watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,645
Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel.
Round hii wameenda wengi zaidi na matokeo ni makubwa zaidi, wameua wakuu wengi wa jeshi la Iran akiwemo mkuu wa jeshi, nao wanasayansi wakuu wa nuclear walipigwa target.
wanaume walio jeshini wanafaa zaidi kutumika kwenye mazingira yasiyotabirika yenye hatari, anga la sasa la Iran ni kama fumbo la hisabati lililotatuliwa hakuna risk, marubani wa Israel wanaingia na kutoka kwa uhakika, hivyo inapendeza zaidi ku empower marubani wa kike nao wajizolee points.
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza