Israel no longer capable of winning wars

Status
Not open for further replies.
Hahaha Iran sio warabu dogo rudi shule ukasome, afu Iran ni nchi ya kislam ambayo Israel hajawahi kuichokoza wala hatasubutu kuisogelea, na siku akijidai kuisogelea ndio hakuna tena wa Israel wataishi katika ardhi ya Palastina.

Mbona mnatapatapa sana. Warabu ni wanafiki wenyewe hawako pamoja mikerere tu. Israel kanchi kadogo tu kanawatowa jasho. Kama waweza basi wawasaidie wapalestina wajikomboe kuliko kupiga polojo tu za uongo.
 
Jua kuwa na orbit mbona hii ni common knowledge kwenye astronomy!! Fanya utafiti kabla ya kukurupuka. Qur'an iko sahihi muda wote, kuna wenzio wengi wamejaribu kui-discredit wamechemsha.

Haya ongeza maarifa Sun Orbit

Ni kweli viumbe wote wameumbwa kwa Pairs? dume na jike?
Sura 51:49
And of every thing We have created pairs: That ye may receive instruction
 
Umeshaelewa kwanza kuhusu sun's orbit au nikuongezee nondo? Pili Mimi siwezi kukaa nakuelemisha mtu mwenyewe tayari una negative attitute na huna nia ya kujifunza. Ukiwa tayari kujifunza nitafute, nitakupa nondo uelewe.
 
Hapo nimekusoma

Ebu elezea kama kweli viumbe wote wameumbwa kwa Pair.

Pia Ona hii, sasa fastjet imeshikiliwa na nani hewani?

Sura 16:79
Je! Hawawaoni ndege walivyo wat'iifu katika anga la mbingu? Hapana mwenye kuwashika isipo kuwa Mwenyezi Mungu. Hakika katika haya zipo ishara kwa watu wanao amini.

Sahih International
Do they not see the birds controlled in the atmosphere of the sky? None holds them up except Allah . Indeed in that are signs for a people who believe.

Pia soma hii
Sura 18:86
Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
LINK AL - KAHF / QURAN ( SWAHILI ) / TheHolyQuran.org, quran, holyquran, holy quran, al quran, qur'an, al qur'an, coran, kuruan, koran, corano,koraani, qoran, kuran, islam, muslim, allah, arabic, trke,meal, der heilige Koran, islam, muslim, chinese al qur

​
 
Gambamala = kakende ?

By they way uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana? Wewe kama hadi leo ulikuwa unashangaa jua kuwa kwenye orbit, utaweza vipi kuelewa mambo kama haya unayo-quote? Tulia kwanza, ondoa negative attitude halafu ndio uombe kuelimishwa. Sasa hapo unaposema ona hii unadhani hizo aya hazifahamiki?!! Eti soma na hii....yaani unajiona kama umefanya ugunduzi fulani mkubwa sio?
 
Jibu swali la Gambamala mkuu, lina mantiki

Watu wa Zamani hawakumaanisha orbit ya sasa. Wao walidhani jua huwa linazama kwenye tope (Sura 18:86). Pia walidhani mahala Jua linakozama kunafikika phyisically. wanasema kule jua linakochomoza kuna watu wasioungua, walikuwa wanadanganya watu

Mfano soma hii

Surah 18:90
Until, when he came to the rising of the sun, he found it rising on a people for whom We had not made against it any shield.

Sura 18:86
Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

AL - KAHF / QURAN ( SWAHILI ) / TheHolyQuran.org, quran, holyquran, holy quran, al quran, qur'an, al qur'an, coran, kuruan, koran, corano,koraani, qoran, kuran, islam, muslim, allah, arabic, trke,meal, der heilige Koran, islam, muslim, chinese al qur
 
Hayo maswali yako yote yana majibu hayajaanza leo na yapo yamejaa mitandaoni. Ukienda wikiislam utayakuta mengi na kejeli zisizo na idadi. Kwa hiyo kama ni majibu yapo haina tabu tatizo wewe hauko hapa ili kujifunza ila upo ili ukejeli Qur'an na kwa sababu hiyo hii ni posti ya mwisho kukujibu.

Nitaonesha ujuha wako hapa chini.

Ulianza hivi
Gambamala

Huyo hawezi kuelezea. Mwambie aongezee na hiyo, inasema Jua lina Orbit

(Qur'an 36:40)

It is not permitted to the Sun to catch up the Moon, nor can the Night outstrip the Day: Each just swims along in its own orbit according to Law.

au

Sahih International

It is not allowable for the sun to reach the moon, nor does the night overtake the day, but each, in an orbit, is swimming.
​
Nikakujibu hivi
Jua kuwa na orbit mbona hii ni common knowledge kwenye astronomy!! Fanya utafiti kabla ya kukurupuka. Qur'an iko sahihi muda wote, kuna wenzio wengi wamejaribu kui-discredit wamechemsha.

Haya ongeza maarifa Sun Orbit

Ukaamua kuanzisha lingine hapa
Ni kweli viumbe wote wameumbwa kwa Pairs? dume na jike?
Sura 51:49
And of every thing We have created pairs: That ye may receive instruction

Nikakupuuza ukaamua kuja kivingine hapa chini:

Jibu swali la Gambamala mkuu, lina mantiki

Watu wa Zamani hawakumaanisha orbit ya sasa. Wao walidhani jua huwa linazama kwenye tope (Sura 18:86). Pia walidhani mahala Jua linakozama kunafikika phyisically. wanasema kule jua linakochomoza kuna watu wasioungua, walikuwa wanadanganya watu

Mfano soma hii

Surah 18:90
Until, when he came to the rising of the sun, he found it rising on a people for whom We had not made against it any shield.

Sura 18:86
Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

AL - KAHF / QURAN ( SWAHILI ) / TheHolyQuran.org, quran, holyquran, holy quran, al quran, qur'an, al qur'an, coran, kuruan, koran, corano,koraani, qoran, kuran, islam, muslim, allah, arabic, trke,meal, der heilige Koran, islam, muslim, chinese al qur
Wewe uelewa wa watu wa zamani utaujua wapi?! Mwanzo ulisema jua halina orbit, baada ya kuelimishwa unajifanya sasa ndio unawajua sana watu wa zamani??!! hili suala la watu wa zamani kudhani umelitoa wapi? Kama kweli Qur'an imeandikwa na watu (for the sake of argument) basi ni wazi wanakuzidi mbali sana maana wao pamoja na kutokuwa na internet na teknolojia waliweza kujua jua lina orbit wewe umeshindwa, karne hii!!!! Hata ku-google tu ulishindwa. Sasa kwa kiwango hiki cha uelewa unategemea kuna kitu naweza kujadili na wewe??!!

Ushauri wa bure: Rudi darasani ukajifunze kwanza elimu yako ndogo sana kuweza kuelewa nitakachokueleza. Pia acha kejeli kuna mengi sana usiyoyajua chini ya jua. Hiyo kazi ya kucopy na kupaste wengi tu wanaweza.
 
Israel hana cha kuwashinda warabu jeshi lake vita vya ardhi hawawezi, ki Air force ilikuwa zamani sa warabu wana silaha hata USA anawaogopa sio Israel ambaye ni mtoto.

waarab hizi silaha wanazipatia wapi kama sio USA na Rusia? so iweje USA amwogope mteja wake aliyemuuzia silaha?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Iran sio warabu dogo rudi shule ukasome, afu Iran ni nchi ya kislam ambayo Israel hajawahi kuichokoza wala hatasubutu kuisogelea, na siku akijidai kuisogelea ndio hakuna tena wa Israel wataishi katika ardhi ya Palastina.

so waarab wanavyoishambulia ISRAEL iran huwa haishiriki? na kama hua inashiriki hatua gani ya kimaendeleo ambayo imearchive? imefikia lengo lake la kuifuta ISRAEL?
 
Tazama vichwa vya Nuclear vya Saud Arabia vinatosha kuwamaliza IsraelIsrael hajawahi kuonyesha yeye kama anavyo, Saud Arabia kasha onyesha, kama ana Nuclear war head, na hizo za chini ni Saud Arabi anatengeneza kwa hio Israel hawezi kushindana na wa Islam hata siku moja

ni kweli israel hawez shindana na islam hata siku moja, sasa atashindanaje na VILAZA? si anapoteza muda wake tu? au hujui kwamba waarabu ni VILAZA? embu nipe teknolojia ambayo wameleta waarabu hapa duniani ili tuprove kwamba hawa jamaa sio UBONGO WA PANZI

hivi nuclear ni project ya nani? muarabu au myahudi?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha dunia nzima imeisha wadharau Israel kwamba hawana kitu, ikiwa anga lao limezamishiwa Missiles na Hazbullah na Hamas, ujuwe ni kama chandurua hawawezi kuziwia vyombo kutoka Iran au Saud Arabia au kucheza na F16 BLOCK 60 za UAE.Hio ndege hata Israel amenyimwa na USA chezea jeuri ya pesa ya warabu, hio F16 BLOCK 60 inapenya anga za Israel bila ya Israel kuona kitu ndio masharti ya UAE alimpa USA kabla ya deal.

Waarabu Hawawezi kupigana na Israel wakashinda Hata Sikumoja. Hawa VILAZA wataweza wapi ishinda Technological Superpowe of Middle East? Waarabu wanatengeneza Silaha gani za Maana? Iran Pekee ndio inayojitahidi lakini sio Waarabu. Hizo F16 Unazodhani waarabu wataweza kuwatishia nazo Israel unajidanganya. Kumbuka Kwamba hizo F16 zinatengenezwa na Marekani. Model walizo nazo Saudi Arabia sio sawa na model walizonazo Israel. Soma Kwanini Marekani aliwauzia Saud Arabia F16s na Israel akawauzia F16i, Soma tofauti iliyo kati ka hizi Model Mbili, Halafu jiongeze mwenyewe.

Kama unataka kuona baadhi ya Ndege za Kivita za Israel bofya hapa

Kama Unataka kuona Vita Israeli alivyoshinda bofya hapa

Waarabu wapeleke VICHWA VYAO SHULE waache kubwia tende, kama wanataka kujikomboa kifikra. (Maaana Kujikomboa Kijeshi itakua miujiza)
 
waarab hizi silaha wanazipatia wapi kama sio USA na Rusia? so iweje USA amwogope mteja wake aliyemuuzia silaha?
dogo warabu hizo silaha wanazinunua hawaombi bure kama muisrael, hakuna kitu kibaya kama wewe uwe unategemea kununuliwa mlo na jamaa mwisho wa takutia. Israel hawezi kufanya kitu bila USA. Na nani kasema warabu silaha zao wanazipata kutoka USA na Russia, tatizo umelala hujui warabu wako wapi. Warabu wamepigia hatua ya kila kitu sio silaha tu.
 
ni kweli israel hawez shindana na islam hata siku moja, sasa atashindanaje na VILAZA? si anapoteza muda wake tu? au hujui kwamba waarabu ni VILAZA? embu nipe teknolojia ambayo wameleta waarabu hapa duniani ili tuprove kwamba hawa jamaa sio UBONGO WA PANZI

hivi nuclear ni project ya nani? muarabu au myahudi?
Mwafrika ni mtu ambaye katika kitu yuko nyuma ndio sababu mmebaki kusikia zile hadith, mimi nataka wewe uniambie toka 1967 Israel kashinda vita ipi? Na vita vingapi kapigana toka 1967 nipe vita mbili au tatu alizo shinda kama unaweza. Unaongea kama mtu kichaa hajui anasema nini.
 
Mara hii umeamua kujivua Ufahamu kazi kwako sasa.
Mwafrika ni mtu ambaye katika kitu yuko nyuma ndio sababu mmebaki kusikia zile hadith, mimi nataka wewe uniambie toka 1967 Israel kashinda vita ipi? Na vita vingapi kapigana toka 1967 nipe vita mbili au tatu alizo shinda kama unaweza. Unaongea kama mtu kichaa hajui anasema nini.
 
Waarabu Hawawezi kupigana na Israel wakashinda Hata Sikumoja. Hawa VILAZA wataweza wapi ishinda Technological Superpowe of Middle East? Waarabu wanatengeneza Silaha gani za Maana? Iran Pekee ndio inayojitahidi lakini sio Waarabu. Hizo F16 Unazodhani waarabu wataweza kuwatishia nazo Israel unajidanganya. Kumbuka Kwamba hizo F16 zinatengenezwa na Marekani. Model walizo nazo Saudi Arabia sio sawa na model walizonazo Israel. Soma Kwanini Marekani aliwauzia Saud Arabia F16s na Israel akawauzia F16i, Soma tofauti iliyo kati ka hizi Model Mbili, Halafu jiongeze mwenyewe.

Kama unataka kuona baadhi ya Ndege za Kivita za Israel bofya hapa

Kama Unataka kuona Vita Israeli alivyoshinda bofya hapa

Waarabu wapeleke VICHWA VYAO SHULE waache kubwia tende, kama wanataka kujikomboa kifikra. (Maaana Kujikomboa Kijeshi itakua miujiza)
Kwanza Israel hajashinda vita yoyote ile tokea alipowashinda warabu 1967 zilizo baki hakuna alizo shinda. 1973 hakushinda, vita alizo pigana na Hazbullah na Hamas zote hajashinda, kashindwa zote. Unapo ongea Israel ana ndege hizo ndege zote kahongwa na USA na hata hivyo ndege zote za Israel haziwezi kuchua kwa ndege za UAE F16 BLOCK 60 au ndege za Saud Arabia Euro Fighters, kumbuka fleet zote za ndege za Israel Saud Arabia anazo kama hujui ka dig information utajifunza mengi. Tazama watoto w akiarabu wanavyo zichezea ndege hata USA na Western Pilot wanashangaa. Nakuekea sasa pia wanawake ambao wako mbali sana na wafrika, nadhani wafrika bado sana kufikia hatua yao
 
Last edited by a moderator:
Mwafrika ni mtu ambaye katika kitu yuko nyuma ndio sababu mmebaki kusikia zile hadith, mimi nataka wewe uniambie toka 1967 Israel kashinda vita ipi? Na vita vingapi kapigana toka 1967 nipe vita mbili au tatu alizo shinda kama unaweza. Unaongea kama mtu kichaa hajui anasema nini.

mkuu ISRAEL kashinda vita zote alizopigana na mwarabu, embu nambie wewe vita ambayo mwarabu alishinda alivyopigana na ISRAEL
 
dogo warabu hizo silaha wanazinunua hawaombi bure kama muisrael, hakuna kitu kibaya kama wewe uwe unategemea kununuliwa mlo na jamaa mwisho wa takutia. Israel hawezi kufanya kitu bila USA. Na nani kasema warabu silaha zao wanazipata kutoka USA na Russia, tatizo umelala hujui warabu wako wapi. Warabu wamepigia hatua ya kila kitu sio silaha tu.

embu sema wewe wanazipata wapi? wana jeuri ya kutengeneza?
 
dogo warabu hizo silaha wanazinunua hawaombi bure kama muisrael, hakuna kitu kibaya kama wewe uwe unategemea kununuliwa mlo na jamaa mwisho wa takutia. Israel hawezi kufanya kitu bila USA. Na nani kasema warabu silaha zao wanazipata kutoka USA na Russia, tatizo umelala hujui warabu wako wapi. Warabu wamepigia hatua ya kila kitu sio silaha tu.

ulijiuliza ni kwa nini Israel anapewa silaha bure na mmarekani? kule USA jewish wameshikililia zile sehemu nyeti zote, kwa mfano haya mateknologia ya sasa hivi huko mbele yamegunduliwa na yanaendeshwa na hawa jamaa, mifano tu ambayo wewe unatumia teknologia za myahudi kila siku ni google, facebook, hiyo nuclear ambayo iran ndo anaangaika nayo sa iv imegunduliwa na kichwa cha kiyahudi, sasa ulitaka USA amuuzie Israel teknologia ambayo kuna mkono wake? si usualy atawauzia VILAZA TU? HALAF NIMEKUAMBIA UNIPE TEKNOLOGIA AMBAYO MUARABU KICHWA MAJI KAILETA HAPA DUNIANI, TUONE KAMA HUJANIJIBU MUARABU SI AMELETA MKEKA NA JAMVI?
 
mkuu ISRAEL kashinda vita zote alizopigana na mwarabu, embu nambie wewe vita ambayo mwarabu alishinda alivyopigana na ISRAEL
2006 Hazbullah aliwashinda, walingia Lebanon kwa sababu ya kuchukua matekwa wale wawili mpaa vita imesimamishwa na UN Hazbullah hakuwarudisha wale matekwa, 2000 walikimbia Lebanon baada ya kuivamia Lebanon, 2008 Gaza walishindwa, 2010 Gaza walishindwa, 2012 Gaza walishinda na 2014 Wameshindwa. Sa we hebu nipe wapi katika hizo vita alishinda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom