Israel no longer capable of winning wars

Israel no longer capable of winning wars

Status
Not open for further replies.

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
11,248
Reaction score
15,069
alalam_635451796617740517_25f_4x3.jpg

Iran Defense Minister Brig Gen Hossein Dehqan


Iran's Defense Minister Brig. Gen. Hossein Dehqan insists that the Israeli regime will no longer be able to achieve victory in any future war while hailing heroic victory of Palestinian resistance fighters during the latest Zionist onslaught on the besieged Gaza Strip.

"The occupying Zionist regime will no longer be the victor of any war, and it does not even have the power to decide about engaging in a new war, and their threats are merely a political bluff," said Gen. Dehqan on Monday.
The Iranian defense minister praised the capabilities of Palestinian resistance groups, saying that they have the upper hand and can achieve their goals in the face of Israeli threats.

Israel's "humiliating" defeat in its deadly war on the blockaded Gaza Strip shows the failure of Washington's policies, said Dehqan, stressing that the time has come for the US to accept the realities on the ground in the Middle East and stop supporting Tel Aviv and meddling in the region's affairs.

"Any new adventurism by Israel in the region will definitely take this fake regime closer to the end of its…life and will strengthen the resolve of Palestinian resistance groups to respond to Tel Aviv's warmongering," Dehqan added.

The Israeli military unleashed aerial attacks on Gaza in early July and later expanded its military campaign with a ground invasion into the Palestinian strip. Over 2,130 Palestinians, including around 570 children, lost their lives and some 11,000 were injured in the raids.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has come under sharp criticism by many Israeli officials, including members of his own coalition, after reaching a truce deal with the Palestinian resistance groups on August 26.

Many in Israel believe that the regime has failed to establish a clear victory in the offensive, which took a heavy economic toll on Tel Aviv and killed nearly 70 Israeli soldiers.



Source:Alalam

http://en.alalam.ir/news/1628307
 

Jamaa yako mwangalie anavyowalalamikia nchi zote za kiarabu,maana wameshindwa kwenye uwanja wa vita wewe unakuja hapa na story za kujifariji.
 
Last edited by a moderator:
Echolima
Askar mstafu wacha kelele Iran anasema Israel hana uwezo wa kushinda vita, sa we unaleta story zingine ambazo hazihusiki na mada.
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu wangu sasa mimi naanza na Ushindi wa Israel dhidi ya HAMAS,HAMAS ni kundi la kigaidi ndiyo maana hata Uniform hawavai si kwa sababu hawana la ila kwa sababu waweze kujichanganya na raia hata kama ukimuua watu waseme ni raia kumbe alikuwa askari,Hamas kwa ugaidi wake alikuwa anawaambia raia kutotoka katika maeneo yaliyokuwa yanalengwa na Israel kwa lugha nyingine Hamas iliwafanya raia wa kuwa KINGA yaani wao wapone lakini raia wapoteze maisha ili tu aweze kupata HURUMA toka jumuia za kimataifa,Bahati nzuri jumuia hizo zilishaona Hamas ana mtindo huo ndiyo maana zilikaa kimya pamoja na kwamba Hamas walipiga kelele kulalamikia raia kuuwawa na majeshi ya Israel.Israel kwa upande wake ilionyesha ukomavu katika vita hii ya Gaza maana ilitoa taarifa kama walitaka kushambulia eneo fulani basi raia wa eneo hilo walitaarifiwa kwa njia ya Simu SMS na voice mail na wengine ambao hawakuwa na vifaa kama simu waliweza kupewa vipeperushi vilitawanywa eneo lote na kila mtu alipata taarifa lakini kwa kuwa Hamas ilikuwa na kiu ya Damu ya raia wa Palestina iliamua kuwakataza wastoke katika maeneo yao na majengo hayo yalipopigwa raia wasiokuwa na hatia waliuwawa na Hamas kuanza kutafuta umaarufu kisiasa,Kuhusu kushindwa vita Israel ndye Mshindi halali maana ameweza kuharibu miundo mbinu ya adui(Tunnels)ambazo Hamas ilitumia kuzijenga zaidi ya miaka mitatu leo zinabomolewa kwa siku kadhaa tu,Pili Israel iliweza kuwalenga wakuu wa majeshi ya Hamas na kuwauwa na kwa kuwa lengo la vita hiyo lilifikiwa basi Israel ni MSHINDI.Hamas wameshindwa kwenye Medani zote Kwamza Hamas wameshindwa kwenye uwanja wa vita ndiyo maana walikuwa wanajificha kati ya Raia hivyo kusababisha raia wengi kupoteza maisha yao kwa ajili yao,na pia walikuwa wanatumia vituo vya Umoja wa mataifa na UNRWA kurusha makombora yao kisa kilichasababisha Majeshi ya Israel kujibu mapigo toka source of rockets na kusananisha raia wengi kupoteza maisha yao.Kwenye Medani ya Diplomasia Hamas ilishindwa kuelezea ulimwengu nani aliyewateka wale vijana wa kiyahudi na baadaye kukutwa wameuwawa kinyama kisa kilichopelekea Operation Protective Edge na kusababisha watu zaidi ya 2,000 kupoteza maisha yao.Kwa upande wa umoja wa mataifa na jumuia zake walipatwa na kigugumizi walibaki wameduwaa wasitoe tuhuma zozote kwa Israel maana mchokozi alionekana wazi,Hata nchi za kiarabu ilibidi wanyamaze kimya hawakuweza kuunga mkono vitendo vya Hamas kuwafanyia wananchi wa Palestina,Kwa upande wa PR yaani mahusiano ya jamii Hamas baada ya vita hiyo ilianza kampeni ya kuua raia wake kwa kisingizio cha usaliti watu wengi waliuwawa kinyama kwa kuhisiwa tu kuwa waliwapa siri majeshi ya Israel hata wale vibarua walioluwa wanatengeneza yale Mahandaki hawakuweza kupona nao waliuliwa kwa kisingizio cha usaliti.Kwa upande wa makubaliano ya kusimamisha mapigani Hamas haikupata chochote maana Hamas wao walitaka Airport,Bandari na Kuondolewa vikwazo vyote kuzunguka Gaza,na kulipwa mishahara wafanyakazi wote wa Hamas na Israel yote hayo hawakupata kwa hiyo mshindi ni ISRAEL na aliyeshindwa ni HAMAS kitendo cha kusherehekea ushindi ni kuwazuga wananchi wa Palestina.Pili nakuja kwenye vita vya 1973 Yom-kipur war pamoja na nchi za kiarabu ku-gain sehem kidogo ya ardhi yao lakini Israel iliendelea ku-control sehemu kubwa ya ardhi ya Misri na Syria kwa upande wa Misri majeshi yaliyokuwa yakiongozwa na Ariel Sharon yaliweza kuzingira na kukata misaada ya hali na mali kwa vikosi vyote vilivyokuwa mstari wa mbele yaani vilivyokuwa vimevuka mfereji wa Suezi hivyo kuyalazimisha majeshi hayo kusalimu Amri,Kitendo hicho kilisababisha majeshi ya kiarabu kushindwa katika Medani ya vita.Tatu katika vita vya 1967 nchi za kiarabu walifanya Muungano wa kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia lakini matokeo yake sitaki kuyaeleza hapa ila Dunia nzima inajua vizuri sana maana ulikuwa Ushindi Mtakatifu Israel ilitwaa maeneo mengi sana ikiwa pamoja na Milima ya Golan,Judea na Samaria,ambaye hakuuona ushindi huo basi atakuwa kipofu hata kama ni kipoffu aliambiwa hivyo anayekataa ushindi huu wa Israel dhidi ya nchi za kiarabu basi atakuwa AMEJIVUA UFAHAMU makusudi kabisa.Mwisho ushindi katika Medani hauamuliwi na Iran wala nchi yeyote bali maamuzi hutokea hukohuko kwenye uwanja wa VITA.
Askar mstafu wacha kelele Iran anasema Israel hana uwezo wa kushinda vita, sa we unaleta story zingine ambazo hazihusiki na mada.
 
alalam_635451796617740517_25f_4x3.jpg

​

Iran’s Defense Minister Brig. Gen. Hossein Dehqan insists that the Israeli regime will no longer be able to achieve victory in any future war while
hailing heroic victory of Palestinian resistance fighters during the latest Zionist onslaught on the besieged Gaza Strip.



SOURCE: Alalam

Hapo kwenye red text..

Jamaa anapingana na wapalestina ambao ndio walioko eneo la tukio..

Sasa tumwamini nani.?? Soma hapa chini...

[h=1]PA official: Hamas should admit defeat[/h]
Mahmoud al-Habbash, a senior adviser to Palestinian Authority President Mahmoud Abbas, hinted on Thursday that Hamas and other Palestinian groups in the Gaza Strip should admit their defeat in Operation Protective Edge.

Habbash, who until recently served as PA Minister for Religious Affairs, drew a comparison between the Battle of Uhud, fought in 625 between Muslims from Medina led by the Prophet Muhammad and “polytheists” led by Abu Sufyan in Harb from Mecca.

The battle is generally believed to be a defeat for the Muslims, especially because of the heavy casualties they suffered.
Muhammad himself was badly wounded in the fighting.
 
Askar mstafu wacha kelele Iran anasema Israel hana uwezo wa kushinda vita, sa we unaleta story zingine ambazo hazihusiki na mada.

just domo tu. waambie wakajaribu wajue kama ni kweli au sio kweli. walikuwa wapi iran, taifa la ki-islam, wakati wapiganaji wa ki-islam wakipata shida gaza? walikuwa wapi wakati akina mama na watoto waliotumika kukinga makombora ya israil wakifa? walikuwa wapi wakati israil inaichakaza gaza? walikuwa wapi wakitazama jinsi wa-islam wenzao wakipewa mkong'oto? walikuwa wapi?????
 
Adiosamigo wewe ni mtu wa imani zaidi kuliko uhalisia wa mambo. Toka wiki iliyopita unataka tuamini zaidi kwa Israel is weak militarily. Ni vema zaidi ukatufanya tuamini kama Waarabu pamoja na Iran wana uwezo wa kuishinda Israel kijeshi. Jiulize kwa nini Misri ambayo ina Jeshi zuri kuliko mataifa yote ya kiarabu na Iran waliona watafute suluhu kuliko kuendeleza vita na Israel.
 
jamaa unapenda kujifariji...but it's good tho, as long as it helps you sleep at night...
muisrael ye yupo kimya anasubiri mrushe rocket tena..
 
Adiosamigo Hao waarabu wala wasikudanganye, wote hao wanaongelea mbali lakini Mziki wa Izrael wanaujua ndio maana wanaishia kutoa hotuba tu. Soma vita ya 1948 na 1968 utaona kichapo walichopewa wakati huo na ndio maana wameishia kujipa moyo. Mkuu hata wewe unaweza kwenda kwenye vyombo vya habari ukasema ninaweza kumpiga TYSON wakati ule akiwa bondia. Sisi tunataka action na siyo hotuba za kitoto
 
Gambamala

Huyo hawezi kuelezea. Mwambie aongezee na hiyo, inasema Jua lina Orbit

(Qur'an 36:40)

It is not permitted to the Sun to catch up the Moon, nor can the Night outstrip the Day: Each just swims along in its own orbit according to Law.

au

Sahih International


It is not allowable for the sun to reach the moon, nor does the night overtake the day, but each, in an orbit, is swimming.
​
 
Last edited by a moderator:
Gambamala

Gambamala pole mkuu, naona bado una elimu ya jiografia uliofundishwa form 2 mwaka '72 ambayo inasema jua limesimama hapohapo..hebu usiende mbali, just google " Is the sun moving ? " halafu utuletee majibu..
 
Last edited by a moderator:
Gambamala pole mkuu, naona bado una elimu ya jiografia uliofundishwa form 2 mwaka '72 ambayo inasema jua limesimama hapohapo..hebu usiende mbali, just google " Is the sun moving ? " halafu utuletee majibu..

Stopping point yake ni ipi? kama verse inavyosema?
 
Askar mstafu wacha kelele Iran anasema Israel hana uwezo wa kushinda vita, sa we unaleta story zingine ambazo hazihusiki na mada.


Huu ni upuuzi kwani iran akisema ndio inakuwa hivyo acha utumwa tumia akili yako. Vita inatakiwa isemwe na wapiganaji kuwa tumeshinda au tumeshinda
 
EcholimaNakumbuka zamani pale tuko wadogo tunasoma shule za msingi, tulikuwa tukirusha mawe kuangusha embe, sa kama umeshindwa iangusha embe unanza toa sababu ya kusema naogopa jiwe lisiangukie watu wanao pita njiani. Hizo ndio akili za Israel toka lini Israel akaogopa kufanya kitu kama anakitaka dalili tazama majumba aliye yavunja Lebanon na Palastine na hakuna hata hayo majumba kaweza toa dalili moja kupiga silaha.

We utaishia kupotezwa akili na kina Natanyahau tu, hakuna watu waongo duniani kama wa Israel.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom