Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,700
- 33,896
@kokuyo hapa umechanganya,
tukio la kushambuliana limetokea juzi tarehe 16 sio jumapili,hilo tukio mi nimekuta tweet imenipita dakika kama mbili tu,
halafu tukio la ndege ya israel kugongwa na kimilanzoka wanadai ni wiki iliyopita,
kama ndivyo unajiuliza kwanini media zimetangaza juzi siku ya mashambulizi.
Pia F-35 ilikua ishakuwa tested dhidi ya ajali za kugongana na ndege wanyama na ikaonekana imefuzu,
sasa huyo kimilanzoka alieigonga ndege alikuwa na uzito ngani hadi kusababisha ndege kubwa kama F-35 iwe grounded?