Israel jets attack ant-aircraft battery in Syria

Israel jets attack ant-aircraft battery in Syria

Naam tunaongelea Iran.

Kulikuwa na Iraq, Iran na Syria!

Kitisho kwa Israel kimesalia Iraq
iraq..?umewahi kumsikia lini Israel akilalamika kuhusu Iraq kwa sasa.?

Tatizo la Israel sasa ni Iran,sio mpaka wapigane mabomu ndio ujue wana matatizo
 
Syria wakubali tu yaishe kama Egypt walivyosaini mikataba ya amani na Israel.
syria hawezi kusaini mkataba wa amani na Israel

Israel na Egypt walisaini mkataba wa amani sababu wote walikuja kujikuta bwana wao ni mmoja US na pia wakajikuta wanamtumikia US,ndio mana ata mkataba wa amani ulisainiwa Washngton DC 1979

Ni kama vile Saudia na Israel,hawa sio marafiki lakini hawatoweza kupigana sababu wanamtumikia mtu mmoja US,so anawaunganisha kwa matatizo yao binafsi

Syria iko chini ya Urusi,Israel hamtaki Assad kama raisi wa Syria,Israel iko chini ya US,US hamtaki Assad kama raisi wa Syria,huo mkataba wa amani utasainiwa wapi..?,Israel inamiliki sehemu ya Golan height kwa mabavu,huo mkataba wa amani utasainiwa wapi.?
 
israel is an illegitimate terrorist state apartheid state US and Zionists mercenaries terrorists are losing in Syria And Very soon Israel knows they will be in deep trouble paranoias as usual once again ... they are not happy at all for Assad Russian Iran and Hezbollah efforts to winning in Syria but finally it pay-off
 
Syria wakubali tu yaishe kama Egypt walivyosaini mikataba ya amani na Israel.
Nasikia PM Netanyahu na Field Marshal Abdel Fattah el-Sisi, Rais wa Misri ni marafiki wakubwa. Maelewano ya viongozi ni muhimu sana katika kuleta amani na utangamano baina ya mataifa. Wengine akina Syria, Iran, and the like kazi yao ni kuchochea.
 
Sasa kama syria inapigwa hadi sebuleni hivyo,,Russia ilipeleka S400 kwa mbwembwe zote hizo za kazi gani

Kwa hali hiyo israel wana uwezo wa kumuua hata Assad mwenyewe
S400 ni kwa ajili ya ulinzi wa jeshi la Urusi.
 
IDF kazini........ nina hamu siku moja Iran alete mambo yake tuone
 
Nasikia PM Netanyahu na Field Marshal Abdel Fattah el-Sisi, Rais wa Misri ni marafiki wakubwa. Maelewano ya viongozi ni muhimu sana katika kuleta amani na utangamano baina ya mataifa. Wengine akina Syria, Iran, and the like kazi yao ni kuchochea.
Kuna msemo unasema "Kama huwezi shindana nao bhasi ungana nao" naona Misri aliona mbali akaamua tu yaishe
 
Sasa kama syria inapigwa hadi sebuleni hivyo,,Russia ilipeleka S400 kwa mbwembwe zote hizo za kazi gani

Kwa hali hiyo israel wana uwezo wa kumuua hata Assad mwenyewe
Huna akili....S-400 zimepelekwa kwa ajili ya kulinda base za kijeshi za Urussi halafu soma taarifa vzr baada ya ndege za Israel kushambuliwa wayahudi walifanya mawasiliano na urussi walivyoona kimya ndo wakashambulia....HV nyny urussi mnaiangaliaje kijeshi keshawaambia hao wamarekani Assadi kutoka ni lazima kwanza uanze kuiangamiza urussi wanapiga piga porini huko wanaenda wanaenda kwenye media zao kujisifu na nyinyi mnayazoa kama yalivyo mnatuletea....
 
Ha haaa... Taifa Teule.. Israel, yaani Syria itapata taabu sana sbb ya kuweka uadui na Israel, mitambo yao na mifumo ya anga ya kupiga ndege zitamalizwa na Israel..
Halafu hapo Mrusi anafanya biashara kwa kuwauzia mifumo Ile Ile kwa Jina na # tofauti wakiwadanganya huu sasa ni 6g akiingia tu mtamdungua [emoji38] [emoji38]
 
Huna akili....S-400 zimepelekwa kwa ajili ya kulinda base za kijeshi za Urussi halafu soma taarifa vzr baada ya ndege za Israel kushambuliwa wayahudi walifanya mawasiliano na urussi walivyoona kimya ndo wakashambulia....HV nyny urussi mnaiangaliaje kijeshi keshawaambia hao wamarekani Assadi kutoka ni lazima kwanza uanze kuiangamiza urussi wanapiga piga porini huko wanaenda wanaenda kwenye media zao kujisifu na nyinyi mnayazoa kama yalivyo mnatuletea....
Mrusi hamna kitu mle yuko uchi kabsa mpaka awaondoe wataalam wa silaha Wayahudi kwenye viwanda silaha, kitu ambacho Hana ubavu nacho...
 
Nasikia PM Netanyahu na Field Marshal Abdel Fattah el-Sisi, Rais wa Misri ni marafiki wakubwa. Maelewano ya viongozi ni muhimu sana katika kuleta amani na utangamano baina ya mataifa. Wengine akina Syria, Iran, and the like kazi yao ni kuchochea.
Sio kweli kabisa mkuu USA anamlipa Egypt 4billion $ kila mwaka just to maintain a peace with Israel tuu.. USA Zionists ndoo wa chochez wakubwa..kama unakumbuka vita vya Iran na Iraq.. I hopefully una elewa who created isis and Al Queada terrorists [emoji109] [emoji2] [emoji115]
 
Utuletee na BREAKING NEWS za tanzania nzima kusomewa albadir ifikapo 2020
 
Duh hawa waisrael wababe kweli, yaani wanaibonda Syria kadri wanavyojisikia

Ila miscalculation yao siku moja itabackfire, Syria na unyonge wao siku ikiamua liwalo na liwe!

Waisrael bila msaada mkubwa wa USA hawawezi kusustain vita ndefu!!
Na Syria bila Urusi anaweza kuhema?
 
Sikuhizi syria hata hahangaiki kujibu propaganda za israel,


ukionyesha mabaki ya hiyo S-200 nakupa milioni moja.


Ile system mara nyingi ni mobile,haiwezi kushambulia ndege na ikabaki inangija kuja kupigwa,in short wameshambulia hewa mpaka watakapoonyesha picha inayoonyesha mabaki ya hiyo system
 
Mrusi hamna kitu mle yuko uchi kabsa mpaka awaondoe wataalam wa silaha Wayahudi kwenye viwanda silaha, kitu ambacho Hana ubavu nacho...
Pole sana hujaijua urussi kwa taarifa yako hata Putin kesha join kwenye familia yakiyahudi mnayoaminishwa ndo bora kuliko zote duniani..."Roschild...ina maana damu Moja hao kinachofanyika Syria ni uhuni tu....
 
Sikuhizi syria hata hahangaiki kujibu propaganda za israel,


ukionyesha mabaki ya hiyo S-200 nakupa milioni moja.


Ile system mara nyingi ni mobile,haiwezi kushambulia ndege na ikabaki inangija kuja kupigwa,in short wameshambulia hewa mpaka watakapoonyesha picha inayoonyesha mabaki ya hiyo system
Halafu kitendo cha kuiweka kwenye target tayari makombora yake ya s-200 yashajifyatua Ku protect the base...wayahudi wana propaganda sana..
 
Pole sana hujaijua urussi kwa taarifa yako hata Putin kesha join kwenye familia yakiyahudi mnayoaminishwa ndo bora kuliko zote duniani..."Roschild...ina maana damu Moja hao kinachofanyika Syria ni uhuni tu....
Kwa hiyo unakubaliana na Mimi? Hakutatokea hata Vita moja dhidi ya Wayahudi mrusi akisaidia itafanikiwa [emoji15] HAITOTOKEA [emoji106]
 
Halafu hapo Mrusi anafanya biashara kwa kuwauzia mifumo Ile Ile kwa Jina na # tofauti wakiwadanganya huu sasa ni 6g akiingia tu mtamdungua [emoji38] [emoji38]
unajua ni kwanini marekani hayadungui makombora ya kim yanavyo overfly korea au japani?,

ni kwamba hizi air defence hazijawa tested vitani,
tendo la kujaribu kudungua kombora na ukalikosa,ina athari kubwa mno kiusalama,
kwani marekani anamtumia israel,kuchokonoa ili mrusi afyatue S-400 wapate kuistudy perfomance na wajue jinsi ya kuiovercome,mrusi kagoma kufyatua.

Mrusi nae anamtumia Noko kumtest marekani afyatue THAAD ili wapate kuona perfomance na weakness zake,
marekani nae hafyatui.
 
Back
Top Bottom