Israel na ukiristo

Status
Not open for further replies.





nafikiri hii iko nje ya maada , cha msingi ungelijadili hiyo maada inayojadiliwa kwanza. Iyo ya yesu ni mungu au ni mtu wa kawaida ni mjadala mwengine uo.
 

Mkuu yaani sijakuelewa hebu dadavua vizuri,
•Wakati hayo mabilion ya watu yakiuwawa hao wazee wa NWO watakua wamejificha wapi?

•What if hao wazee wakafa kwenye hiyo vita,will it be no NWO?What will happen next?
 
Acha kupotosha. unaingiza maneno unayoyataka wewe.
Huoni aibu kufoji Quran kwa ajili ya kutetea dini yako? kweli umefilisika.
Quran, Surat An Nisaa aya ya 171 inasema hivi,

Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha

Tafsiri Kwa kiingereza ipo hivi;

O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.


So acha kuizalilisha dini yako ya kikristo kwa kufoji tafsiri ya Quran.
Mkristo wa kweli hutetea dini yake kwa maandiko yaliyopo na sio kufoji.

Anyway, wadau tuendelee na mada.
 

wewe sio Mkristo. kwa Mkristo yeyote aliyefika Israel ni kwel Wayahud hawapend kubadilishwa din. na pia nikwel kuwa wayahud wanampango wa kujenga Hekalu lao lile alilojenga Suleman kwaajil ya Mungu. na sio kwel eti kwaajil ya makafara. na pia Wakristo tumeambiwa na Yesu mwenyewe kuwa wokovu unatoka kwa Wayahudi. tena tumeambiwa tuwabariki. coz tutabarikiwa na tukiwalaan tutalaaniwa. lakin tambua pia Israel ndio nembo ya kuwepo Mungu wa kweli. hebu jiulize tuseme leo haipo Israeli ipo Palestina. ukitaka kumwelekeza asiyemjua Mungu wa kwel kuwa zaman Mungu aliongea na taifa flan linaitwa Israel ambalo lilishafutika humu dunian atakuelewa kwel. si ndio hadith kama za ile kusema ilikuwapo Eden ya Adam na Eva?
 
Hapo ndo nashindwa kuelewa.
Wayahudi wenyewe hawamwamini Yesu kama ni Mungu.
Wewe unasema Yesu amekwambia wokovu unatoka kwa wayahudi(wasio mwamini Yesu). na umehimizwa uwabariki wayahudi.
Hebu nifafanulie hapo.
 
Mkuu yaani sijakuelewa hebu dadavua vizuri,
•Wakati hayo mabilion ya watu yakiuwawa hao wazee wa NWO watakua wamejificha wapi?

•What if hao wazee wakafa kwenye hiyo vita,will it be no NWO?What will happen next?
kuna mabunker ambayo ni nuclear proof,halafu hawa watu wanarithishana mfano wapo akina jacob rothchild waanzilishi lakini hivi saa kuna Nathaniel rothchild huyo ni kijana tu.walikuwepo akina john rockfeller na saa kama sikosei yupo David rockfeller,nikipata mda ntakuwekea link ya hao jamaa ili ujisomee mwenyewe.
 
Mi naona Km hapa shetani anatupiga changa la macho! Waliyo nyuma ya hiyo familia ni taifa gani?
 
Mkuu yaani sijakuelewa hebu dadavua vizuri,
•Wakati hayo mabilion ya watu yakiuwawa hao wazee wa NWO watakua wamejificha wapi?

•What if hao wazee wakafa kwenye hiyo vita,will it be no NWO?What will happen next?
kuna mabunker ambayo yana amount like underground cities kama hili.yanahimili hata nuclear blast na yako well stocked.
 


Mleta uzi umenikumbusha kitu kimoja labda niwape.mimi binafsi nimebahatika kufanya kazi na hawa waisrael ambapo mwanzo nami nilikuwa nikifikiri kama wakristo wengine wanavyodhani kuwa ni wakristo wenzao mwenzetu mmoja mbongo si akampa zawadi ya rozali dada wa kiyahud kwanini asiikatae ndipo nikaanza kufatilia kumbe utaifa wao na dini yao ni jews na kuna wakristo na waislam pia kitu ambacho sikuamini ni kuwa kutakuwa na waislam ndani ya israel.
 
...
Si tatizo lako! ...hujui unalotaka kueleza!
"copy & paste"
Sio tatizo lake bali ni tatizo lako, weye unalijua alilotaka kulieleza lakini hutaki kulieleza eeeh!!!
 

Mbona hiyo ni moja ya kazi zao za kila siku! Kuweka tafsiri wanazozita wao.
 
Huyu ameandika mawazo ya watu kama yy wenye mawazo hasi kama yake,yaachen maandiko matakatifu yatuongoze wakristu dunian kote,wenye roho mbaya na chuk wajinyongee
 
,nikipata mda ntakuwekea link ya hao jamaa ili ujisomee mwenyewe.[/QUOTE]

Nimekupata mkuu.
 
,nikipata mda ntakuwekea link ya hao jamaa ili ujisomee mwenyewe.

Nimekupata mkuu.[/QUOTE]
hapa naweza weka link hadi nikabore watu.

We nenda..thetruthseeker.com kisha pale kwa juu click kwenye category utakuta ziko nyingi,zikiwemo rothchild,rockfeller,anti christ,9/11 etc...infor nyingi zipo hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…