Israel jets attack ant-aircraft battery in Syria

Halafu hapo Mrusi anafanya biashara kwa kuwauzia mifumo Ile Ile kwa Jina na # tofauti wakiwadanganya huu sasa ni 6g akiingia tu mtamdungua
unajua ni kwanini marekani hayadungui makombora ya kim yanavyo overfly korea au japani?,

ni kwamba hizi air defence hazijawa tested vitani,
tendo la kujaribu kudungua kombora na ukalikosa,ina athari kubwa mno kiusalama,
kwani marekani anamtumia israel,kuchokonoa ili mrusi afyatue S-400 wapate kuistudy perfomance na wajue jinsi ya kuiovercome,mrusi kagoma kufyatua.

Mrusi nae anamtumia Noko kumtest marekani afyatue THAAD ili wapate kuona perfomance na weakness zake,
marekani nae hafyatui.
 
Kuna haja ya sisi kama Tanzania kuingilia hiyo vita, tupeleke midege yetu
 
Midege kwa maana hizi Bombardier au midege hii inayotusumbua mtaani almaarufu kama 'kunguru wa Zanzibar'?.... Maana kama una maanisha zile zinazotupigia kelele wakati wa maadhimisho ya sherehe za uhuru dah!... Wakina Daudi watazitungua na kombeo.
 
Hii habari nimeisoma leo South front kama sikosei. Ni uzushi mtupu. Yani F-16 tu za Israel hazijawahi guswa na hyo S-200 sembuse F-35?!.Kama Syria wakitungua drone ya Israeli mapicha picha kibao ndo sembuse wangetungua F-35,si ingekua sherehe huko.
Syria wenyewe wamekubali kwamba Israeli wameshambulia huo mfumo na kuapa kulipiza kisasi ndipo jana Netanyahu akawajibu kwamba atakayejaribu kuidhuru Israeli bhasi ajiandae kwa shida kubwa.
 
Huna akili....S-400 zimepelekwa kwa ajili ya kulinda base za kijeshi za Urussi halafu soma taarifa vzr baada ya ndege za Israel kushambuliwa wayahudi walifanya mawasiliano na urussi walivyoona kimya ndo wakashambulia....HV nyny urussi mnaiangaliaje kijeshi keshawaambia hao wamarekani Assadi kutoka ni lazima kwanza uanze kuiangamiza urussi wanapiga piga porini huko wanaenda wanaenda kwenye media zao kujisifu na nyinyi mnayazoa kama yalivyo mnatuletea....
Ukweli ni upi? Unapoongelea Israel unaongelea nchi ambayo siku zote inajilinda isitokee Halocust tena. Haimuami yeyote hata USA hawaiamini 100% Siyria itapotezwa wanazo Nuclear missile tangu kipindi cha Golda Meir
 
Uzuri wa Israel inajihami na kujibu shambulizi haraka sana na kutoa taarifa baada ya mashambulizi. If you dare to attack any of Israelite's they will immediate retaliate forcefully
 
Hao jamaa ukiwabip tu...wao wanakupigia fasta..yani ukiwarushia hata jiwe tu,retaliation yao huwa ni ya hatari...na uzuri wao mmoja wao huwa hawana muda wa kuchokoza mtu
long live Israel
 
Sikuhizi syria hata hahangaiki kujibu propaganda za israel,

ukionyesha mabaki ya hiyo S-200 nakupa milioni moja.

Ile system mara nyingi ni mobile,haiwezi kushambulia ndege na ikabaki inangija kuja kupigwa,in short wameshambulia hewa mpaka watakapoonyesha picha inayoonyesha mabaki ya hiyo system
 
Baada ya kufuatilia nimegundua kulikuwa na ndege za israel zikiambaa ambaa anga la lebanon,wakati syria waliporusha kombora za kudungulia ndege,
syria inadai waliipiga ndege moja,

israel wanadai not confirmed,

israel walijibu shambulizi masaa mawili baadae wakitumia ndege F-16,
na kufanikiwa kama wanavyodai kuharibu component moja ya system inaitwa Fire control ama emmiter.

Sikuhiyohiyo waisrael wakatangaza ndege yao F-35 imepekwa gereji na wanasubiri wataalamu toka kiwandani marekani kuikarabati baada ya hiyo ndege kugongwa huko angani na ndege aina ya Kimilanzoka.

Sasa mtu unajiuliza hivi ndege ya kisasa vile inagongwa na kimilanzonga hadi inakuwa grounded?.

Watu wamespeculate kuwa wasyria waliscore a hit
 
Hii habari nimeisoma leo South front kama sikosei. Ni uzushi mtupu. Yani F-16 tu za Israel hazijawahi guswa na hyo S-200 sembuse F-35?!.Kama Syria wakitungua drone ya Israeli mapicha picha kibao ndo sembuse wangetungua F-35,si ingekua sherehe huko.
Syria wenyewe wamekubali kwamba Israeli wameshambulia huo mfumo na kuapa kulipiza kisasi ndipo jana Netanyahu akawajibu kwamba atakayejaribu kuidhuru Israeli bhasi ajiandae kwa shida kubwa.
israel hawezi kuadmit kuwa ndege yao imepigwa,
kilichowafanya watu kuongea ni coincidence,ya siku hiyohiyo ndege ya kisasa F-35 inapata ajali ya kugongwa na ndege mnyama,
na inaeleweka makombora ya mrusi ya kudungua ndege hayahitaji kuscore a direct hit,
huwa yanakuwa na vipande mle ,huenda ile F-35 iligongwa na baadhi ya vipande vya hilo kombora ikawa damaged
 
2 storks hit F-35, sending stealth jet to garage
 
Baada ya kufuatilia nimegundua kulikuwa na ndege za israel zikiambaa ambaa anga la lebanon,wakati syria waliporusha kombora za kudungulia ndege,
syria inadai waliipiga ndege moja,

israel wanadai not confirmed,

israel walijibu shambulizi masaa mawili baadae wakitumia ndege F-16,
na kufanikiwa kama wanavyodai kuharibu component moja ya system inaitwa Fire control ama emmiter.

Sikuhiyohiyo waisrael wakatangaza ndege yao F-35 imepekwa gereji na wanasubiri wataalamu toka kiwandani marekani kuikarabati baada ya hiyo ndege kugongwa huko angani na ndege aina ya Kimilanzoka.

Sasa mtu unajiuliza hivi ndege ya kisasa vile inagongwa na kimilanzonga hadi inakuwa grounded?.

Watu wamespeculate kuwa wasyria waliscore a hit
Kwahiyo huo mfumo uliweza kuipiga F-35 lakini ukashindwa kuziona F-16 zilizoenda kuubomoa kabisa?!

Halafu ni mara ngapi Syria wanadai wamedungua ndege za Israel lakini hawatuonyeshi hata bawa, lakini wakidungua drones kila siku huko YouTube kunakua hapatoshi.

Halafu tukio la Israel lilitokea jumanne na Syria imepigwa jumapili....
 
Sasa kama syria inapigwa hadi sebuleni hivyo,,Russia ilipeleka S400 kwa mbwembwe zote hizo za kazi gani

Kwa hali hiyo israel wana uwezo wa kumuua hata Assad mwenyewe
Hivi hayo yalipelekwa kulinda anga lote la Syria au baadhi ya sehemu ya Syria? Majibu Tafadhali mkuu.
 
israel hawezi kuadmit kuwa ndege yao imepigwa,
kilichowafanya watu kuongea ni coincidence,ya siku hiyohiyo ndege ya kisasa F-35 inapata ajali ya kugongwa na ndege mnyama,
na inaeleweka makombora ya mrusi ya kudungua ndege hayahitaji kuscore a direct hit,
huwa yanakuwa na vipande mle ,huenda ile F-35 iligongwa na baadhi ya vipande vya hilo kombora ikawa damaged
Kwahyo yakidungua drones ndo yanakua mazima hayana vipande, lakini yakidungua ndege yana vipande... Bhas shughuli.

Halafu tukio la ndege ni la Jumanne wakati Syria ni la Jumapili. Soma hizo habari vizuri.
 
Back
Top Bottom