Israel na ukiristo

Status
Not open for further replies.

Huyo aliyosema Yesu hakupakwa mafuta amekosea au labda huelewi maana ya masihi.
Masihi maana yake mpakwa mafuta.
 
Mpinga Kristo ni yeyote anayekataa kuwa Yesu ni Mungu! Awe myahudi, mfilisti au muislamu! Wote hao ni wapinga Kristo!
Yeyote anayekataa kwamba Yesu alikufa msalabani na kisha kufufuka siku ya tatu naye ni mpinga Kristo!
Kwahiyo si wayahudi pekee wanaopinga hilo bali hata waarabu, wahindi na mataifa mbalimbali, ingawaje wapo miongoni mwao wawe ni waarabu au wayahudi au wahindu waliookoka na kujua na kukiri Kristo ni Mungu! Uislamu ndio dini ya kwanza inayompinga Kristo!
 

Apakwe Mafuta na nani?

Unajua wale ni kwamba walipote ktk unabii wao na ndio maana wamekua wanazua mengi tu ju ya Yesu!

Mi Niseme kitu kimojo Km Wangejua dhumuni la Yesu kuja duniani na kumjua yeye km nani basi wasingekua na hoja yeyote! Kwasababu ni Mara nyingi alikua akiwambia kua ufalme wake sio Wa hapa! Sasa Km sio Mfalme Wa hapa apakwe Mafuta na nani? Yeye alizifanya hizo taratibu kwa wanadamu lkn sio taratibu hizo kwake yeye Kwani yeye ni kuhani kitambo nani mpakwa Mafuta kitambo!
 
..., Je wajua kwamba wayahudi hawaamini mambo ya afterlife?

si kweli,
uyahudi kama dini unamatabaka mengi, mojawapo lililopata nguvu na kujitenga ni ukristo.

Ndani ya uyahudi mafundisho yalinyambulika kulingana na mwalimu, kiufupi baadhi ya makundi makuu yaliyo orodheshwa kwenye Biblia ni Mafarisayo na Masadukayo wamwisho wakiamini ukisemacho na wa awali kinyume chake.
 

No, hyo dola ya mwisho ni rumi/roma(Vatican/Italy) kwa ss ambayo itakuja kuwa na nguvu km ile rumi ya kwanza na hapo ndo atatoka mpinga kristo (hyo pembe ndogo)ndani ya roma, ambayo itatawala kwa kipindi kifupi sana
 
No, hyo dola ya mwisho ni rumi/roma(Vatican/Italy) kwa ss ambayo itakuja kuwa na nguvu km ile rumi ya kwanza na hapo ndo atatoka mpinga kristo (hyo pembe ndogo)ndani ya roma, ambayo itatawala kwa kipindi kifupi sana


Mkuu! Itatawala Dunia kwa namna gani wakati saizi Tuko ktk tawala ya mfinyanzi na chuma kwa mujibu Wa sanamu ya Mfalme Nebuchandnezzer? Maana maandiko yanasema hatutoshikamana! Sasa hapa Hii tawala itafanya vipi ili kupitisha hizo taratibu zake?
 
Unabii upi unaotaka kujua ntuzu?
Soma ufunuo wa Yohana utapata majibu.

Swali kwako unajua mpinga kristo hizo cku za utekelezaji wa 666 atatokea wapi exactly?


Mkuu si ufunuo Wa Yohana tu Mkuu Bali ata kitabu cha Daniel kiko na mambo hayo!

Na pia sio mpinga Kristo! Ni mpinga ibada ya kweli!
 

Hapo sikubaliani na ww mkuu u a wrong.
Ufunuo wa Yohana unaongelea mambo yajayo na si yaliyopita.
Labda km cjakuelewa vzr

pia Kuna manabii waliotangulia walioyaandika yalishatukia

Cc maxishimba, co zis way
 
kama ukristo ulipata nguvu na kujitenga ndo kusema nao ni uyahudi?kama ndivyo nao wanaamini vitabu vya kiyahudi kama Talmud?
 
mfano rahisi nabii, anapewa maono kuhusu mfalme ajaye, Samweli; tunaona akimpaka mafuta Sauli na Daudi.

Ukisoma habari za yesu, makuhani (unaowafananisha Na Samwel ) Walikuwa corrupt! Unadhani Mungu angemtumia mtu corrupt kutangaza mpakwa mafuta wake?
 
Hapo sikubaliani na ww mkuu u a wrong.
Ufunuo wa Yohana u naongelea mambo yajayo na si yaliyopita.

pia Kuna manabii waliotangulia walioyaandika yalishatukia

Cc maxishimba, co zis way

Kwanza Mkuu unapaswa ufahamu hicho kitabu cha ufunuo kiliandikwa muda gani Yani Mwaka gani! Na pia kuna baadhi ya mambo kinayoyazungumzia yamekwisha kutimia na mengine bado! Kwa Mfano ufunuo 9 mambo yanayozungumzwa hapo yameshatimia!
 
Hapo sikubaliani na ww mkuu u a wrong.
Ufunuo wa Yohana u naongelea mambo yajayo na si yaliyopita.

pia Kuna manabii waliotangulia walioyaandika yalishatukia

Cc maxishimba, co zis way
kama lipi ambalo limetimia?.ukisema isaya kuhusu yule mtoto emanuel huo unabii haukumuhusu yesu ndo maana hata yeye hakupatwa kuitwa emanuel.unabii ulimhusu mtoto wa king Ahaz lakini wakapitishiamo kuwa ulimhusu yesu.
 
kama ukristo ulipata nguvu na kujitenga ndo kusema nao ni uyahudi?kama ndivyo nao wanaamini vitabu vya kiyahudi kama Talmud?

mkuu we dini gani?
Wayahudi waliamini Tourati na manabii = Agano la kale, ukiacha vitabu vingine na mapokeo.
 
ibada ya kweli ni ipi, kila anayejiita mkristo anaitimiza?


Hapa ndio penye kazi Mkuu!

Nitakuja kujibu hili badae Ngoja tuendelee kidogo! Lkn kwa harakahara ni vita dhidi ya Uasi na ibada ya kweli!
 
Ukisoma habari za yesu, makuhani (unaowafananisha Na Samwel ) Walikuwa corrupt! Unadhani Mungu angemtumia mtu corrupt kutangaza mpakwa mafuta wake?

Yohana mbatizaji alikuwa safi.
 
ibada ya kweli ni ipi, kila anayejiita mkristo anaitimiza?

Waabudio halisi, katika roho na kweli.
Wale wanaomwabudu Mungu katika roho na kweli.
Kwa maana Mungu ni roho wamwabudio yawapasa kumwabudu katika roho.
Sio issue ya dini wala dhehebu wala mchungaji.

Sio kila anaejiita mkristo anatimiza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…