Issue sio kupiga nyumba, Wenzako wanaua wenye akili wewe unaua jengoMakao makuu ya Mossed yamepigwa, Kuna nini tena hapo
Issue sio kupiga nyumba, Wenzako wanaua wenye akili wewe unaua jengoMakao makuu ya Mossed yamepigwa, Kuna nini tena hapo
Unawaza inversely proportional na uhalisia.Aliyekuwa anasema kwa deko na tambo atamfuta mwenzake kwenye uso wa dunia ulishawahi kumsikia?Na wale nchi sita waliotaka kuichakaza Israel mwaka 1968 unawajua?Tafuta jibu ndiyo utajua kwa nini Ina "I" ngapi!Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu?
Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Hayo Makao Makuu ya Mossad ni ya aina gani? Yamejengwa na material yapi? Maana hata October, 2024 iliripotiwa kuwa yamepigwa Kombora na kusambaratishwa kabisa, sasa hivi tena yamepigwa kimbora na kusambaratishwa. Kumbe hayo Makao makuu ya Mossad huwa yakipigwa kombola yanainuka, yanajifuta vumbi ma kuendelea kusubiri kombora lingine?Makao makuu ya Mossed yamepigwa, Kuna nini tena hapo
Anajua Mossad ni jengo huyo CCM sugu.Hayo Makao Makuu ya Mossad ni ya aina gani? Yamejengwa na material yapi? Maana ha October, 2024 iliripotiwa kuwa yamepigwa Kombora na kusambaratishwa kabisa, sasa hivi tena yamepigwa kimbora na kusambaratishwa. Kumbe hayo Makao makuu ya Mossad huwa yakipigwa kombola yanainuka, yanajifuta vumbi ma kuendelea kusubiri kombora lingine?
Na ifahamike pia kama kuna mungu wa Israel, basi huyo mungu ni Marekani. No America, no Israel.Israel ni taifa la kishetani, na makao makuu ya shetani duniani yako Marekani.
Humu ndani nimeona kuna ujinga mwingi sana katika uletaji wa taarifa. Watu wanaleta taarifa za kuifuta machozi bila kuangalia athari za upotoshaji huo na kwa mtandao wautumiaoAnajua Mossad ni jengo huyo CCM sugu.
Lete taarifa sahihi ulizonazo. Israel kapiga mkwara na marufuku mtu yeyote kupiga picha mabomu yanavyotua na uharibifu unaopatoa, utaupata wapi Ukweli kutoka kwa netanyahu?Humu ndani nimeona kuna ujinga mwingi sana katika uletaji wa taarifa. Watu wanaleta taarifa za kuifuta machozi bila kuangalia athari za upotoshaji huo na kwa mtandao wautumiao
Mwanangu kula chuma ichoIran wanaenda kuchapwa vibaya, nimesikia kiongozi wa juu wa Iran anaenda kunyongwa sio muda mrefu.
Kwakuwa amepiga marufuku hiyo haikufanyi wewe uwe muongo muongoLete taarifa sahihi ulizonazo. Israel kapiga mkwara na marufuku mtu yeyote kupiga picha mabomu yanavyotua na uharibifu unaopatoa, utaupata wapi Ukweli kutoka kwa netanyahu?
Mungu Akitaka kukuinua hukuinulia watuWanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu?
Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Sasa kama anamuamini Allah hatoruhusu bomu kuwapiga alikimbia kwa nnHakufa lakini, netanyahu Kenda kujificha kusikojulikana. Marekani kasema hawezi kuongizwa kwenye vita vya netanyahu, ameuona mziki wa Iran sio wa kitoto.
Israel ni taifa la kishetani, na makao makuu ya shetani duniani yako Marekani.
Upotoshaji huo. Amri waliyopewa wananchi wa Israel ni kuonyesha interceptions ya mabovu ya Iran tu. Hata Al Jazeera imepogwa marufuku kuripoti. Watu wajanja wanaripoti kinishi tuKwakuwa amepiga marufuku hiyo haikufanyi wewe uwe muongo muongo
Halafu hakuna popote kwenye hiyo marufuku sababu kila kitu kipo wazi na vyombo vya habari vinaendelea ku report, marufuku iliyotelewa ni ya maofisa na viongozi wa serikali kutoa taarifa pasipo utaratibu au pasipo taarifa kupimwa, hivyo marufuku hiyo wala haihusiani na vyombo vya habari ku report yanayoendelea
Huu uharo umeutoa wapi!?Iran wanaenda kuchapwa vibaya, nimesikia kiongozi wa juu wa Iran anaenda kunyongwa sio muda mrefu.
Mpaka hapo ushafeli.Ayatollah ndiye mchokozi, kautaka mwenyewe maana ndiye mmiliki, mfadhili, mtetezi na mlezi wa makundi yote ya magaidi yanayoshambulia Israel siku zote - Hamas, Hezbollah, Houthi, ISIS, nk.
Kwani hayawezi kujengeka??Hayo Makao Makuu ya Mossad ni ya aina gani? Yamejengwa na material yapi? Maana hata October, 2024 iliripotiwa kuwa yamepigwa Kombora na kusambaratishwa kabisa, sasa hivi tena yamepigwa kimbora na kusambaratishwa. Kumbe hayo Makao makuu ya Mossad huwa yakipigwa kombola yanainuka, yanajifuta vumbi ma kuendelea kusubiri kombora lingine?
Ulienda kulijenga wewe?Kwani hayawezi kujengeka??
Mbona swali la kijinga hili?