Israel kuishangaza Dunia tena

Utayasikia wapi na media yote duniani imekamatwa na Wayahudi? Utasikia kila uongo wa kwasingizia Wapalestina tu.

Hayo ndiyo yanayofanya Wapalestina wawekwe jela ya wazi kwa maiaka zaidi ya 70 leo?


Umejazwa ujinga ukakujaa.
 
Yote hayo kwa msaada kutoka USA.

Hamas hawamiliki hata jeshi la anga.

US na Israel wanatumia rungu kuua Mbu, they are insane.

 
sasa wewe huelewi kuwa mungu wenu wa kiyahudi" alifanyiziwa"na ndugu zake?
hii inaitwa act of god. wewe hujui ya kuwa myahudi ni mwarabu? Abraham accord maana yake umefika wakati sasa waarabu kukumkubali myahudi kama mwarabu mwenzao. Israel itavuka kutoka UEFA na kuingia bingwa wa ASIAN Cup. wewe ngoja kupatana kwa saudi arabia na Israel kutafichuua yote ubishayo na kutoyaamini kuhusu kuwepo kwa yesu na kitabu chake cha injili..
 
Awe asiwe Mwarabu kwangu yote sawa, lakini siyo Mungu wangu, mdiyo tofauti hapo ilipo.

Wewe mungu wako myahusi au siyo?
 
Utaysikia wapi na media yote duniani imekamatwa na Wayahudi? Utasikia kila uongo wa kwasingizia Wapalestina tu.

Hayo ndiyo yanayofanya Wapalestina wawekwe jela ya wazi kwa maiaka zaidi ya 70 leo?


Umejazwa ujinga ukakujaa.
hujanijibu swali. WAYAHUDI KWAO NI WAPI mpaka leo uwaite wakalia ardhi kimabavu? waingereza tumewatimua africa wakarudi kwao UK. sawasawa na makaburu wamerudi kwao Holland. wareno na waspanisha wametimuliwa africa wamerudi kwao Portugal na spain, hata wafaransa walipotimuliwa africa wamerudi kwao france. sasa unapotaka waisrael waondoke Israel niambie warudi wapi nipe bara au nchi.?Simba na tembo wana rangi zao wafanyacho Hamas ni sawasawa na kuwapaka rangi ya kijani tembo na simba halafu uushulutishe watu wakuamini.
 
Popote wanapokuwepo ndiyo kwao, ni kama kuniuliza Wakristo au Waislam kwao wapi?
 
Awe asiwe Mwarabu kwangu yote sawa, lakini siyo Mungu wangu, mdiyo tofauti hapo ilipo.

Wewe mungu wako myahusi au siyo?
Mungu wangu mimi ni yule mungu wwa Abraham na Isack na yakobo.amini ya kuwa namtii na kumkubali yesu kristo nimeyaamini mahubiri yake na ndiyo yanayonilea kiroho. ndiyo maana nawapenda waisrael wote duniani kwa sababu nimekuwa spiritual jew kwa kumkubali yesu. ambaye ni myahudi.
 
Sio USA tu hata putin Anamsaidia Yahudi mwenzie Kwa kipunjo...
 
Acha tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta huko chini
 
Popote wanapokuwepo ndiyo kwao, ni kama kuniuliza Wakristo au Waislam kwao wapi?
wakristo na waisramu wapo popote duniani ila wayahudi wana kwao kumoja tuu ndiko Israel. ssisi wakristo tumeapishwa ya kuwa ukimlaani muisrael na mungu atakullaani ila ukimpenda musrael namungu atakubariki. wewe fuatilia nchi zote marafiki wa Israel duniani utakuta wana uchumi mzuri ila wale waichukiao israel uchumi wao ni mbaya sana . chunguza sudan ya Nimeir na ile kenya ya jomo kenyatta.
 
hii ni propaganda ya kitoto. nilikuuliza hapo awali waisraeli kwao ni wapi . hukunijibu . hutaki kusema ukweli asili ya waisrael maana ukisema ukweli Israelis kwao ni wapi unaogopa kukubali kuwa biblia ni kitabu cha kweli. msimamo wako ndio wa waarabu wote ., hivyo ikitokea siku waarabu wakikubali kuwa bible ni kitabu cha kikweli na kilichosema kuwa israelis waliingia Caanan wakitokea Iraq alikotoka Abraham , basi hapo mgogoro wa palestina na Israel utakwisha. Tungoje Saudi Arabia ataamua nini kuhusu kuitambua Israeli.

wanaposema wengi wafao ni watoto na kina mama je hao kina baba si ndo Hamas wenyewe wapiganao. sasa wafapo watoto hao wazazi wao huwa wapi? halafu kama hao Hamas au Kamasi waklipomchokoza Israeli walitegemea ninikitafuata? mbona wanatafuta huruma za watu duniani kinguvu namna hiyo ikiwa wenyewe walijituma kuuwa bila huruma? lazima Hamas au Kamasi wajue ya kuwa mshahala wa zambi sio keki bali ni .....!
 
Bla bla nyingi wameshindwa kukomboa mateka 🤣🤣🤣
 

Yohana 17:3​

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Mjue Mungu na mtume wake Yesu ndiyo utaupata uzima wa milele.
Sasa wewe endelea kumfanya Yesu Mungu,mtoto wa Mungu n.k,
Utakipata unachokitafuta.
 
Niliwaambia Israel watafanya tukio lakuishangaza Dunia pasipo kuwepo proof yauwepo wao kupotea kwa helicopter na viongozi wazito wa Iran nimoja ya tukio litawatesa sana magwiji wa ujasusi maana halitopata majibu na uwenda kidoni wakaondoka na vichwa visionekane milele🤐
 
Kama Hamas kaamua kuwaweka raia kama kinga nani alaumiwe?
 
Kwenye qurani sura ya Bani Israel nayo inawabrainwash waislam?
 
Yesu hakuwahi kuwa na kitabu cha Injili.Mudy aliwapiga hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…