Israel jets attack ant-aircraft battery in Syria

Israel jets attack ant-aircraft battery in Syria

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
7,476
Reaction score
9,654
c232e3cb2239b11cac2efc53a0da4c30.jpg

Ndege za kivita za Israeli zimelipua makombora ya ulinzi wa anga ya Syria mashariki mwa Damascus, jeshi la Israeli limeeleza. Inaarifiwa kwamba mfumo huo wa makombora ya ulinzi wa anga ulihusika kushambulia (kwa makombora) ndege za Israel zilizokua zikifanya doria ya upelelezi katika anga ya Lebanon.
4f70357998717b276f150ae0e6608295.jpg
eecfc51ccd1259fbc64ce8fa3d03a2fd.jpg

Inaelezwa kwamba mfumo huo ulikua kilometa 50(30miles) mashariki mwa mji mkuu wa Syria Damascus.
2ea4564b34f60f6a889e318773aacbac.jpg
S-200 missile
Baada ya shambulio hilo dhidi ya ndege za Israel, jeshi la Israel lilijibu kwa kuuharibu kabisa mfumo huo aina ya S-200 kwa mabomu.
b2a027313fc29cde3edd170018f16e48.jpg
Israel F-16s
Pia jeshi hilo liliongeza kwamba ndege zake zilizorushiwa makombora hapo awali na mfumo huo hazikupata tatizo lolote.

Ikumbukwe mapema mwaka huu jeshi la Israli lilitishia kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga wa Syria iwapo ndege zake zitashambuliwa na makombora ya mifumo hiyo.


RT

UPDATES
Baada ya tukio hilo waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema kwamba yeyote akayejaribu kuidhuru Israel bhasi atateseka sana.

50d04d3b35a363de0b275bca8fc874e4.jpg
 
Duh hawa waisrael wababe kweli, yaani wanaibonda Syria kadri wanavyojisikia

Ila miscalculation yao siku moja itabackfire, Syria na unyonge wao siku ikiamua liwalo na liwe!

Waisrael bila msaada mkubwa wa USA hawawezi kusustain vita ndefu!!
 
Ni somo zuri kwa Iran.
(ikiwa wata opt kusoma)
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Baada ya IDF kuishambulia Syria ilitoa taarifa kwa Urusi nanukuu"Israel immediately reported the incident to Russia, accusing the government in Damascus of a “clear provocation,”according to Haaretz, citing the military.

The Syrian regime is responsible for any firing from its territory. We see this incident as a clear provocation and we will not allow it,” Haaretz quoted the army spokesperson as saying.

After notifying Russia as part of the air coordination between the two countries, the Israeli Air Force responded two hours after the Syrian missile was fired, according to Israeli paper Maariv, quoting IDF spokesperson Ronen Manlis.

RT
 
Sasa kama syria inapigwa hadi sebuleni hivyo,,Russia ilipeleka S400 kwa mbwembwe zote hizo za kazi gani

Kwa hali hiyo israel wana uwezo wa kumuua hata Assad mwenyewe
 
Sasa kama syria inapigwa hadi sebuleni hivyo,,Russia ilipeleka S400 kwa mbwembwe zote hizo za kazi gani

Kwa hali hiyo israel wana uwezo wa kumuua hata Assad mwenyewe
Iliyoshambulia ni mfumo wa s200 siyo s400.
Hawa Israel mara ngapi wanaingiza midege yao syria na kufanya mashambulizi bila hata wao kushambuliwa na syria.
Kweli the world is not fair
 
Duh hawa waisrael wababe kweli, yaani wanaibonda Syria kadri wanavyojisikia

Ila miscalculation yao siku moja itabackfire, Syria na unyonge wao siku ikiamua liwalo na liwe!

Waisrael bila msaada mkubwa wa USA hawawezi kusustain vita ndefu!!
Duh, bado hujajua wewe!! Israel weka mbali na watoto.
 
Ha haaa... Taifa Teule.. Israel, yaani Syria itapata taabu sana sbb ya kuweka uadui na Israel, mitambo yao na mifumo ya anga ya kupiga ndege zitamalizwa na Israel..
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sasa kama syria inapigwa hadi sebuleni hivyo,,Russia ilipeleka S400 kwa mbwembwe zote hizo za kazi gani

Kwa hali hiyo israel wana uwezo wa kumuua hata Assad mwenyewe
Umeelewa kilichoandikwa ndugu??
 
Poleni sana waSYRIA kwa mitihani mnayoipata. kuweni na uvumilivu wazee___ipo cku mtapata amani na adui atatoweka kabisa.
 
Back
Top Bottom