Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,248
- 15,069
- Thread starter
- #21
Mu-Israeli
PLO toka lini wakawa wanakubaliana na anacho fanya HAMAS hao walisha uza kila kitu kwa faida yao, tazama Israel kila siku anachukua ardhi ile imekaliwa na nani kama sio ile iko chin ya PLO.
Hao PLO mpaa wake zao wanatibiwa Hospital za kina Natanyahau, afu unataka kusema PLO sijui kaseme nini.
Kwanini israel analilia PLO warudi Gaza, ANAJUA WAKISHA RUDI PALE VIBARAKA WAKE WAMERUDI pale na atakuwa hana wasiwasi tena.
Tazama gazeti la Israel linasema nini.
Opposition leader calls for elections after Hamas war ends
Slamming Netanyahu, Labor's Herzog says Israel must try for peace deal with Abbas or risk West Bank becoming like Gaza
Read more: Opposition leader calls for elections after Hamas war ends | The Times of Israel http://www.timesofisrael.com/opposi...elections-after-hamas-war-ends/#ixzz3C8BF4BuN

Last edited by a moderator: