Israel no longer capable of winning wars

Status
Not open for further replies.
There are many ways to demonstrate Insanity. This is one of them....

Hamas-Victory-590-LI-2.jpg

Hizo ni ndoto za mchana kweupe.
Paragraphy ya mwisho katika makala hii inawaumiza sana Zionists kwamba wametumia gharama kubwa sana. Pamoja na nguvu kubwa, hii ni mojawapo ya vita ambayo wanamgambo wamewaua Wanajeshi wengi. Kihistoria, ni ngumu sana kwa wanamgambo kuua Wanajeshi wengi katika operation. Hata ile ya Hezbollah idadi haikuwa hivi, nalo limewaumiza kichwa sana. Ingetokea japo nusu tu ya silaha za Israel akapata Hamas tungezungumza mambo mengine kabisa!
 
Naona umeshindwa kujibu umerudisha swali, mimi nasema hivi Israel miaka 10 sasa anasema atawapiga Iran, hapo mwenye akili lazima atakuwa ana jawabu unless awe hana akili ndio atadhani kama wewe.

na Iran ni muda gani sasa amesema kwamba ISRAEL hatakiwi kuwepo mashariki ya kati, ni muda gani sasa amesema taifa hilo linapaswa kufutwa duniani? so mbona hamna implementation yeyote?
 
Iran kisha chukua action kwa kuwapa Hamas silaha, sa unataka aanze action gani, Iran anawa back up Hazbullah wa Lebanon na Hamas, umeona dogo au bado tu umelala. Wanasema ukitaka kula chakula unanza kukata tonge kidogo kidogo ndio utakila vizuri.
 
keli bana hawa watu wa siasa za kidini wa ajabu sana. kwao kuwaongoza watu kwenye maangamizi ndio ushindi. hapo huyo waziri anaonyesha nia ya kuiangamiza israel kitu inayowapa wamarekani sababu ya kuwapa mayahudi uwezo wa kuwazulumu wapalestina kwa kisingizio cha usalama.
 
Iran kisha chukua action kwa kuwapa Hamas silaha, sa unataka aanze action gani, Iran anawa back up Hazbullah wa Lebanon na Hamas, umeona dogo au bado tu umelala. Wanasema ukitaka kula chakula unanza kukata tonge kidogo kidogo ndio utakila vizuri.

sasa kwa hizo action za kuwaback hao hamas na hezbula amefanikiwa lengo lake? yani amefanikiwa kuifuta ISRAEL? embu tuweke wazi mkuu.

mbona nionavyo mimi ni kwamba ISRAEL anaongeza maeneo na anazidi kujenga makazi? teh teh teh, unajua unachekesha sana mkuu, naona huna tofauti na hao hamas ambao wanasheherekea huko gaza wakati majumba yao yameporomoshwa na wameachiwa maiti kila kona. lakini sio mbaya kujifariji
 
Mtu anaye taka kufuta kitu lazima kwanza achore, afu ajaribu kufuta aone akifuta ile sehemu inarudi tena, kama inarudi analeta kifagio kile cha kufuta mpaa kisionekane kitu. Iran ndio ana fanya majaribio hapo na kisha fanikiwa kujua Israel ni dhaifu kuliko alivyo kuwa akijisifia yeye na au kusifiwa na western media.

Iran kisha jua Israel hawezi kuvumilia mambo matatu, mashambulizo kwa wingi wa missiles, hawezi kuishi bila ya Air port, hawezi kuishi bila ya Sea Port na hizo ndio target zake za mwanzo atakapo ishambulia Israel.

Baada ya target hizo tatu, atanza sasa shambulia Nuclear reactor za Israel.

Dogo Israel hawezi kusubutu kugusa Iran, na Iran kisha mtia dole Israel kwa kumzunguka kila kona na vikundi kama vya Hamas na Hazbullah, ngoma ngumu Israel hawezi kuvumulia.

Israel sasa anazipigia magoti nchi kama Saud Arabia na UAE zipate kusaidia, siku hizi Israel anajidai kuwaita eti moderate Arab nations hahaha mavi yake, si alijidai yeye hawezi kuwa chini ya warabu sa huyo kila siku analamba mikono ya Saud Arabia na UAE.
 
kwa hiyo jamaa wanachora since 1948? manake hao waarabu kumshambulia ISRAEL hawajaanza leo, walianza since taifa hilo linaundwa, lakini cha kushangaza ni kwamba jamaa wanazidi kujitanua na wanazidi kujenga nyumba daily, mkuu nishakuambia waarabu ni VILAZA HAWANA AKILI YEYOTE WAKATI WENZAO WAYAHUDI WANATUMIA AKILI YA KUFA MTU KWENYE MISSION ZAO, so hicho unachoongea Kinaitwa "MIPANGO YA MEZANI MKUU" Ila kiuhalisia unachoongea ni POROJO TU

WASWAHILI WANASEMA MIPANGO SIO MATUMIZI, NA MIPANGO KILA MTU ANAYO ILA IMPLEMENTATION NI KITU KINGINE KABISA TOFAUTI NA MIPANGO, YANI KUNA MTU AKIKUPA MIPANGO YAKE YA KUA TAJIRI UNAONA KABISA ATAMZIDI HATA BILGATE, LAKINI UKIMCHEKI HANA ATA KUMI YAN, SASA NDO HIZO UNACHOSEMA WEWE MARA OOH ISRAEL HAIWEZI KUVUMILIA SIJUI MASHAMBULIO KWA WINGI, MARA HAWEZI KUISHI BILA AIRPOT. HAMNA KITU HAPO.
 
IRAN alishindwa kuishinda Iraq kwa Miaka 8, Kwanini unadhani Iran anaweza Ishinda Israel?
Israel Alibomoa Nuclear reactor za Iran na Syria, Kwanini unadhani atashindwa Kubomoa hizo za Iran?
Iran anapiga kelele kuifuta Israel, Aangalie asije jifuta yeye Mwenyewe.
Time Will tell......
 
Hahaha Iran sio warabu dogo rudi shule ukasome, afu Iran ni nchi ya kislam ambayo Israel hajawahi kuichokoza wala hatasubutu kuisogelea, na siku akijidai kuisogelea ndio hakuna tena wa Israel wataishi katika ardhi ya Palastina.
 
IRAN alishindwa kuishinda Iraq kwa Miaka 8, Kwanini unadhani Iran anaweza Ishinda Israel?
Israel Alibomoa Nuclear reactor za Iran na Syria, Kwanini unadhani atashindwa Kubomoa hizo za Iran?
Iran anapiga kelele kuifuta Israel, Aangalie asije jifuta yeye Mwenyewe.
Time Will tell......
Lazima ujuwe wakati Iran anapigana na warabu nchi zote za kiarabu zilikuwa zikimsaidia Iraq ki silaha na kuna nchi zilimsaidia kijeshi pia sa Iran hakushindwa wala Iraq haijashinda ni warabu tu ndio walisema Iraq kashinda. Ni yale yale ya USA kusema Israel kawashinda warabu wakati vita ilisimamishwa na UN. Weka akilini ikiwa Iraq kapigana miaka 8 haajweza kuwahsinda sa usidhani Israel amabayo imezowea kupigana vita ya siku itaweza kupigana miaka na Iran. Ndio unaona USA anaogopa Israel asichokoze moto anajua moto wa Iran si wakuchezewa na Israel utawachoma kabisaaaaaaaaaaaa.
 
Gambamala

Huyo hawezi kuelezea. Mwambie aongezee na hiyo, inasema Jua lina Orbit

(Qur’an 36:40)

It is not permitted to the Sun to catch up the Moon, nor can the Night outstrip the Day: Each just swims along in its own orbit according to Law.

au

Sahih International

It is not allowable for the sun to reach the moon, nor does the night overtake the day, but each, in an orbit, is swimming.
​
Jua kuwa na orbit mbona hii ni common knowledge kwenye astronomy!! Fanya utafiti kabla ya kukurupuka. Qur'an iko sahihi muda wote, kuna wenzio wengi wamejaribu kui-discredit wamechemsha.

Haya ongeza maarifa Sun Orbit
 
Chokoza tu ndo utapata majibu kwa vitendo
Tazama vichwa vya Nuclear vya Saud Arabia vinatosha kuwamaliza IsraelIsrael hajawahi kuonyesha yeye kama anavyo, Saud Arabia kasha onyesha, kama ana Nuclear war head, na hizo za chini ni Saud Arabi anatengeneza kwa hio Israel hawezi kushindana na wa Islam hata siku moja
 
Last edited by a moderator:

Ndio tunataka waichokoze uone mziki wake sio kuonyesha tu,wewe unafikiri Israel wamelala?Siku wakiichokoza utapata majibu practically
 
Hahaha dunia nzima imeisha wadharau Israel kwamba hawana kitu, ikiwa anga lao limezamishiwa Missiles na Hazbullah na Hamas, ujuwe ni kama chandurua hawawezi kuziwia vyombo kutoka Iran au Saud Arabia au kucheza na F16 BLOCK 60 za UAE.Hio ndege hata Israel amenyimwa na USA chezea jeuri ya pesa ya warabu, hio F16 BLOCK 60 inapenya anga za Israel bila ya Israel kuona kitu ndio masharti ya UAE alimpa USA kabla ya deal.
 
Last edited by a moderator:
Zezeta tu ndiyo ataamini mbwembwe zako,ki ukweli unajitahidi sana kuwapigia CHEPUO waarabu lakini waarabu wenyewe choka mbaya hawana ubavu kwa Israel.

Israel hana cha kuwashinda warabu jeshi lake vita vya ardhi hawawezi, ki Air force ilikuwa zamani sa warabu wana silaha hata USA anawaogopa sio Israel ambaye ni mtoto.
 
Last edited by a moderator:
To be honest, kweli Israel kaaibishwa. Binafsi naipenda israeli ila sikutaraji yaliyowakuta. Nimeukubali muziki wa Hamasi. Penye ukweli tuwe wawazi bandugu.
 
Lazima ujuwe wakati Iran anapigana na warabu nchi zote za kiarabu zilikuwa zikimsaidia Iraq ki silaha na kuna nchi zilimsaidia kijeshi pia sa Iran hakushindwa wala Iraq haijashinda ni warabu tu ndio walisema Iraq kashinda. Ni yale yale ya USA kusema Israel kawashinda warabu wakati vita ilisimamishwa na UN. Weka akilini ikiwa Iraq kapigana miaka 8 haajweza kuwahsinda sa usidhani Israel amabayo imezowea kupigana vita ya siku itaweza kupigana miaka na Iran. Ndio unaona USA anaogopa Israel asichokoze moto anajua moto wa Iran si wakuchezewa na Israel utawachoma kabisaaaaaaaaaaaa.

Kuweka kumbukumbu sawa. Vita vya Iran na Iraq vilipiganwa miaka8 na hakuna mshindi aliyepatikana. Lakini cha kuzingatia ni kwamba Saddam Husein wakati huo alikuwa Swahiba mkubwa wa US na alipewa silaha kali kabisa na US zikiwemo zile ziitwazo WMD za sumu ili awaangamize Iran. Saddam alipotofautiana na US ulishuhudia Bush akidai kuwa Saddam ana silaha hizo za Sumu kwani kumbukumbu zao zilionyesha walimpa ili amuangamize Iran. So Iran ni kidume hata US anajua kuwa siyo jambo jepesi kuipiga Iran.

Hivyo vitavya miaka 8 ilikuwa kati ya Iraq, US na Arab et al, lakini hawakumshinda. US hakupigana directly ni kama Hamas walivyopigana na Israel ila indirectly na US.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom