hebu fanya utafiti kwanza. Hivi sasa hakuna Syria,Jordan,Saudia,Iraq na wala hakuna umoja tena. Egypt baada ya ile vita ya 1973 ilitambua kitu ambacho wengi hawakifahamu. Kitu hicho ni kwamba haiwezekani ukaipiga isreal na marekani pamoja na mataifa mengine ye uropa yakanyamaza kimya. Baada ya kutambua ukweli huo, walibadilisha sera zao na kuunda urafiki wa kidiplomasia[walipewa sehemu kubwa ya ardhi yao iliyotekwa na isreal. Sioni hata Iran ikifanya hivyo maana athari zake wanazijua na ndiyo maana wote pamoja na wamarekani wanacheza mchezo wa paka na panya na kila mmoja wao akijua sheria za mchezo huo.