Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,248
- 15,069
- Thread starter
- #81
Hahaha aliye lala usimuamshe FYI ncho nyingi sana za kiarabu zinatengeneza silaha, Egypt wanatengeneza, Syria wanatengeneza, Iraq walikuwa wakitenegeneza kam sio USA na baadhi ya nchi za kiarabu kuigopa Iraq basi mpaa kesho Iraq wangekuwa wanatengeneza silaha, Algeria anatengeneza, Saud Arabia wanatengeneza, Jordan wanatengeneza, Morocco wanatengeneza na hata UAE wanatengeneza silaha.embu sema wewe wanazipata wapi? wana jeuri ya kutengeneza?