Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

6 days War
Hiyo zilipendwa hawezi pigana tena vita kama ile akashinda, hezibollah kuna kipindi imemtoa kamasi mpaka akaanza lalamika.
Kipindi anapigana hiyo vita nchi nyingi za kiarabu walikuwa wachovu tu walitegemea egypt ndiye aongoze msafara.
Iran tu hathubutu kuishambulia kama anavyofanya syria anabaki piga kelele UN.
Kama kweli mbabe akaishambulue kwa ndege maana Iran uwa inasema hadharani kuwa itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia.
 
Hiyo vita kila mara inatumika kama reference.
Kumbuka hata Rumi iliwahi kuwa dola kubwa ikatawala dunia.
Ottoman empire pia leo hii ziko wapi.
Kipindi hicho nchi nyingi za kiarabu zilikuwa hazijiwezi walitegemea egypt ndiye aongoze msafara.
Kwa sasa hawezi kupigana vita kama ile akashinda ndiyo maana hata Iran yenyewe hathubutu kuishambulia hadharani kama anavyofanya syria maana anajua akipeleke ndege zake kule Iran akijibu itakuwa shida.
Siku ikianza Vita kati ya Iran na Israel hapo mashariki ya kati hapata kalika
 
Na ndiyo maana wanaepuka hiyo vita kwa style yoyote ile.
Watafanyiana hujuma za kiintelijensia lakini hakuna anayethubutu kumahambulia mwenzake moja kwa moja hadharani
 
Hiyo zilipendwa hawezi pigana tena vita kama ile akashinda, hezibollah kuna kipindi imemtoa kamasi mpaka akaanza lalamika.
Kipindi anapigana hiyo vita nchi nyingi za kiarabu walikuwa wachovu tu walitegemea egypt ndiye aongoze msafara.
Iran tu hathubutu kuishambulia kama anavyofanya syria anabaki piga kelele UN.
Kama kweli mbabe akaishambulue kwa ndege maana Iran uwa inasema hadharani kuwa itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia.
Tatizo la Hezbollah wanatumia human shield, yaani wapiganaji wanajichanganya na raia wa kawaida ndo maana inakuwa ngumu sana kwa Israel.
 
Unataka aminisha watu kuwa Israel wana roho nzuri sana uwa wanashindwa washambulia Hezbollah kwa kuhofia kuua watu wasio na hatua?
That is not true, mara ngapi Israel jeshi limeua wapalestina ambao hata hawakuwa na silaha wanawake na watoto bila huruma.
Ije kuwa eti wajali hezbollah wakati wana silaha na waneshambulia.
Hezbollah aliishambulia Israel mpaka ikaomba poo.
 
Israel mi naona wanipaisha Tu
waarabu wanaijua ISRAEL,nchi zaid ya kumi za kiarabu zilipigwa ndani ya siku 6 kwa pamoja,kumbuka isrel imezungukwa na nchi za kiarabu kote isipokuwa upande wa magharibi ni bahari.sasa waarabu walipanga kuiangamiza tokea kila upande,nchi zisizopakana nayo zillijiunga na zile zinapakana nayo.Lebanon,syria,misri,jordan na iraq zikisaidiwa na Algeria,morocco,Tunisia,Kuwait,Pakistan,Libya,Sudan n.k zilipigwa vibaya sana bila msaada toka kokote.Syria ilipoteza karibu robo ya ardhi yake,milima ya Gorani ilitekwa wakati uo,misri nayo therufi ya ardhi yake ilitekwa.Lebanon ilipigwa mpaka beirut.
 
Hiyo zilipendwa hawezi pigana tena vita kama ile akashinda, hezibollah kuna kipindi imemtoa kamasi mpaka akaanza lalamika.
Kipindi anapigana hiyo vita nchi nyingi za kiarabu walikuwa wachovu tu walitegemea egypt ndiye aongoze msafara.
Iran tu hathubutu kuishambulia kama anavyofanya syria anabaki piga kelele UN.
Kama kweli mbabe akaishambulue kwa ndege maana Iran uwa inasema hadharani kuwa itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia.
Mbona huyo Iran hajamfuta kwenye ramani ya dunia, lini basi atamfuta?
 
Wote wanapigana mkwara ila Israel kwa sasa kapata kidume mwenzake ambaye hawezi kuwa anamshambulua shambulia kama anavyofanya syria.
Hebu pata picha Iran ndiye sponsor mkuu wa Hezbollah, laiti Israel asingekuwa anamuogopa Iran wadhani angemfanyaje kama siyo kumtumia mindege akamshambulia?
Juzi juzi kafanya hivyo syria, mwanzoni mwa mwaka huu kafanya hivyo Somalia kashambulia kiwanda cha kuunda silaha somalia.
Lakini hathubutu kufanya hivyo kwa Iran maana anaujua mziki wake.
 
Hiyo vita kila mara inatumika kama reference.
Kumbuka hata Rumi iliwahi kuwa dola kubwa ikatawala dunia.
Ottoman empire pia leo hii ziko wapi.
Kipindi hicho nchi nyingi za kiarabu zilikuwa hazijiwezi walitegemea egypt ndiye aongoze msafara.
Kwa sasa hawezi kupigana vita kama ile akashinda ndiyo maana hata Iran yenyewe hathubutu kuishambulia hadharani kama anavyofanya syria maana anajua akipeleke ndege zake kule Iran akijibu itakuwa shida.
mgogoro wa iran na israel upo muda mrefu hasa ukichochewa na iran kwa kuwasaidia wana mgambo wa kishia hizbollah na wa kipalestina kwa kuwapa silaha na fedha ka ajili ya kupambana na Israel,Iran ilishatangaza kuwa itaifuta Israel kwenye raman ya dunia,toka miaka ya 70 ISRAEL imeishambulia Iran kwa ndege mara kadha ikirenga viwanda vya nyukria.imewaua wana sayansi wengi wa iran ili kuizuia iran kupata uwezo wa kutengeneza silaha za nyuklia.Israel ndio nchi ya pekee yenye uwezo wa silaha za nyuklia mashariki ya kati.katika ulimwengu wa kiarabu ni pakistan pekee yenye nguvu za kinyuklia walizopata mwanzoni mwa miaka ya 2000
 
kinachoikuza Israel ni historia yake, taifa hilo la mashariki ya kati lipo kati ya maadui,limepigana vita nyingi sana na kushinda,vita inayokumbukwa sana ni vita ya siku sita ambapo mataifa ya kiarabu na kiislam yalijiunga pamoja kuvamia israel ili kuifuta wakiongozwa na misri,walichakazwa vibaya sana.pili tecnolojia wapo mbali sana.kiujumla uwezo wanao.
hujui hata historia. nenda kasome ujerumani ilipigana vita na mataifa mangapi ulaya na kuyatawala.
 
mgogoro wa iran na israel upo muda mrefu hasa ukichochewa na iran kwa kuwasaidia wana mgambo wa kishia hizbollah na wa kipalestina kwa kuwapa silaha na fedha ka ajili ya kupambana na Israel,Iran ilishatangaza kuwa itaifuta Israel kwenye raman ya dunia,toka miaka ya 70 ISRAEL imeishambulia Iran kwa ndege mara kadha ikirenga viwanda vya nyukria.imewaua wana sayansi wengi wa iran ili kuizuia iran kupata uwezo wa kutengeneza silaha za nyuklia.Israel ndio nchi ya pekee yenye uwezo wa silaha za nyuklia mashariki ya kati.katika ulimwengu wa kiarabu ni pakistan pekee yenye nguvu za kinyuklia walizopata mwanzoni mwa miaka ya 2000
That was then and this is now.
Sasa hivi Israel hathubutu kuishambulia Iran zaidi zaidi anabaki kulialia huko UN na kwa swahiba wake Marekani mpaka kipindi cha Obama, Obama alikuwa ashamchoka waziri mkuu wa Israel kwa kulialia.
Now Israel hathubutu kupeleka ndege zake Iran hata kama anajua ndiyo masponsor wa Hezbollah hawezi kwa sasa na ndiyo maana analialia tu.
Na Trump anavunja nuclear deal na Iran tutegemee kusikia mengi na umesikia last week Israel inadai it's too late tayari Iran wanalo bomu la nuclear.
Patamu hapo...:
 
kinachoikuza Israel ni historia yake, taifa hilo la mashariki ya kati lipo kati ya maadui,limepigana vita nyingi sana na kushinda,vita inayokumbukwa sana ni vita ya siku sita ambapo mataifa ya kiarabu na kiislam yalijiunga pamoja kuvamia israel ili kuifuta wakiongozwa na misri,walichakazwa vibaya sana.pili tecnolojia wapo mbali sana.kiujumla uwezo wanao.
Kiukweli hawa jamaa bila msaada wa dunia ni inzi tu
 
That was then and this is now.
Sasa hivi Israel hathubutu kuishambulia Iran zaidi zaidi anabaki kulialia huko UN na kwa swahiba wake Marekani mpaka kipindi cha Obama, Obama alikuwa ashamchoka waziri mkuu wa Israel kwa kulialia.
Now Israel hathubutu kupeleka ndege zake Iran hata kama anajua ndiyo masponsor wa Hezbollah hawezi kwa sasa na ndiyo maana analialia tu.
Na Trump anavunja nuclear deal na Iran tutegemee kusikia mengi na umesikia last week Israel inadai it's too late tayari Iran wanalo bomu la nuclear.
Patamu hapo...:
That's true
 
Unataka aminisha watu kuwa Israel wana roho nzuri sana uwa wanashindwa washambulia Hezbollah kwa kuhofia kuua watu wasio na hatua?
That is not true, mara ngapi Israel jeshi limeua wapalestina ambao hata hawakuwa na silaha wanawake na watoto bila huruma.
Ije kuwa eti wajali hezbollah wakati wana silaha na waneshambulia.
Hezbollah aliishambulia Israel mpaka ikaomba poo.
Mkuu siku zote Israel huwa anatoa warning kwa raia wa kawaida kuwa wanakuja kushambulia, hii inafanyika ukanda wa Gaza na Huko Kwa Hezbollah, shida huwa inakuja kwa hao wanamgambo kuwakataza na kuwatishia raia wa kawaida kuwa wasiondoke maeneo yao na kinachotokea ni kuuwawa kwa hao wanamgambo na raia.....waarabu hawathamini saana miili yao wao wanaona kufa ni kitu cha kawaida tu.....alafu ugomvi wa Israel na Wanaojiita wapalestina hautaisha leo wala kesho, chamsingi tuwaache tu kama walivyo maana ndo maisha walioamua kuishi,utafanya nini sasa
 
That was then and this is now.
Sasa hivi Israel hathubutu kuishambulia Iran zaidi zaidi anabaki kulialia huko UN na kwa swahiba wake Marekani mpaka kipindi cha Obama, Obama alikuwa ashamchoka waziri mkuu wa Israel kwa kulialia.
Now Israel hathubutu kupeleka ndege zake Iran hata kama anajua ndiyo masponsor wa Hezbollah hawezi kwa sasa na ndiyo maana analialia tu.
Na Trump anavunja nuclear deal na Iran tutegemee kusikia mengi na umesikia last week Israel inadai it's too late tayari Iran wanalo bomu la nuclear.
Patamu hapo...:
Mkuu kitu kimoja nilichojifunza kwa waisrael huwa hawapendi kuonekana ni wababe na wananguvu wakihojiwa mfano kuna Mossad wastaafu wanaongea wazi kabisa kuwa Israel haina nguvu ya kumpiga Iran, Hezbollah, haman nk....wewe ingia YouTube utaona......alafu ishu nyingine Israel huwa aanzishi ugomvi Ila kombora lolote likigusa ardhi ya Israel tena mbaya Zaidi ikaua raia wake, malipo yake utayaona
 
Back
Top Bottom