Israel toka 1948 na Jeshi la IDF

Israel toka 1948 na Jeshi la IDF

Mkuu mimi sipo hapa kuwatetea waarabu na sijawahi kuwa supporter wa siasa za nchi za kiarabu mimi shida yangu ni Israel tu kwanini mnapenda exaggerate sana ilihali wanabebwa na marekani..... ila kuna watu wanakuja na hoja za kuwa taifa la Mungu sijui wana IQ kubwa mara hawapigiki ndio naleta hoja kama hao wayahudi ni exceptional mbona kabla hawajapewa hako ka-ardhi wanakokalia kimabavu walikuwa wanatandikwa kila wanakoishi na hata wakiunda jeshi wanapigwa kama kawa

Hili ndio swali langu nataka tupate majibu hapa yaani WHY 1948
Majibu yapo,lkn usitarajie kujibiwa kadiri ya matakwa yako.
Kifupi hayupo atakayekujibu,sio kwa sababu hana jibu, la!
 
MYAHUDI ANA NGUVU SANA NA AKILI. HATA MIMI SITAKI KUKUBALI HILI MOYONI LAKINI AKILINI NI UKWELI AMBAO UPO HIVYO
Sema; binafsi yangu naamini Wayahudi ni wenye akili na nguvu sana.

Ukitoa kwa ujumuisho mmoja miongoni mwa wachangiaji anaweza akageuza upande wa meza na akahoji; kwa nini tangu S-300 ifungwe Syria hao Jews(Israel) mbona wameshindwa kuidhibiti S-300. Badala yake wamedhibitiwa wao. Akili zao wamezipeleka wapi?
 
Mkuu Janken jr
1. Unasema wayahudi wana IQ kubwa kisa kushinda Nobel?? Hivi Nobel inapima IQ au creativity tu?? Je creativity huwa inapimwa kwa IQ au inatokana na maarifa mbalimbali?? Kwanza hapo umepotosha kidogo Nobel wayahudi walioshinda ni 22% pekee tokea ianzishwe na Race ilioshinda zaidi ni Aryans so kama ni jamii yenye akili zaidi twaweza sema Aryans if at all tutatumia kigezo cha Nobel....

List of Jewish Nobel laureates - Wikipedia

Na kwenye IQ Jews ni 40 kwenye list sio top 3 na hiyo ni utafiti official kabisa wa IQ pitia hapa usome vigezo vilivotumika na sample yao
https://brainstats.com/average-iq-by-country.html

2. Unasema hawapigiki which is very truee lakini swali langu why 1948 na kuendelea??? Kama wayahudi wenyewe ndio hawapigiki bila msaada wa marekani swali langu bado ni kwanini wayahudi walikuwa wanatandikwa kila wakiingia vitani nimeshatoa mifano kwenye Crusades ya 1 na ya pili huko Ufaransa na Spain bado russia polanda na lithuania kote walikuwa wanatandikwa na hata walipoanzisha jeshi kujitetea kama huko poland 1943 huku wakipewa silaha na waingereza bado walichinjwa zaidi ya 80,000 kama kuku sasa kama hawapigiki je hapa waliwezaje kutandikwa?? Tusaidiane hapo

3. Kuhusu kuitwa taifa teule hapo mnapotosha maana Petro alisema wakristo waliomfuata Yesu na sio waliomkataa ndio taifa teule kwa mujibu wa Biblia ya agano jipya ambayo wewe unaimani sasa nauliza kuamini wewe au Petro???

1 Peter 2:7-10

7 Basi, heshima hii ni kwenu ninyi mnaoamini. Bali kwao wasioamini,Jiwe walilolikataa waashi,Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
8 Tena,Jiwe la kujikwaza mguu, na mwamba wa kuangusha.Kwa maana hujikwaza kwa neno lile, wasiliamini, nao waliwekwa kusudi wapate hayo.
9 Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;
10 ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.Ishini kama Watumishi wa Mungu

bado hawajapewa code wakipewa tu utaona IQ yao ilipo
 
Mungu aliwabariki toka zamani za Abrahamu. Alimwambia " Toka wewe katika nchi yako,uende katka nchi nitakayokuonesha. Atakayekubariki,nitam bariki,atakayekulaani nitamlaani"

Kama wewe bado unawalaani,basi ujue imekula kwako. Sina haja ya kusema sana,mifano mingi umeiona.
Acheni kupotosha watu aliyeambiwa hivo ni Abraham ambaye ni baba wa mataifa mengi sana sio Israel pekee hata Agano jipya linasema Abraham ni baba wa wakristo wote duniani so msitake kulazimisha kuwa baraka za Abraham ni za waisrael pekee ilihali Biblia haisemi hivyo sio sawa.

Alafu hamna anaelaani ila twataka facts sio udini na kuongozwa na mahaba tu.... Embu nielezeni kwanini taifa la mungu wachinjwe kama kuku vile alafu leo hii mseme hawapigiki??
 
Unajua wewe hunishindi mimi kwa kuwachukia wayahudi.lakini kuna ukweli ambao nakumbuka maalim wangu ashawahi nambia(ola ampe rehma huko aliko) kuwa "mayahudi ni watu wa kipekee ambao wana akili kutushinda sisi.akasema hata mtume alikuwa anakubali akili zao.sema si vyema tukawajulisha ndugu zetu jambo hili" mwisho wa kunukuu.

Six day war ni vita vikubwa ambavyo nasoma tena na tena sielewi waarabu wanajisikiaje wanapoina israel. Anyway sisi tuendelee kuilaani tu.
Akili nimeweka hapo takwimu kuwa ni 40 wala hawapo top 10 sasa hayo ya kuwa wana akili sana kuliko wengine imethibitishwa lini??

Hakuna anayechukia wayahudi ila sipendi upotoshaji..... Mnaposema hao wayahudi wana nguvu sana nmeuliza sipati jibu hadi sahivi je kwanini kabla ya 1948 walikuwa wanatandikwa kila kukicha au hizo nguvu walipata baada ya kupewa msaada na wamarekani??

Huu ndio mzizi wa hoja yangu hayo ya six day war nshaeleza humu walicounter attack ndio maana walishinda na katika hilo nawapongeza ila hiko sio kipimo Kuna nchi kama finland zikiwa na jeshi dhaifu iliweza kuwatandika warusi enzi hizo za Field Marshal Mannerheim.... At the same time aliweza mzuia hitler asijiingize finland kipindi vita kuu imekolea mbona hamsemi hilo ama Hannibal akiwa na jeshi pungufu la namba akimchapa Mrumi !! Ila akifanya myahudi ndio anakuwa exceptional!!??

Tuacheni mahaba ya kidini tuje na facts
 
Uwepo wa ISRAEL PALE ILIPO NI USHINDI TAYARI.AKIWA AMEZUNGUKWA NA MAADUI ZAKE. HUO NI USHINDI MKUBWA SANA. lakini soma hapa chini.

Why the Arabs were defeated
Hapana pale walipo sio ushindi bali udhalimu wa hali ya juu huwezi kalia nchi ya watu kwa mabavu kuanzia golan heights hadi west bank haikuwa ardhi waliopewa 1948 ila wanaikalia kimabavu je unaona ni ushindi??

Kingine pale walipo wanalindwa na mmarekani ndio maana hata kura za kuunga mkono Jerusalem waliambulia patupu sasa sembuse bila marekani unadhani leo hii Israel ingekuwa haijafutwa??

Narudia tena Israel iko pale sababu ya marekani siku wakigombana utakuja nieleza kipigo chake
 
Kuna mambo watu hawayajui. Jews siyo wateule wa Mungu. Kuna Ashkenazi Jews. Ambao kwa Dunia ya sasa ndiyo wapo wengi Jews hao akiwepo akina Netanyau. Pengine tujiulize hawa Ashkenazi Jews ni akina nani;

Ashkenazi Jews ambao ndiyo wana compromise 90% ya Jews Duniani, hawa walikuwepo tangu miaka 1200 iliyopita. At the eastern edge of Europe kabila moja ya watu wakijulikana kama Khazar AD740. Mfalme wa Khazar alishauriana na baraza lake kuhusu kuchagua dini ya kuwaongoza. Kwa kipindi hicho ukichagua Dini ya Kiislam basi ungepata upinzani mkubwa kutoka Mataifa ya Kikristo, na ukichagua Dini ya Kikristo ungepata upinzani mkubwa kutoka Taifa la Kiislam. Kwa sababu hizo Khazar wakachagua Uyahudi.

Katika karne ya 13 kabila la Khazar vita vya hapa na pale viliwakumba wakakimbilia Ulaya mashariki, wakaingia Poland na Russia. Ambao hawa Khazar kwa sasa ndiyo wanatambulika kama Ashkenazi Jews. Hawa siyo Wayahudi asili. Hawana uhusiano wowote wa kidamu na Wayahudi, ndiyo hawa akina Bibi Netanyahu na wenzake. Hawa Polish na Russian Ashkenazi Jews ndiyo waliyoanzisha mifumo ya Ukomyunisti na Ujamaa katika hizo nchi. Waulize Warusi wa Orthodox walifanywaje na hawa Ashkenazi walivyoshika madaraka Urusi.

Mwishoni mwa miaka ya 1800 walikuwa wanatawanyika hawa Ashkenazi. Walienda Germany, the Balkans na baadae ulaya karibu yote wakatawanyika. Kutokana na mahusiano na Russia walikumbana na Czars, wakawekwa katika target za kuuliwa. Kutokana na hiyo sababu wakaamua kuhama. Baadhi yao wakakimbilia Palestina, wengine wakakimbila America ya kati na America ya Kusini. Kundi kubwa la Ashkenazi wakakimbilia US.

Kwa kifupi Ashkenazi Jews si Wayahudi asilia na ni hawa wenye mlengo wa Uzayuni. Uzayuni ni harakati za kisiasa wa East European Ashkenazi Jews ambao kwa karne wao ndiyo wahusika wakuu wa sera ya Ukomyunosti na Ujamaa.

Wayahudi asili ni Sephardic, hawa wanatokea Mashariki ya kati na Afrika ya Kaskazini. Hawa ndiyo Wayahudi wa kale. Kidamu wana undugu na Waarabu na hata kimuonekano. Hawana tofauti na Waarabu na walikuwa wakiishi kwa amani tangu kale. Tofauti yao na Waarabu ni Dini tu. Lakini ndiyo Jews wanaodharaulika. Na hawa Ashkenazi tangu kuanzishwa kwa Israel mashariki ya kati wao ndiyo wameshika madaraka mpaka sasa hivi. Ni wanyama sana hawa Ashkenazi.
Sasa hapo wayahudi halisi wako wapi mbona hatuonagi hata picha zao?
 
Sasa kwa kipimo hicho tuwapimaje? Kumbe wapo wenye akili zaidi yao? Mpaka upewe code? Halafu usimame kwa ushujaa useme una akili sana.

Nini maana ya kuwa na akili sana?
kupewa code au target walizokuwa wakipewa na russia kupiga maeneo ya iran ndani ya syria ni uthibitisho tosha kuwa israel ni kama tz tu
 
Mkuu Janken jr
1. Unasema wayahudi wana IQ kubwa kisa kushinda Nobel?? Hivi Nobel inapima IQ au creativity tu?? Je creativity huwa inapimwa kwa IQ au inatokana na maarifa mbalimbali?? Kwanza hapo umepotosha kidogo Nobel wayahudi walioshinda ni 22% pekee tokea ianzishwe na Race ilioshinda zaidi ni Aryans so kama ni jamii yenye akili zaidi twaweza sema Aryans if at all tutatumia kigezo cha Nobel....

List of Jewish Nobel laureates - Wikipedia

Na kwenye IQ Jews ni 40 kwenye list sio top 3 na hiyo ni utafiti official kabisa wa IQ pitia hapa usome vigezo vilivotumika na sample yao
https://brainstats.com/average-iq-by-country.html

2. Unasema hawapigiki which is very truee lakini swali langu why 1948 na kuendelea??? Kama wayahudi wenyewe ndio hawapigiki bila msaada wa marekani swali langu bado ni kwanini wayahudi walikuwa wanatandikwa kila wakiingia vitani nimeshatoa mifano kwenye Crusades ya 1 na ya pili huko Ufaransa na Spain bado russia polanda na lithuania kote walikuwa wanatandikwa na hata walipoanzisha jeshi kujitetea kama huko poland 1943 huku wakipewa silaha na waingereza bado walichinjwa zaidi ya 80,000 kama kuku sasa kama hawapigiki je hapa waliwezaje kutandikwa?? Tusaidiane hapo

3. Kuhusu kuitwa taifa teule hapo mnapotosha maana Petro alisema wakristo waliomfuata Yesu na sio waliomkataa ndio taifa teule kwa mujibu wa Biblia ya agano jipya ambayo wewe unaimani sasa nauliza kuamini wewe au Petro???

1 Peter 2:7-10
7 Basi, heshima hii ni kwenu ninyi mnaoamini. Bali kwao wasioamini,Jiwe walilolikataa waashi,Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
8 Tena,Jiwe la kujikwaza mguu, na mwamba wa kuangusha.Kwa maana hujikwaza kwa neno lile, wasiliamini, nao waliwekwa kusudi wapate hayo.
9 Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;
10 ninyi mliokuwa kwanza si taifa, bali sasa ni taifa la Mungu; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata rehema.Ishini kama Watumishi wa Mungu
yawezekana maelezo yngu yana mapungufu lakin pia ww una upungufu mwingi kwenye uelewa rudia tena kusoma nilichondika,kuhusu tuzo za nobel nimekuambia wamechukua zaid ya % 75 kwenye nyanja za kisayansi na ugunduzi sio zile wanazopewa wanasiasa,usizijuishe.pili kama ni kilaza huwezi kupata tuzo hiyo katika nyaja ya uvumbuzi wa kisayansi.pia nimekuambia uko polandi au ugenini hawakuwa taifa hivyo hawakuwa na dola ambayo ingewawezesha kuwa na jeshi n.k.ukienda zambia utwakuta watanzania wengi sana hasa walowezi wa kinyakyusa,kiasi kwamba baadhi ya mitaa ya Lusaka na kitwe ni kama unyakyusani mfano mandevu compound,chaisa,chipata,solwezi,kanyama,gergetown n.k Lusaka pamoja na kuwa wengi hawana serikali yao kiasi wafikie kuwa na jeshi la kuwalinda wala kwenda vitani.naamin umewai sikia mauaji ya wageni S.Africa huwezi sema kwa nn wanashindwa na kuuawa wakati unajua fika wapo ugenini na ni wachache dhid ya wenyeji wengi.kwa wayahudi uko walikokuwa wanauawa pia serikali husijka ndizo zilizokuwa zinafanya mauaji.hawajawai kuwa na serikali wala jeshi katika nchi ulizotaja.
pili unapotosha kuhusu crusade war [vita vya msalaba],crusade war ni vita vilivyoitishwa na papa urban ll mwak 1095 kwa ajili ya kukomboa nchi takatifu [israel]iliyokuwa mikononi mwa waislam ni vita iliyopiganwa kwa zaidi ya karne 2 kwa vipindi tofauti tofauti.
kwa nini hawapigwi kuanzia mwaka1948!!!kwanza ndipo wanapota taifa lao lenye dola,lakin me siamini kuwa hawawezi kupigwa daima ila hawajapigwa tangu taifa lao kuundwa upya.israel ya kale ilikuwa ikigwa na kushinda.kama wangekuwa hawapigiki basi historia isingetuambia walitekwa na kupelekwa utumwani babylon na kwingineko,basi wasingetawaliwa na warumi wakati wa kristo.

[/QUOTE]
 
[/QUOTE]Wengine ubishi ni asli yao. Ni ajabu mtu anang'ang'ania, oh walichinjwa kama kuku..
Karibia miaka 2000 hawajawahi kuwa taifa,walitawanyika popote duniani,wakati mataifa mengine yalipowachukia yeye anadhani yangewafanyia nini?
Wala haoni mpango wa Mungu juu ya taifa la Wa israel,hata hajui mpango wa Mungu juu yake yeye mwenyewe.
Anachojua ni ubishi tu.
 
infinix
Na hii ndio shida ya JF watu siku hizi hamji na facts mnakuja na mahaba ya kidini basi ww msaidie huyo mwenzako

1. Mnasema wayahudi wana akili kuliko wengine je unaweza leta uthibitisho kuwa wana IQ kubwa kuliko mataifa mengine

2. Huyo mwenzio anasema wayahudi hawapigiki ndio namwambia mwaka 1943 waliunda jeshi lao huko polanda kupambama na hitler ila walitandikwa na wakamalizwa 70,000+ je mnapata wapi hoja ya kusema hawapigiki??

3. Mnasema wao ni taifa teule hivyo hawawezi kupigwa sasa nauliza mbona kabla ya 1948 walikuwa wanachapwa kila walipokwenda au hawakuwa taifa la Mungu kabla ya 1948??

NB: Kusema eti walipigwa kisa hawana nchi sio hoja mbona kibiblia walipokuwa wametoka utumwani misri waliwatandika wacanaan waliokuwa na futi 13+??

Uje na hoja sio mahaba ya kidini
 
Mkuu Janken jr tuwekane sawa kidogo

1. Wewe umesema 75% ya washindi wa nobel kwenye sayansi ni wayahudi HICHO kitu hakipo kama una ushahidi naomba uweke hapa nafuta account yangu ya JF.... Kwa kiufupi Nobel kwenye physics,medicine na chemistry pekee wameshashinda watu takribani 500 na wayahudi wote walioshinda hizi category hawafiki hata 150!! Sasa unaweza nisaidia hiyo 75% inatoka wapi?? Narudia tena ukiweka hapa ushahidi kuwa Jews wameshinda 75% ya nobel prize kwenye sayansi najitoa JF

2. Pia inaonekana historia hufuatilii vizuri yaani wayahudi kuuawa na wakristo kwenye Crusades unasema napotosha!! Aisee tafadhali mkuu naomba ufute hiyo kauli

Rhineland massacres - Wikipedia

In the First Crusade, flourishing jewish communities on the Rhine and the Danube were attacked by Crusaders, yet many were spared due to the efforts of the Papacy (see German Crusade, 1096). In the Second Crusade (1147) the Jews in France suffered especially. Philip Augustus treated them with exceptional severity during the Third Crusade (1188). The Jews were also subjected to attacks by the Shepherds' Crusades of 1251 and 1320.

Ni vizuri tuwe tunajiridhisha kabla ya kuandika humu maana wanaosoma ni wengi so tusije wapotosha.

3. Kuhusu hao wa sauzi au zambia hiyo sio concern yangu maana nyie mmesema wayahudi sio watu wa kawaida na kwamba ni taifa la Mungu hivyo hawawezi futwa sasa basi nimekuuliza bado hujajibu hadi sahivi..... Je kama jawapigiki waliwezaje kutandikwa kama kuku yatima Kwenye hizo crusades ama hitler?? Kuhusu jeshi eti wanaishi ugenini sio hoja mbona Biblia inaeleza walipokuwa jangwani hawana nchi wala nini bali watumwa tu waliweza kuwatandika wakazi wa Canaan majitu kama Rapha,Mfalme Ogu,Waamaleki n.k je kama walishinda wakati huo kipi walishindwa wakiwa central Europe??

Pia unasema hawakuwahi kuwa na jeshi huko ugenini once again unapotosha mkuu au ambacho hufahamu ni kwamba wayahudi waliunda majeshi huko poland makubwa mawili yaliitwa ZOB na ZZW kwenye world war 2 na yalipewa silaha na support na serikali kadhaa ila bado walitandikwa je unasemaje hawakuwa na jeshi?? Nachotaka tufikie consensus kwamba US ndio inawabeba Israel na sio uwezo wa jews wao kama wao hicho napinga.

Nategemea urudi na hoja nzito za kutetea hao wavamizi sio mahaba ya kidini tena.
 
Nataka nifanye research yangu juu ya watu hawa. Inawezekana kuna mambo hatujifunzi sababu ya chuki tuliyopandikizwa juu yao. Ila kiuhalisia traditionally and culturally we have a lot to learn. Nmejifunza mengi sana kupitia masters yangu ya archaeology. These people have something unique.
 
Israel taifa teule, unaweza ukasema n siasa ila hao watu bhn waachwe tu kama walivyo
 
Back
Top Bottom