Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu?

Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
 
Iran wanaenda kuchapwa vibaya, nimesikia kiongozi wa juu wa Iran anaenda kunyongwa sio muda mrefu.
 
Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu?

Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Kwenye heading umetutaarifu halafu kwenye content unatuuliza!
 
Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Ayatollah ndiye mchokozi, kautaka mwenyewe maana ndiye mmiliki, mfadhili, mtetezi na mlezi wa makundi yote ya magaidi yanayoshambulia Israel siku zote - Hamas, Hezbollah, Houthi, ISIS, nk.
 
Na Israel ameamua kujilinda kwa kumaliza tatizo kwa kudumu
 
Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Israel imeichokoza vipi Iran? Kwamba mashambulizi ya miaka yote ya vikundi vya Hezbollah, Hamas na Houth ambayo yamekuwa yakielekezwa nchini Israel ambayo mafunzo, pesa, vyote vinafadhiliwa na Iran huo haukuwa uchokozi?
Mlitaka Israel aendelee kupambana na proxies wa Iran yaani Hezbollah, Hamas na Houth? Wakati anayewawezesha yupo ametulia akiwa na amani?
Akipambana na hao proxies mnasema anaua wanawake na watoto, akipimpiga Iran mnasema mchokozi, mlitaka afanyaje?

Bunafsi nilikuwa nashangaa na kuwaona Usrael ni wendawazimy juhangaika na Hamas, Houth na Hezbollah wbadala ya kumtandika Iran.

Tena Israel ni watu wenye kujali sana, ina makombora yanayokwenda masafa ya mbali kuliko Iran lakini imeamua kutumia zaidi ndege.
 
Kwenye heading umetutaarifu halafu kwenye content unatuuliza!
Israel ilopopigwa na Hamas akapata sababu ya kuua maelfu ya watu Gaza, nae akafanya kosa hilohilo akaichokoza Iran. Nina uhakika Sasa hivi netanyahu anajuta kuanzisha ugomvi ule. Alipiga hesabu vibaya.
 
Sawasawa. Kama unamzidi hesabu Netapusi na jopo lake basi upo vizuri sana.
 
Wanaocomment wengi katika Uzi huu aidha hawajui kinachoendelea, hawajaona kilichotokea au wameamua Kwa makusudi kutosema hali halisi.

Kimsingi Israel kakosea njia na kashafanywa kitu kibaya. Hata Ile mifumo iliyoaminiwa haipitiki imepitwa tena kirahisi sana.

Tuwaombee vita iishe haraka isiendelee
 
Untitled (1).png
 
Kwa jinsi iran alivyotumia nguvu kuishambulia Israel yaaani kumbe hamas,hesbola na houth wasingeweza chochote
 
Back
Top Bottom