Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,248
- 15,069
- Thread starter
- #121
Sikia kijana ukisoma Bibilia Mwanzo 25:6 Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka mwanawe, wakati wa uhai wake, waende pande za mashariki, mpaka nchi ya Kedemu.Lile andiko la Mathayo ulilolitoa umelielewa kwanza!? Haya hebu nifafanulie sasa haya maandiko uliyoyatoa...
Zekaria 8:7 Bwana wa majeshi asema hivi, Tazama, nitawaokoa watu wangu toka nchi ya mashariki, na toka nchi ya magharibi;
Mwanzo 13:14 Bwana akamwambia Abramu, alipokwisha kutengana na Lutu, Inua sasa macho yako, ukatazame kutoka hapo ulipo, upande wa kaskazini, na wa kusini na wa mashariki na wa magharibi;
Mwanzo 28:14 Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Joshua 11:3 na kwa Mkanaani upande wa mashariki, na upande wa magharibi, na kwa Mwamori, na Mhiti, na Mperizi na Myebusi katika nchi ya vilima, na kwa Mhivi pale chini ya Hermoni katika nchi ya Mispa.
Zaburi 50:1 Mungu, Mungu Bwana, amenena, ameiita nchi, Toka maawio ya jua hata machweo yake.
Zaburi 103:12 Kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, Ndivyo alivyoweka dhambi zetu mbali nasi.
Una copy na ku paste tu wakati huelewi haya nipatie ufafanuzi hapo juu, wakati ukipitia hayo maelezo uliyoleta mwenyewe...
The Land we call Saudi Arabia is called Midian, Meshech, Keder, and Dedan in the bible.
Paul said Mt. Sinai was in Saudi Arabia: Gal 4:25
Tazama table humo utaona ukweli.
Paul used Hebrew not Roman references because the entire book is written to prove that Jews must give up the law of Moses given at Mt. Sinai. He makes a very strong appeal to Hebrew tradition in the opening chapter: Gal 1:13-18. Remember, the Hebrew Old Testament clearly defines Arabia as excluding the Sinai Peninsula and the New Testament uses Arabia only twice by Paul in the same book of Galatians! First he says he spent three years in Arabia immediately after his conversion, then says Mt. Sinai is in Arabia. The inference, of course, is that just like Moses and Elijah, Paul spent personal time with God on Mt. Sinai. If we let the Bible define Arabia, from the specific information provided, Mt. Sinai cannot be in the Sinai Peninsula.
[TD="width: 29%"] Saudi Arabia (Midian)
[/TD]
[TD="width: 24%"] Sinai Peninsula
[/TD]
[TD="width: 48%"] Arabia had many kings:
2 Chron. 9:14; Jer. 25:24
[/TD]
[TD="width: 29%"] Yes
[/TD]
[TD="width: 24%"] No
[/TD]
[TD="width: 48%"] Paid Tax to Solomon:
2 Chronicles 9:14
[/TD]
[TD="width: 29%"] Yes
[/TD]
[TD="width: 24%"] No
[/TD]
[TD="width: 48%"] Silver and gold mines:
2 Chron. 9:14-15
[/TD]
[TD="width: 29%"] Yes
[/TD]
[TD="width: 24%"] No (copper, turquoise)
[/TD]
[TD="width: 48%"] Arabia is where Hagar and Ishmael lived:
Genesis 16:12; 21:21; 25:18
[/TD]
[TD="width: 29%"] Yes
[/TD]
[TD="width: 24%"] No
[/TD]
[TD="width: 48%"] Arabia is where Kedar, Tema and Dedan lived:
Isa 21:13; Jer 25:23-24; Ezek 27:21
[/TD]
[TD="width: 29%"] Yes
[/TD]
[TD="width: 24%"] No
[/TD]
[TD="width: 48%"] Arabs bordered the Ethiopians:
2 Chronicles 21:16
[/TD]
[TD="width: 29%"] Yes
[/TD]
[TD="width: 24%"] No
[/TD]
Yani nyie hamna ujanja mtakwepa we kila kona, lakini mnanasa tu.