Hakuna dalili hata moja unaweza kutoa Iran anapewa msaada na Russia, Iran kapigana vita miaka 8 dunia nzima ilikuwa upande wa Iraq, na Iraq hakuweza kumshinda Iran. Yale yale ya Israel kujidai kashinda vita 1973 wakati sio kweli. Leta vita alizo pigana Iran uone kama kapewa msaada na nchi yoyote, sa tazama upande wa Israel vita vyote hata ya hio na Hamas walio pigana karibuni, mpaa akalambe makamsi ya kuombewaa huruma kwa USA.
israel asingekua ameshinda vita ya 73 basi leo golan ingekua syria, yani ilibaki kidogo tu makazi ya wayahudi yangekua mpaka damascus