Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
James Mattis: Lengo la Washington si vita na RFI
Hivi North Korea bado hajapigwa tu.Iran inajilinda wala haina nia ya kupigana na nchi yoyote, pia inasaidia washirika wake.
Katafte jinsi Iran inavyofanya covert affairs Afghanstan kwa kuwa train na kuwapa silaha Taliban, Syria kwa kuwa train na kuwapa silaha Hezbollah.
Marekani na Israel wanalijua hilo ndiyo maana wamemwekea vikwazo vingi ambavyo badala ya kumbomoa vimemjenga zaidi, now Iran ni tishio kwa kuliko ilivyowahi kuwa huko nyumba na ndiyo maana kwa sasa Iran siyo nchi unayoweza kuamka na kwenda kuivamia kama walivyifanya Iraq na Libya wewe unaweza kuwa una idharau lakini Israel na USA wanajua uwezo wake.
Sasa effect ni nini?
Effects zake zimefanya nchi nyingine ndogo kuona kuwa kumbe wanaweza jiimarisha kijeshi wakazidindia Israel na USA. Tena NK ndiye kanogesha zaidi game hili.
Hahaha walidhan bwana Kim ni mtu wa kuogopa kutishwa kumbe wapi bwanaHivi North Korea bado hajapigwa tu.
Hahahaaaaa USA wana mikwara utadhan baba ubaya wa gazeti la kiu. Yaani yale mamikwara nilijua kesho tu mtu anadundwa
Sasa atamsambaratisha vipi kama anaogopa kuzipiga?. Ndo yale yale ya vua viatu ndo tuanze kupigana. Shortly USA hamuwez tena KidukuTukisema vita zipiganwe kwa Ufair bila nchi nyengine kusaidia, Iran anaouwezo wa kuisambaratisha Israel ndani ya wiki tu, Marekani akaisambaritisha north Korea kwa wiki pia (Hapa mmarekani anaogopa Nuclear tu ndo maana hataki kuzipiga).
Aliishi akafukuzwa kwanini wao bado wanaishi na hao mashoga?Umeambiwa nchi teule hujaambiwa hakuna mashoga, hata mbinguni aliwahi kuishi shetani