Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

Mmarekani anamuweza kumpoteza kabisa kim sema hii set up kaistukia wanataka kumuingiza kwenye hii vita ili wam overtake kama alivyowa overtake kwenye WWI
 
Habari wakuu...

Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja.

Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili zaidi Ulimwenguni, wadukue mfumo wa kurusha makombora ya balistic ya North Korea ili Kim asiweze kurusha hata toy la mbayuwayu. Na uhakika jambo hili litaepusha kuita vikao vya kila siku vya UN kuijadili N/Korea. Litamfanya Kim achutame kwa fedheha na kuomba mazungumzo...Karibuni Timu Kiduku na Timu Trump.

Update...

Wengi hawakuielewa ujumbe niliokusudia ktk post hii, napenda kutolea maelezo machache:

1. Israel wamekuwa wakisifiwa sana kuwa na uwezo uliotukuka usiopimika ktk maswala ya kivita na ujasusi...lakini wameshindwa kumsaidia Trump dhidi ya Kim. Na walipo jaribu tu kufungua kinywa dhidi ya North Korea, Kim aliwanyamanzisha kwa onyo la adhabu kali.

2.Watu wamekuwa wakiaminishwa kuwa waisrael wana akili zaidi, lakini kiuhalisia kama wangekuwa hivyo US isingikuwa inaendelea kulia lia kuhusu program za silaha na udukuzi wa North Korea. US isingekuwa yaendelea kulisumbua baraza la usalama la UN kuijadili North Korea kila kukicha na kuweka vikwazo visivyo na mafanikio
Kwa taarifa tu ni kwamba America na Israel ni pete na kidole.usidhani kuna jambo hawashirikiani au usidhani America haiwezi kwenye maswala hayo.America ni pritenda mmoja wa nguvu,anaweza kukuooteza lengo na akaja kukumaliza kama mtoto mdogo sema tu hua wanatazama sana maslahi na asara ktk kila wanachotaka kufanya,mpaka hv sasa labda kuanzia kesho tusiyoijua America bado ni kinara wa kila kitu hapa duniani akifuatiwa na Urusi,China na wengineo.
 
Toka lini Israel ni taifa lenye nguvu na watu wenye akili!?!?
Vitabu vya dini tu vinaonyesha hawa jamaa kihistoria ni wafugaji wa kuhama hama na majority ya discoveries nyingi duniani zimefanywa na mataifa mengine Kama Egypt, Persia, Greece,China etc.
Acha kuwapa sifa wasizo stahili.
Israel ni taifa overrated kupita maelezo.
 
Malnourished Babies in Israel
The Facts:
*.
1/3 of Israel children live below the poverty line
*.
Thousands of infants are improperly fed or malnourished
*.
Devastating development issues
*.
Long term negative effects for the child, the family and for Israel
Recent reports show that close to one third of Israeli families live below the poverty line. This includes thousands of babies who either frequently miss meals or have their portions diluted during feeding. These babies have an increased likelihood of experiencing significant problems in their physical and mental development over the course of their lives. The short and long term effects of malnutrition in babies include behavioural issues, impaired growth and development and increased susceptibility to lingering diseases. These are just a handful of potential issues that a malnourished baby is likely to deal with as he/she grows older. Not only can this have severe consequences on the child but on the country in general, as one third of the Israeli population will enter adulthood under these circumstances.
You have the power to completely reverse this trend. Through your generous contributions, Yad Ezra V’Shulamit’s Baby Center is able to deliver baby formula, baby food, diapers, wipes and other infant products to hundreds of new mothers in desperate need of help. Let’s give a baby in Israel a future they deserve and help sustain healthy growth for the country.
For only $2 a day, you can both feed and diaper a baby.
CLICK HERE TO DONATE NOW!
Unakuta source ni Aljazeera sitashangaa
 
Toka lini Israel ni taifa lenye nguvu na watu wenye akili!?!?
Vitabu vya dini tu vinaonyesha hawa jamaa kihistoria ni wafugaji wa kuhama hama na majority ya discoveries nyingi duniani zimefanywa na mataifa mengine Kama Egypt, Persia, Greece,China etc.
Acha kuwapa sifa wasizo stahili.
Israel ni taifa overrated kupita maelezo.
Albert Einstein father of Quantum physics
E=mc²
 
WAAFRIFKA ALIYETUROGA NANI?uteule wa Israel unatoka wapi?
NINI TOFAUTI KATI YA MUISRAELI NA MYAHUDI NA MZAYUNI
 
Kiziwi amuombe msaada kipofu wa kusomewa barua.
Israel inakuzwa tu kisa inaonea vipanya ikikutana na wababe utasikia wamekimbilia UN wanapiga kelele.
Taifa teule la Mungu nchi za majambia nyingi zilikunywa maji kwa karai hadi leo hawataki kulisikia hata jina lakini ndivyo ilivyo.
 
Iran kamtishia mara ngapi mbona hamshambulii analilia lia UN,
Kama kaweza vuka bahari kaifuata Somalia kushambulia kiwanda cha silaha anashubdwaje kuishambulia Iran sponsor mkubwa wa Hezbollah ambaye ni mshambuliaji mkubwa wa Israel?
Watalaam wa nyuklia wa iran waliuwawa na israel ndani ya ardhi ya iran, mbona iran haikujibu? Wamebaki wanalialia tu.
 
Watalaam wa nyuklia wa iran waliuwawa na israel ndani ya ardhi ya iran, mbona iran haikujibu? Wamebaki wanalialia tu.
Hakuna ushahidi kuwa Israeli iliwaua hizo ni speculation tu.Mbona Israel anasema hizbolah anasaidiwa na Iran je Israel amewahi hata kurusha jiwe Iran??
 
Watalaam wa nyuklia wa iran waliuwawa na israel ndani ya ardhi ya iran, mbona iran haikujibu? Wamebaki wanalialia tu.
Hizo ni covert operations kama ambavyo Iran imewatrain na kuwapa silaha hezbollah kushambulia Israel, mbona Israel hajaivamua Iran anapigana na Hezbollah kama ambavyo Iran inakamata wale inaohisi walihusika kufanikisha covert operations za Israel.
 
Taifa teule la Mungu nchi za majambia nyingi zilikunywa maji kwa karai hadi leo hawataki kulisikia hata jina lakini ndivyo ilivyo.
Taifa teule la Mungu wanaamini katika dini ya Kiyahudi.
Mbona mnaoamini kuwa ni taifa teule hamfuati uyahudi wanaouamini wao maana kama ni teule hawawezi kuwa wrong..
 
United States has always rejected North Korea’s repeated efforts to find a diplomatic solution to the nuclear crisis because Washington does not want to “resolve” the ongoing tensions with Pyongyang.

“The US has exactly what it wants in North Korea – a justification for massive military presence in South Korea which becomes a platform for weapon systems and military bases, naval bases which really target Russia and China. That is the point here,”
 
Kashindwa vita vya Syria yeye na wapambe wake wote wa NATO plus Israel ndo mchawi numero uno ... atamuweza North Korea Russia and China??? [emoji115] [emoji87]
 
Back
Top Bottom