Israel to help Zanzibar improve agriculture

hiyo ni bora, afadhali mwisrael aingie pale kuliko mwiran au mwarabu yeyote yule....nimefurahi kusikia hivyo. baadae na sisi wabara tutakubali ubalozi wao ufunguliwe hapa ukiwa mkubwa kabisa kama ule wa kenya ili nchi yetu ibarikiwe kwa uwepo wa watoto ibrahimu isaka na yakobo.

kwa mbali mwangaza umeanza kuonekana. tumehangaika na tulipoangukia muda mrefu saaaana ila sasa tunaanza gundua tulipojikwaa.
 
Safi sana Wazenj sasa vunjeni muungano ili mambo yenu yawe murufa mambo ya kuchaguliwa rafiki hayana maana.
 
Aha aha aha hana jipya huyu zaidi ya kutafuta per diem tu....sio ndio hawa hawaitambui Tanzania km nchi na kuilinganisha na kajiwilaya ka LIBYA? Sasa naanza kuamini nilichokisoma katka chombo cha habari kimoja kua US inalazimisha nchi za kiafrica hasa za EAC ili Israel iwe na ushawishi na kuwekeza kwani zinautajiri mwingi wa maliasili...Hakuna mwenye ugonvi na Israel cha msingi tu iache sera zake mbovu za kujiona wao ndo taifa teule na wapo juu ya sheria za kimataifa....mfano ukifatilia kinachoendelea PALESTINA ni aibu kubwa kwa umoja wa mataifa...imefikia wakati sasa senate ya US imetekwa na hawa jamaa basi hapo hakuna kinachoendelea zaidi ya kuwekea vikwazo nchi zinazopiga hatua ili always ziwe chini yao......Nadhani huyo balozi angejaribu kuwashawishi kua wanayoyafanya PALESTINA sio sahii ata km wana Back up ya US,UK,FRANCE,NATO...tumechoka na migogoro na vta
 
Safi sana, Waaarabu wanaenda pale kujiburudisha tuu. Israel wanaingia kwa njia nyingine kabisaa. Na naunga mkono hoja.

Ni kweli mkuu, waarabu ni wavivu hawana cha maana zaidi ya kutuletea Alqaeda tu. Israel ni wazee wa kazi. Hongereni Wazanzibar kwa kuliona hilo na taifa lenu litabarikiwa.
 
Wed, May 9th, 2012

i

Wed, May 9th 2012/ Tanzania |

Seif-Ali-Idd-inspects-some-of-the-farming-projects-in-Jerusalem.jpg

Zanzibar Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Idd inspects some of the farming projects in Jerusalem over the weekend. Israel has agreed to help Zanzibar improve farming methods.

Zanzibar and Israel have agreed to constitute working groups to further promote agricultural cooperation.

The agreement was reached when Zanzibar Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Iddi and Israel Minister of Agriculture and Rural Development, Ms Orit Noked held a meeting in Jerusalem.

According to a press release from Israel, where Ambassador Seif is on a three-day visit, experts in livestock keeping from Israel will be sent to
Zanzibar at the end of this month (May) to train farmers on modern methods to improve productivity.

While discussing various issues with the Israeli Minister, Ambassador Seif sought modern farming and technology from Israel and asked for extended co-operation.

The
Zanzibar vice-president thanked Israel for the offer to train Zanzibar livestock keepers, and invited Israel to invest in the Islands. "We are proud of our modern farming methods, and we are ready to share with developing countries," said Ms Noked, noting that her country has been leading in competitive agricultural exhibitions involving many countries.

By ISSA YUSSUF,
Tanzania Daily News

i wish to congratulate seif idd and whoever else masteminded that idea of collaborating with israel on this matter.
hii inaonesha kwamba viongozi hawa wako kwa ajili ya maslahi ya wa zanzibara bila kujali itikadi bali maendeleo.
big up guys. na waisrael ni wataalam kweli kweli,hapo ni kazi tu na mtafaidi ila naona kama kuna maandamano hukop mbele,kuna watu watapinga huo uhusioano kwa nguvu zote.i bet on that.

Nilidhani suala la mahusiano ya mambo ya nje ni la Muungano? au hili kwa vile ni la kilimo (jambo lisilo la Muungano) linawezekana kufanywa na Balozi Idi Seif?
Tena lipo katika yale 11 Wazanzibar wanayosemwa ndiyo mkataba haswa!

Moja kati ya tuhuma nyingi dhidi ya Nyerere ni kueneza Ukristo Zanzibar, sasa sijui hapa itakuwaje! Maana hao ni wajomba kabisa tena wa Damu hata kama wana dini nyingine!

Hivi Israel na OIC wanaweza kuwa katika jahazi moja? just curious
 
Asilimia kubwa huko zenji wanawaita hawa jamaa 'Mayahudi'. Kitu ambacho nadhani ni chuki iliyopindukia, sijawahi kusikia 'machina' maingereza, mahindi, makenya, mamarekani, maganda, makorea, majapani.... duh, nimechoka maana si mchezo.. Sasa hao wataalamu huko zenji wataitwa 'mayahudi' wanaotufundisha kilimo au??
 
Kama Misri, Jordan na nchi kadhaa za kiarabu zina uhuciano na Israel na wanapata baadhi ya misaada ya kitaalam toka kwa waisraeli.. Sie ni nani mpaka tuendelee kuwachukia na kuendelea kukosa utaalam toka kwao.. Jamaa wamebarikiwa kwa kila walifanyalo..
 
kwa msiojua,uhusiano wa znz na israel ni toka kitambo na kipindi cha rais salmini ilitia fora kiasi kwamba watalii wa israel (mostly walikuwa ni mashoga)walitambulika kama wageni wa serikari,free entry,kuna hoteli maalum zilitengwa (zanzibar beach resort) kwa ajili yao for 50% accomodation rate n walikuwa hawaji na commerial internattional airlines bali kwa ndege yao na inasubiri.kwa kinachotokea sasa nikuweka mambo wazi
 
Waarabu wamewatumia wazanzibari wee mpaka wenyewe wazanzibari wamekuwa na SLAVE MENTALITY. Kule visiwani wanasikitisha sana...wao kila mtu anajiona yeye ni Mu Oman. Hwataki kabisa ule uafrica wao.

Utumwa wa kiakili mbaya sana.

Ukienda kule hamna cha zaidi ya kuonyeshwa jinsi gani walivyo close na waarabu.

Ujinga mtupu na sasa wanabaguana mpaka kwenye shughuli za kijamii...na bila kusahau kuwa hata viongozi wa kidini hawakemei huu ubaguzi

Wacha longo longo zako hizo kasumba na chuki ulizonazo kwa wa zenji hazitokusaidia kitu angalia yako kwanza na Tanganyika yetu wenzetu wanatuacha wanazidi ku development katika nchi yao.

Waarabu na wahindi wapo Zanzibar tokea years 1700. Wazanzibari wameowana na warabu na wahindi na wamechanganya damu sana na wanaishi kama ndugu hadi hii leo.....Ijue history ya Zanzibar kwanza kabla hujaanza kuongea utumbo wako hapa katika jukwaa la Great thinker:blah:

images
images

During the
Age of Exploration, the Portuguese Empire was the first European power to gain control of Zanzibar, and retained it for nearly 200 years. In 1698, Zanzibar fell under the control of the Sultanate of Oman, which developed an economy of trade and cash crops with a ruling Arab elite. Plantations were developed to grow spices, hence the term Spice Islands. Another major trade good for Zanzibar was ivory. The Sultan of Zanzibar controlled a substantial portion of the East African coast, known as Zanj; this included Mombasa, Dar es Salaam, and trading routes that extended much further inland, such as the route leading to Kindu on the Congo River.

Kama Misri, Jordan na nchi kadhaa za kiarabu zina uhuciano na Israel na wanapata baadhi ya misaada ya kitaalam toka kwa waisraeli.. Sie ni nani mpaka tuendelee kuwachukia na kuendelea kukosa utaalam toka kwao.. Jamaa wamebarikiwa kwa kila walifanyalo..

Mzee kutokana na Avatar yako, sikutegemea na wewe utakuwa na mawazo ya kupata misaada kwa maendeleo yako na ya nchi. Hivi nani anahangaika duniani ili aje akupe wewe bure?
 
Wacha longo longo zako hizo kasumba na chuki ulizonazo kwa wa zenji hazitokusaidia kitu angalia yako kwanza na Tanganyika yetu wenzetu wanatuacha wanazidi ku development katika nchi yao.

Waarabu na wahindi wapo Zanzibar tokea years 1700. Wazanzibari wameowana na warabu na wahindi na wamechanganya damu sana na wanaishi kama ndugu hadi hii leo.....Ijue history ya Zanzibar kwanza kabla hujaanza kuongea utumbo wako hapa katika jukwaa la Great thinker:blah:

images
images

During the
Age of Exploration, the Portuguese Empire was the first European power to gain control of Zanzibar, and retained it for nearly 200 years. In 1698, Zanzibar fell under the control of the Sultanate of Oman, which developed an economy of trade and cash crops with a ruling Arab elite. Plantations were developed to grow spices, hence the term Spice Islands. Another major trade good for Zanzibar was ivory. The Sultan of Zanzibar controlled a substantial portion of the East African coast, known as Zanj; this included Mombasa, Dar es Salaam, and trading routes that extended much further inland, such as the route leading to Kindu on the Congo River.

Fatal5,

..hiyo historia uliyoweka mbona haizungumzii biashara ya UTUMWA?

..shughuli kuu ya utawala wa Sultani wa Zanzibar ilikuwa ni biashara ya WATUMWA na PEMBE ZA NDOVU.
 
So the Government of Zanzibar has no relations with Palestinians anymore? they turn to Israel?

Nyerere did cut off relationship with Israelis in 1965 I remember they did build Bugando Hospital in Mwanza,

.... and the beautiful Kilimanjaro Hotel in Dar.. JKT was initiated by Israelis.... Mtumikie kafiri upate mradi wako. Pia, Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
 
countries should have permanent interest and not permanent friends.
Tanzania ni lazima irudishe uhusiano na israel,mbona syria wanaua ndugu zao kwamabomu na mizinga bado hatujakata uhusiano??
Tanzania ni lazima iwe na uhusiano wa kibalozi na kila nchi, huu ujinga wa kujifanya kufuata mlengo wa kulia sijui kushoto au udini ni umasikini wa kufikiri na ubwetevu wa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea.

Israel kwa kipindi kifupi tulichokua na uhusiano nao.
Walianzisha jkt na kuimarisha jwtz
walijenga udsm na hotel ya kilimanjaro
walitrain polisi wengi na uwt
walitrain makomando wengi tuliowahi kujivunia.

Tangu tuvunje uhusiano nao kila mradi walioanzisha umejaa ujinga na ununda. Iko wapi jkt????.
umenikuna sana.
 
nazan zanzibar wameona wenyewe waarabu hawana msaada kwao-zaid ya tende-wanataka kufanya mambo serious ndo maana wameamua kwenda kwa hawa israel-
viva israel
 
Ukienda Qatar, Kuwait, Bahrain matunda yao yanatoka Israel lakini wanagushi maandishi hizo nchi zina biashara na Israel kwa Muda Mrefu sana na hazina Njaa

Sisi na Ardhi yetu bora tuliwatelekeza sababu ya Ushujaa wetu wa kupigania haki; Angalia Zanzibar hao wamekwenda Israel

Kabla ya hata Serikali ya Tanganyika, raha kweli... lakini ukiangalia hawatofautiani sana Vyakula, Kusali mfano Nguruwe hairuhusiwi kabisa Israeli ni kama nchi za kiislamu.
 
Nilidhani suala la mahusiano ya mambo ya nje ni la Muungano? au hili kwa vile ni la kilimo (jambo lisilo la Muungano) linawezekana kufanywa na Balozi Idi Seif?

Tena lipo katika yale 11 Wazanzibar wanayosemwa ndiyo mkataba haswa!

Moja kati ya tuhuma nyingi dhidi ya Nyerere ni kueneza Ukristo Zanzibar, sasa sijui hapa itakuwaje! Maana hao ni wajomba kabisa tena wa Damu hata kama wana dini nyingine!

Hivi Israel na OIC wanaweza kuwa katika jahazi moja? just curious

Ndugu Nguruvi3 na Mzee Mwanakijiji

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni bomu.
Ni mazingaombwe yasiyo na majibu ya mkato( kiini macho)

Kauli zenu zitaungwa mkono na wasomaji wengi, pia kupandisha mizuka wengi lakini bado hatuzungumzii mazingaombwe ya Muungano. Mimi nafikiri huwa tanafanya kwa makusudi ili kutengeneza chuki au kuamsha jazba kwa wanaofata mkumbo tu.

Hiki kijarida ,gonga link http://www.kituochakatiba.org/index2.php?option=com_docman&task=doc_view&gid=1208&Itemid=27 kinajaribu kuelezea utata na ugumu wa Muungano wa baadhi ya mambo kama ulivyo Muungano wa TZ na mahusiano ya kimataifa. Ni vyema kukisoma chote lakini kwa muktadha wa mliyoyaandika anzia uk 94 kwenda mbele.

Na baada ya kukisoma bado tutakuwa na ujasiri wa kuamsha mizuka ya wanajf?
 
Back
Top Bottom