Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

Kiziwi amuombe msaada kipofu wa kusomewa barua.
Israel inakuzwa tu kisa inaonea vipanya ikikutana na wababe utasikia wamekimbilia UN wanapiga kelele.
Nakuunga mkono mkuu Israel haina nguvu kiivyo ni vile tu imekuwa ikipigana na nchi takataka huku ikipatiwa msaada wa kila kitu na Marekani. Lakini ikikutana na nchi ambazo ni wababe haiwezi kufua dafu.
 
Iyo israel ipambane kwanza na hali yake.walishambiwa wao ni kama saratani ya kichwa awatakiwi kuwepo duniani
 
Iyo israel ipambane kwanza na hali yake,walishambiwa wao,ni kama salatani ya kichwa awatakiwi kuwepo duniani
Mkuu, jifunze kwanza kuandika ndio uendelee huko katika kujadili mambo ya Israel na mataifa mengine mazito!
 
Hawa jamaa wakiingilia tu, kiduku kwisha habali yake Israel wana nguvu duniani kalibu kwa kila kitu sema hawajikwezi kama marekani, urusi nk.
I like Israel alot but lets be fair, Israel is overrated.
Wapo vizuri sana lakini IQ yao ya kawaida kama jamii zingine walizochangamana nazo kwa kuoana na kuzaliana.

Mpaka sasa tafiti kadhaa zinaonesha jamii ya waasia ya mbali yaani wachina,wajapan, wakorea wote ndio wanaongoza kwa IQ kubwa duniani.
 
I like Israel alot but lets be fair, Israel is overrated.
Wapo vizuri sana lakini IQ yao ya kawaida kama jamii zingine walizochangamana nazo kwa kuoana na kuzaliana.

Mpaka sasa tafiti kadhaa zinaonesha jamii ya waasia ya mbali yaani wachina,wajapan, wakorea wote ndio wanaongoza kwa IQ kubwa duniani.
jamii [race]kiyahudi ndio jamii yenye uwezo mkubwa kiakili.IQ yao ipo juu kuliko jamii zote,hili linathibitishwa na uwezo wao katika nyanja mbalimbali za kisayansi.mfano wao ndio wanaoongoza kwa kuchukua tuzo za nobel katika tasnia ya sayansi zaid ya 26% ya washindi ni wenye asili ya kiyahudi,wao ni 0.2% ya wakazi wote duniani.wakuwa wagunduzi wa vitu vingi vya kiteknolojia.kiukweli wapo vizuri. Tatizo hapa sio uwezo wao kiakili bali kuchukiwa na jamii nyingi,sababu za chuki kwa hii jamii ni wivu,sababu za kidini,za kisiasa. Ndugu zangu ili niweke sawa jambo hili sina budi kugusa kidogo historia angalau kwa mbali ili tu tufike.Tukianza na wivu,hawa jamaa walitawnyika sehemu mbalimbali dunian toka kwenye yao asili kwa vipind vitatu vikubwa,wakati utawala wa NEBKADNEZER,TITUS jemedari wa kirumi alipouhusuru JERUSALEM na wakafagiwa kabisa wakati wa utawala wa kharifa UMAR,huko walikoenda kila pahala walifanikiwa katika nyaja zote,kibiashara,wakaw wasomi ,wataalam,matajiri pia washauri wa viongozi tangu babel mpaka nyakati zetu.wao ni kundi dogo kwenye jamii lakin ndio wanao shikilia kila nyanja ya maisha,kumbuka chanzo cha chuki za Hitler ,kule Urusi ,kule uajemi wakati wa Naaman n.k twende kwa mifano,wakati Nebukadneza na Belshaza tunawona akina Daniel na wenzake,wakati wa Dario mkuu tunawapata akina Ester,Nehemia n.k wakati wa Alexernder The Great tunampata josephus mwanahistoria mahiri na wengineo.wakati wetu wao ndio wanamiliki kribu 2/3 ya utajiri duniani,unalamika kuhusu barick hao ni wayahudi ndio pia humiliki karibu makumpuni mengi makubwa ya kuchimba na kuuza Almasi duniani mwadui ni wao,ndio wanaomiliki hisa nyingi katika ile inayoitwa bank ya dunia.wana hisa karibu bank kuu zote dunian isipokuwa nchi zisizofika 15.wataalam ,wanasayansi,wanasheria wazuri dunian,waandishi,wavumbuzi wengi wao ni wenye asiri ya kiyahudi.sasa hapo wenye akili fupi za wivu lazima wakasilike!! sababu za kidini,hapa tuweke pembeni imani zetu tujadili ukweli uliopo,dunian kuna dini kubwa au zenye waumin wengi zaidi ya saba,amabazo ni ukristo,ubudha,uislam,uhindu,tao,din ya kiyahudi(judaism)dini za kichina,sikhi/shinto n.k dini hizi pia zimegawanyika katika makundi tena ya madhehebu,mfano ukristo una makundi makuu matatu ambayo ni wakatoliki,orthodox na wanamatengenezo(protestant).uislam nao kuna suni,shi'ite na hamadia,budha kuna theravad,mahayana na vairayana n.k sasa hizi dini zimewagawa watu kifikra na kiitikadi kutegemea n msimamo wa dini yake katika jambo flani,mtizamo wa kidini umeathiri mtazamo wa watu wengi katika nyaja mbalimbali pengine kupelekea kutokuwa na maamuzi na mtazamo sahihi katika jambo flani.dini hizi kulingana na asili zake zimewagawa waumini wake wafuasi dini flani kuwapenda wayahud na nchi yao ya Israel na wengine kuwachukia wayahud pamoja na nchi yao,waoipenda Israel dini yao inafungamana na dini na utamaduni wa kiyahudi,msingi wa dini yao umejengwa juu ya manabii na mitume wa Israel ya kale (juu ya waebrania-lugha yao wayahudi).mfano zipo dini ambazo vitabu vyao vitakatifu/vitukufu viwafundisha wafuasi wao kuwachukia wasifuata dini yao na miungu yao,inawataja wahudi kuwa maadui wao na wa dini yao.hivyo kujenga chuki juu ya wayahudi,wala maandiko hayo hayatoi sababu au hoja za msingi kwa nini hao wawe maadui wao.hapo ndipo penye kundi kubwa la wanaoichukia Israel na uyahudi.jiulize wewe kwa nini unawapenda au kuipenda Israel au kwa nini unawachukia wayahudi na Israel?jibu unalo sababu za kisiasa,hapa ni kundi linahusika,ila linaonekana kubwa kwa sababu yameingizwa maslahi ya dini hapa ndio maana mzozo wa mashariki ya kati ni mgumu kutatuliwa,wayahudi walisambalatishwa pale wakaikimbia nchi yao kukwepa mateso ya watesi wao,walipoamua kuridi baada ya miaka elf wengine mamia ya miaka,walikuta tayari nchi yao imemezwa na wageni,zikatumika hira na hujuma kuwaondoa wakazi halali wa pale kwa mujibu wa sheria za kimataifa.hapo ndipo unawakuta watu kama nyerere na wengineo wakitoa hoja za msingi kuwatetea wapalestina kwa kujali utu,wengi wakipendekeza pawepo na mataifa mawili palestina na Israel.je wewe kwa nini unawachukia hawa au kwa nini unawapenda? hitimisho,Irani ni mojawpo ya nchi zenye historia ndefu na dhidi ya wayahud,wayahudi wamekuwa sehemu ya jamii ya kiajemi,waishi vipindi vigumu wakat mwingine vizuri tegea mtawala kwa zaidi ya miaka 2500 ivi,haiwachukii wayahudi la hasha inalichukia taifa la kiyahudi sababu kubwa ni kuanzishwa upya kwa taifa hilo ndani ya ardhi ya mababu zao lakini wakati huo huo ni ndani ya mipaka pia ya taifa la wapalestina,kubwa hapo suala la dini kwani maeneo mengi matakatifu kwa wayahudi na wakristo pia miaka ya hivi karibuni yamekuwa matakatifu kwa waislam. SWALI;KAMA WAASIA NDIO WENYE IQ KUBWA KUZIDI WAYAHUDI KWA NINI WAYAHUDI AMBAO NI WACHACHE NDIO WAWE WAGUNDUZI WA VITU VINGI KULIKO HAO WAASIA ? mfano wa wachache wao ni Abert Eistain ,Leon Szilard J.Opponheimes waitwao mababa wa nyukria,USA.Edward TELLER baba wa thermonuclear na Hydrogen bomb,USA.Yakov borisovich NUCLEAR RUSSIA.Michael Dell muasisi wa Dell,Stive ballmer ceo microsoft,Jacob ziv -computer,Raymond Kurzwel -alama kwa ajili ya vipofu(maandishi ya vipofu)Arthur Adler- remote control,Charles Ginsberg -video tape,Emile -graphone,kama ni mpiga picha ziwe video au mnato jamaa ndio waliogundua hasa ili ziwe za rangi,typing machine,fax ,printer ni hao jamaa,chanjo mbalimbali kama poli ni hao jamaa,ndi watengenezaji wa nguo aina ya jinsi kwa mara kwanza,mgunduzi akiwa myahud Lev Strauss,pia kevin klain.kama ni mtumiaji wa simu za mkononi basi hao jamaa wanahusika,memory desc wao wamegundua.stanley cohen mambo ya genetic engineering,kwenye tiba usisema wana mchango mkubwa.kwa uchache hao ni mifano. kama ni member wa face,whatsapp ma founder wake ni wayahudi,ukiwachukia chukia na na vitu vya uishi kama zama za ujima
 
Fire the jews..waisrael watasambaratishwa wakiamua kuingilia ugomvi wa korea peninsula..hitler hajawaadabisha vya kutosha..Iran tu yampelekesha huyo muisrael..itakuwa NK?
 
kinachoikuza Israel ni historia yake, taifa hilo la mashariki ya kati lipo kati ya maadui,limepigana vita nyingi sana na kushinda,vita inayokumbukwa sana ni vita ya siku sita ambapo mataifa ya kiarabu na kiislam yalijiunga pamoja kuvamia israel ili kuifuta wakiongozwa na misri,walichakazwa vibaya sana.pili tecnolojia wapo mbali sana.kiujumla uwezo wanao.
umesimuliwa vibaya mkuu
 
Usemayo hayana ukweli wowote ila ukweli ni kwamba Iran iko on the very ya kuwa a nuclear power na kwa siasa za mashariki ya kati ambazo chanzo kikubwa ni tofauti ya madhehebu, Uwezo mpya wa iran unaweza kusambaratisha maadui zake[siyo wamarekani bali saudia na kuleta madhara makubwa kwenye uchumi wa dunia. Hii ndiyo sababu kubwa marekani wanawauzia silaha nyingi saudia lakini wakati huo huo wanazuia iran isiwe na uwezo wa ki-nuclear ili mambo ya balance.
Hivi sasa Isreal tayari inasemekana kuwa na uwezo huo, sasa iran nao wakiwa na uwezo huo Isreal itajiona iko mahala pabaya na inaweza kufanya premptive strike dhidi ya iran lakini fallout yake ikaathiri mashariki ya kati yote. Na uchumi wa dunia nao ukaathirika.
Mnahofia effect ya uchumi kushuka na sio mamilioni ya binaadam watakaopoteza maisha yao[emoji36] [emoji36]
 
Mchezo wa mashariki ya kati umewageukia Marekani na Israel,baada ya marekan na israel kutengeneza IS kwa dhumuni la kuangusha utawara wa al Assad, toka mwaka 2011..
Kama ilivyokuwa kwa Iraq na Libya walifanikiwa kuweka utawala wao ili waibe mafuta,ila kwa Syria kwa ajili ya mafuta na kuzuia bomba la gesi la russia!., ila Assad akawa mbishi...toka mwaka 2011 amepigana mwenyewe mpk 2015 russia alipoingia..
Toka Russia ameingia imekuwa game changer.
Na marekani akakose tena kitu kingine kwa Turkey ile coup ikafeli... so pale pale Syria walipokuwa wanapatumia kwa ajili ya kuweka mageuzi ya kiutawala ni kama wamewakaribisha Irani karibu...nw game imewageukia wao!!..
Baada ya huu mgogoro wa syria kuisha kama baada ya miaka 2..tutegemee mgogoro mkubwa zaid..maana irani atakuwa karibu na Israel kuliko!!
That's the truth that many people dont know
 
Habari wakuu...

Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja.

Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili zaidi Ulimwenguni, wadukue mfumo wa kurusha makombora ya balistic ya North Korea ili Kim asiweze kurusha hata toy la mbayuwayu. Na uhakika jambo hili litaepusha kuita vikao vya kila siku vya UN kuijadili N/Korea. Litamfanya Kim achutame kwa fedheha na kuomba mazungumzo...Karibuni Timu Kiduku na Timu Trump.
Wee unazani kwanini bush alishindwa kuwavamia, nenda tena ktk historia maan unaongea kwa ushabbikkki
 
mgogoro wa iran na israel upo muda mrefu hasa ukichochewa na iran kwa kuwasaidia wana mgambo wa kishia hizbollah na wa kipalestina kwa kuwapa silaha na fedha ka ajili ya kupambana na Israel,Iran ilishatangaza kuwa itaifuta Israel kwenye raman ya dunia,toka miaka ya 70 ISRAEL imeishambulia Iran kwa ndege mara kadha ikirenga viwanda vya nyukria.imewaua wana sayansi wengi wa iran ili kuizuia iran kupata uwezo wa kutengeneza silaha za nyuklia.Israel ndio nchi ya pekee yenye uwezo wa silaha za nyuklia mashariki ya kati.katika ulimwengu wa kiarabu ni pakistan pekee yenye nguvu za kinyuklia walizopata mwanzoni mwa miaka ya 2000
NB: Pakistan sio waarabu japo 90% yao ni waislam vivyo hivyo na Iran.
 
MMESAHAU HATA YA ENTEBE??

ISRAEL WAMEJAALIWA JAMANI, MSILETE KASHFA, HATA HYO MAREKANI INAONGOZWA NA WAYAHUDI.
 
jamii [race]kiyahudi ndio jamii yenye uwezo mkubwa kiakili.IQ yao ipo juu kuliko jamii zote,hili linathibitishwa na uwezo wao katika nyanja mbalimbali za kisayansi.mfano wao ndio wanaoongoza kwa kuchukua tuzo za nobel katika tasnia ya sayansi zaid ya 26% ya washindi ni wenye asili ya kiyahudi,wao ni 0.2% ya wakazi wote duniani.wakuwa wagunduzi wa vitu vingi vya kiteknolojia.kiukweli wapo vizuri. Tatizo hapa sio uwezo wao kiakili bali kuchukiwa na jamii nyingi,sababu za chuki kwa hii jamii ni wivu,sababu za kidini,za kisiasa. Ndugu zangu ili niweke sawa jambo hili sina budi kugusa kidogo historia angalau kwa mbali ili tu tufike.Tukianza na wivu,hawa jamaa walitawnyika sehemu mbalimbali dunian toka kwenye yao asili kwa vipind vitatu vikubwa,wakati utawala wa NEBKADNEZER,TITUS jemedari wa kirumi alipouhusuru JERUSALEM na wakafagiwa kabisa wakati wa utawala wa kharifa UMAR,huko walikoenda kila pahala walifanikiwa katika nyaja zote,kibiashara,wakaw wasomi ,wataalam,matajiri pia washauri wa viongozi tangu babel mpaka nyakati zetu.wao ni kundi dogo kwenye jamii lakin ndio wanao shikilia kila nyanja ya maisha,kumbuka chanzo cha chuki za Hitler ,kule Urusi ,kule uajemi wakati wa Naaman n.k twende kwa mifano,wakati Nebukadneza na Belshaza tunawona akina Daniel na wenzake,wakati wa Dario mkuu tunawapata akina Ester,Nehemia n.k wakati wa Alexernder The Great tunampata josephus mwanahistoria mahiri na wengineo.wakati wetu wao ndio wanamiliki kribu 2/3 ya utajiri duniani,unalamika kuhusu barick hao ni wayahudi ndio pia humiliki karibu makumpuni mengi makubwa ya kuchimba na kuuza Almasi duniani mwadui ni wao,ndio wanaomiliki hisa nyingi katika ile inayoitwa bank ya dunia.wana hisa karibu bank kuu zote dunian isipokuwa nchi zisizofika 15.wataalam ,wanasayansi,wanasheria wazuri dunian,waandishi,wavumbuzi wengi wao ni wenye asiri ya kiyahudi.sasa hapo wenye akili fupi za wivu lazima wakasilike!! sababu za kidini,hapa tuweke pembeni imani zetu tujadili ukweli uliopo,dunian kuna dini kubwa au zenye waumin wengi zaidi ya saba,amabazo ni ukristo,ubudha,uislam,uhindu,tao,din ya kiyahudi(judaism)dini za kichina,sikhi/shinto n.k dini hizi pia zimegawanyika katika makundi tena ya madhehebu,mfano ukristo una makundi makuu matatu ambayo ni wakatoliki,orthodox na wanamatengenezo(protestant).uislam nao kuna suni,shi'ite na hamadia,budha kuna theravad,mahayana na vairayana n.k sasa hizi dini zimewagawa watu kifikra na kiitikadi kutegemea n msimamo wa dini yake katika jambo flani,mtizamo wa kidini umeathiri mtazamo wa watu wengi katika nyaja mbalimbali pengine kupelekea kutokuwa na maamuzi na mtazamo sahihi katika jambo flani.dini hizi kulingana na asili zake zimewagawa waumini wake wafuasi dini flani kuwapenda wayahud na nchi yao ya Israel na wengine kuwachukia wayahud pamoja na nchi yao,waoipenda Israel dini yao inafungamana na dini na utamaduni wa kiyahudi,msingi wa dini yao umejengwa juu ya manabii na mitume wa Israel ya kale (juu ya waebrania-lugha yao wayahudi).mfano zipo dini ambazo vitabu vyao vitakatifu/vitukufu viwafundisha wafuasi wao kuwachukia wasifuata dini yao na miungu yao,inawataja wahudi kuwa maadui wao na wa dini yao.hivyo kujenga chuki juu ya wayahudi,wala maandiko hayo hayatoi sababu au hoja za msingi kwa nini hao wawe maadui wao.hapo ndipo penye kundi kubwa la wanaoichukia Israel na uyahudi.jiulize wewe kwa nini unawapenda au kuipenda Israel au kwa nini unawachukia wayahudi na Israel?jibu unalo sababu za kisiasa,hapa ni kundi linahusika,ila linaonekana kubwa kwa sababu yameingizwa maslahi ya dini hapa ndio maana mzozo wa mashariki ya kati ni mgumu kutatuliwa,wayahudi walisambalatishwa pale wakaikimbia nchi yao kukwepa mateso ya watesi wao,walipoamua kuridi baada ya miaka elf wengine mamia ya miaka,walikuta tayari nchi yao imemezwa na wageni,zikatumika hira na hujuma kuwaondoa wakazi halali wa pale kwa mujibu wa sheria za kimataifa.hapo ndipo unawakuta watu kama nyerere na wengineo wakitoa hoja za msingi kuwatetea wapalestina kwa kujali utu,wengi wakipendekeza pawepo na mataifa mawili palestina na Israel.je wewe kwa nini unawachukia hawa au kwa nini unawapenda? hitimisho,Irani ni mojawpo ya nchi zenye historia ndefu na dhidi ya wayahud,wayahudi wamekuwa sehemu ya jamii ya kiajemi,waishi vipindi vigumu wakat mwingine vizuri tegea mtawala kwa zaidi ya miaka 2500 ivi,haiwachukii wayahudi la hasha inalichukia taifa la kiyahudi sababu kubwa ni kuanzishwa upya kwa taifa hilo ndani ya ardhi ya mababu zao lakini wakati huo huo ni ndani ya mipaka pia ya taifa la wapalestina,kubwa hapo suala la dini kwani maeneo mengi matakatifu kwa wayahudi na wakristo pia miaka ya hivi karibuni yamekuwa matakatifu kwa waislam. SWALI;KAMA WAASIA NDIO WENYE IQ KUBWA KUZIDI WAYAHUDI KWA NINI WAYAHUDI AMBAO NI WACHACHE NDIO WAWE WAGUNDUZI WA VITU VINGI KULIKO HAO WAASIA ? mfano wa wachache wao ni Abert Eistain ,Leon Szilard J.Opponheimes waitwao mababa wa nyukria,USA.Edward TELLER baba wa thermonuclear na Hydrogen bomb,USA.Yakov borisovich NUCLEAR RUSSIA.Michael Dell muasisi wa Dell,Stive ballmer ceo microsoft,Jacob ziv -computer,Raymond Kurzwel -alama kwa ajili ya vipofu(maandishi ya vipofu)Arthur Adler- remote control,Charles Ginsberg -video tape,Emile -graphone,kama ni mpiga picha ziwe video au mnato jamaa ndio waliogundua hasa ili ziwe za rangi,typing machine,fax ,printer ni hao jamaa,chanjo mbalimbali kama poli ni hao jamaa,ndi watengenezaji wa nguo aina ya jinsi kwa mara kwanza,mgunduzi akiwa myahud Lev Strauss,pia kevin klain.kama ni mtumiaji wa simu za mkononi basi hao jamaa wanahusika,memory desc wao wamegundua.stanley cohen mambo ya genetic engineering,kwenye tiba usisema wana mchango mkubwa.kwa uchache hao ni mifano.
Uandishi wako mbovu sana.. Japo una point! Nimeshindwa malizia
 
Uandishi wako mbovu sana.. Japo una point! Nimeshindwa malizia
ndugu yangu pole,kuanzia mpangilio wa mawazo/hoja vyote nimeboronga kiasi,vumilia malizia upate maon yangu,thanks kwa maon yako pia.
 
Back
Top Bottom