha zake. Unadhani akianza kupokea kichapo kinachotishia kufutika kwa Israel ataacha kurusha nuclear lake? Asiruhusiwe na nani? Anaeweza kumkataza ni US ambae ni mjombaake, ambae na yeye pia ashatupa Nuclear Japan. Vita vita! Ubaya ubaya! Una jiwe rusha, una nuclear rusha!
 
Sometimes YES sometimes NO Jinsi alivyokuwa anajenga hoja zake wazi inaonyesha ana kamba mguuni
huu mtindo umeenea xana, ni ushamba tena sana eti kipimo cha hoja ya mtu ni join date yakeg, unaweza ukawe jf miaka 10 then hakuna hoja ya maana unaweza kuijenga na watu wakakuelewa na pia mtu akijoin jf hata leo haimaanish yeye ni wakupost utumbo kama wewe unavyojua nyoooo!
 
Hakika ulivyokuwa unajenga Hoja zako ilionyesha wazi kuwa una Kamba mguuni GT anajua kujenga hoja zenye MSHIKO hakurupuki na hahami kwenye MADA hata kama atahama akiambiwa anarudi kwenye MADA maadamu mmeshaihamisha MADA kuwa ya KIDINI basi endeleeni kujadili mimi na wengine tunasubiri tuone MSHINDI.
umeona hee eti join date ndio kipimo cha maarifa nyoo! Yaani jf kuna members wako very broud kwamba ni member wa muda mrefu na kufikia hatua ya kuwadharau wale waliojiunga kipind kifupi kilichopita, tuache mambo hayo tunashindana hadi ktk join date utafikiri jami forum mwisho wa siku watatoa viinua mgongo vya wastafu
 
Unajua hii mada Iko kiiman Zaidi
Kila mchangiaji avutia kwake kutokana na Imani yake!

Niseme kitu kimoja ili twende Sawa tutafute history ya haya mataifa ata kwenye vitabu vya Dini kua yametoka wapi na waliwahi kupigana vita na nana alishinda?
Kwa kufanya hivo tutaenda sawa

Nawakilisha
kwa kuanzia tu iran walishawahi kuiteka jerusalem miaka ya nyuma na kuikalia kwa mamia ya miaka,soma persia empire.
 
Kuna mtu alikuwa na ngumi kali sana anaitwa Leon Spinks ambae legend za zamani tukiwa wadogo tuliambiwa Muhammed Ali alikataa kupigana nae mpaka Spinks afungwe kamba mkono wa kushoto. Basi Spinks akawa anapokea kichapo kibaya sana kwa kujifanya kupigana na mkono mmoja, ikabidi kocha wake akaita Spiiiiiinks.... leeeeeft.... basi Spinks akakata kamba ya mkono akarusha jab moja kali kupita maelezo Muhhamed Ali akawa ameisikia ile ngumi ikiitwa, akaepa, Spinks akagonga mlingoti wa ring, akakata mlingoti akawa disqualified!

Mmeuliza Israel na Iran wakipigana nani atapigwa, halafu sasa mnataka kumfunga mkono Israel asitumie silaha zake. Unadhani akianza kupokea kichapo kinachotishia kufutika kwa Israel ataacha kurusha nuclear lake? Asiruhusiwe na nani? Anaeweza kumkataza ni US ambae ni mjombaake, ambae na yeye pia ashatupa Nuclear Japan. Vita vita! Ubaya ubaya! Una jiwe rusha, una nuclear rusha!
israel ndo hataki iran awe na nuclear kwa kuhofia atamzidi nguvu za kijeshi.israel ni kama kagame awe na kisu mkononi (atomic)halafu anataka kupigana na tuseme kabila ila anataka kabila awe mikono mitupu.
 
Hakika ulivyokuwa unajenga Hoja zako ilionyesha wazi kuwa una Kamba mguuni GT anajua kujenga hoja zenye MSHIKO hakurupuki na hahami kwenye MADA hata kama atahama akiambiwa anarudi kwenye MADA maadamu mmeshaihamisha MADA kuwa ya KIDINI basi endeleeni kujadili mimi na wengine tunasubiri tuone MSHINDI.

Tena mada ilivoanza tulikua tunaenda vizuri tu ata Mimi walivyo anza kuingiza mambo ya Imani Yao tena wakawa wanazungumza Kama Imani Yao Iko bora sana Kwakweli tena kwa mbwembwe nyingi sana! Na kuna mmoja eti akaandika Mungu anazaliwa tena akiwa hajijui Na anabebwa na mama yake akiwa hajijui ana anajisaidia choo ndogo na kubwa ovyo ovyo na mama Yake hajui kua aliemzaa ni Mungu!

Ilinibidi nihame Mada turudi kwenye swala la Iman kwanza, Maana hii habari ilinikumbusha mbali sana!

Huwezi kumlazimisha mtu afate kile unachokiamini wewe!
 
kwa kuanzia tu iran walishawahi kuiteka jerusalem miaka ya nyuma na kuikalia kwa mamia ya miaka,soma persia empire.

Asante sana kwa mchango wako. Wakati huo Hao Wairan walikua ni Waamed au Waajemi? Umesema vema Perisian!
Sasa waisrael walifanya nini mpka hayo majeshi wakayatoa? Na ulikua ni wakati wa mfale nani?
 
Waajemi walikuja kutolewa na majeshi ya kiislamu yakiongozwa na khalifa umar,wao ndo walioikalia jerusalem,wakati huo wakristo walikuwepo hapo wakisari kwenye kanisa lao hapo na waliendelea na iman yao bila bughuza ni wakati huo pia ndo palijengwa ule msikiti wa al agsa pale temple mount.
Lakina miaka mingine mbeleni ndo yalifuata mambo ya crusade kwa mamia ya miaka,ukweli ni kuwa jerusalem uliendelea kuwa mji chini ya nchi ya jordan hadi mwaka 1967 katika ile vita ya siku sita ndo waisrael wakawa wameiteka jerusalem kutoka jordan.
 
('Eyo Ekabatologa neyoyi Etolwe'!) nalemaga yaya gete!
Yani Yule anaewapigaga na yeye apigwe! Nimekataa kabisa! Eti watani zangu wanakomaa Iran anamdunda Israel.... Maweeeeeeeeeiiiii!
 
Nadhani hapa nilichoruka ni kwamba baada ya ottoman empire eneo hilo likijulikana kama palestine likawa chini ya British empire ambayo hatimae ilitoa uhuru kwa jordan na mji wa jerusalem na westbank zikawa sehemu ya jordan wakati gaza ikiwa inabaki sehemu ya misri .ndipo baada ya makubaliano fulani na wakoloni wa uingereza wayahudi wakaanza kuja palestine baada ya vitakuu ya pili ya dunia,walianzisha harakati ndipo likaja undwa taifa la israel 1948,ndipo mwaka 1967 wakaiteka jerusalem,westbank na gaza.
 
Waajemi walikuja kutolewa na majeshi ya kiislamu yakiongozwa na khalifa umar,wao ndo walioikalia jerusalem,wakati huo wakristo walikuwepo hapo wakisari kwenye kanisa lao hapo na waliendelea na iman yao bila bughuza ni wakati huo pia ndo palijengwa ule msikiti wa al agsa pale temple mount.
Lakina miaka mingine mbeleni ndo yalifuata mambo ya crusade kwa mamia ya miaka,ukweli ni kuwa jerusalem uliendelea kuwa mji chini ya nchi ya jordan hadi mwaka 1967 katika ile vita ya siku sita ndo waisrael wakawa wameiteka jerusalem kutoka jordan.
Waajemi walitolewa Israel au wapi na ulikua wakati gani?
Tukienda hivi tunaweza kuipata History vizuri

Napia umezungumzia jeshi la kiislam chini ya huyo Kiongozi uliemtaja! Huo wakati majeshi ya kiislamu yalipoivamia Israel ilikua ni baada ya Yesu au? Na Kama ni baada ya Yesu hayo majeshi yalipigana na utawala wa Roma!

Hoja ni kwamba Waisrael waliwezavipi kuyarejesha maeneo Yao au walikua wanawezavipi kutoka utumwani?
Maana unazungumzia Ile vita ya miaka ya 60 hii ni ya hivi karibuni na wala Israel haikua utumwani wala kukaliwa kijeshi na taifa lolote!

Naomba hoja kwa kina!
 
huu mtindo umeenea xana, ni ushamba tena sana eti kipimo cha hoja ya mtu ni join date yakeg, unaweza ukawe jf miaka 10 then hakuna hoja ya maana unaweza kuijenga na watu wakakuelewa na pia mtu akijoin jf hata leo haimaanish yeye ni wakupost utumbo kama wewe unavyojua nyoooo!
Yani aliposema vile nikajua nimeisha mshinda point ndio akakimbilia kusema vile, ingekuwa anawaza vizuri sidhani ange weza kuongea vile.

Point yake ilikuwa nikama vile yeye kasoma mpaka secondary mwanae asiende university, sababu yeye alikuja mwanzo duniani.
 
Lakini pia tuwekee Israel- Hezbollar war! Igoogle uone ilikuaje?
Hizbullah wanasema tokea mwaka 2000 Israel kisha hawezi kupigana tena vita ni kila vita atakayo ingia lazima ashindwe.

Yule kiongozi wao Nasirllah alishasema Israel ukimpeleka missile tatu tu Tel Aviv, anaomba vita ismamishwe mana hawa viumbe ni waogo sana kufa, na anaye ogopa kufa hawezi vita.

Soma commander wa Israel wanasema nini.

An Israeli commander has admitted that involvement of Lebanon’s Hezbollah in the fight against Takfiris in Syria has increased the defensive capabilities of the resistance movement for any future aggression by the Israeli regime.

“Hezbollah’s involvement in the war in Syria has not disrupted its preparedness for a war with Israel - the opposite is true,” said Colonel Yaron Formosa, a chief artillery officer of the Israeli regime, in an interview with Ynetnews on Wednesday.

He added that Hezbollah is closely monitoring the Israeli army’s activities along the border.

“We saw them marking the positions of our artillery guns so they can target them in a war,” Formosa said.​
He added that Hezbollah fighters have become proficient in the use of advanced weapons due to the fighting against the militants in Syria.

“Hezbollah has tens of thousands of rockets that are aimed at Israel, and we will not be able to operate against them only with artillery fire or the air force.”

The Tel Aviv regime launched two wars on Lebanon in 2000 and 2006. About 1,200 Lebanese, most of them civilians, were killed in the 33-Day War of 2006.

On both occasions, however, Hezbollah fighters defeated the Israeli forces and Tel Aviv was forced to retreat without achieving any of its objectives.

In August 2012, Hezbollah Secretary General Seyyed Hassan Nasrallah said that the resistance movement has both the capability and the courage to defend Lebanon and that the movement’s missiles are ready to strike back certain targets inside Israel in self-defense if Tel Aviv launches an attack on Lebanon.

“If we are forced to use them to protect our people and our country, we will not hesitate to do so... and that will turn the lives of hundreds of thousands of Zionists into a living hell,” Nasrallah said, adding that Hezbollah has fixed its targets.

He also said that a possible future war would be extremely costly for Israel and incomparable with its 2006 war on Lebanon.
 
Nadhani hapa nilichoruka ni kwamba baada ya ottoman empire eneo hilo likijulikana kama palestine likawa chini ya British empire ambayo hatimae ilitoa uhuru kwa jordan na mji wa jerusalem na westbank zikawa sehemu ya jordan wakati gaza ikiwa inabaki sehemu ya misri .ndipo baada ya makubaliano fulani na wakoloni wa uingereza wayahudi wakaanza kuja palestine baada ya vitakuu ya pili ya dunia,walianzisha harakati ndipo likaja undwa taifa la israel 1948,ndipo mwaka 1967 wakaiteka jerusalem,westbank na gaza.

Tunaenda vizuri! Nina maswali, Ivi kabla ya Mwaka 1948 kulikua hakuna taifa la Israel? Au awa waisrael walikua wanaishi wapi? Na ukiangalia kutoka mwaka48 mpaka67 ni karibu miaka19 ilikuaje Israel akapata nguvu mpaka akaweza kupambana na mataifa Kama 6 ya kiarabu na kutwaa maeneo Kama ya Milima ya Sinai Gorani na hayo maeneo unayosema?

Na Hapo nyuma ya miaka 1948 Israel ilikua inajulikana Kama taifa gani na lilikua na nguvu Kama hizi wanazoendelea kua na nguvu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom