Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu?

Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Irani ndiyo wachokozi wanaopaswa kulaaniwa na mataifa yote. Hivi watu ni wasahaulifu au wanajisahaulisha? Hakuna amayekumbuka kwamba Irani waliianza walishambulia Israel kwa kile walichoita kuinga mkono Palestina!
Inawezekana kweli kuna taifa lolote likaishambulia Urusi kama ishara ya kuiunga mkono Ukraine!
Irani analipizwa kisasi kwa kumshambulia Israel eti anamtetea Hamas.
Tuitakie amani Jerusalem!
 
Wameshatunishiana muda mrefu Acha wazichape mpaka mbabe apatikane!
Wangewachia Israel na Iran tu lakini USA kisha ingia zile ndege zingine zimepigwa tu sticker kama Israel Air force. We huoni sa zingine Trump akisha piga pegi zake za vodka anachangan'yikiwa anakuwa mkweli. Anasema tumeisha control anga la Iran hahaha
 
Kwa nini na nani amehalisha Israel kupata misaada ya kijeshi bila kupingwa na nchi nyingine wakipata msaada kama hizo zinazopakana na Israel inakuwa siyo sawa? Kwani wao hawan haki ya kujilinda? Ndo wameandikiwa kuuwa kwa matakwa ya watu flani na wasijitetee? Nawashangqa sana watu mnaoisifia Israel, Israel ni nyeupe ikiachwa yenyewe ipambane.
 
Israel wanajichomeka kwenye utaifa wa Mungu. Huu ni upuuzi mkubwa. Taifa la Mungu kuwaambia nani, watoe ushahidi. Eti nchi ya ahadi, social construction. Wayahudi walimuua Yesu, na hawamtaki kabisa jana na Leo.
 
Israel ilopopigwa na Hamas akapata sababu ya kuua maelfu ya watu Gaza, nae akafanya kosa hilohilo akaichokoza Iran. Nina uhakika Sasa hivi netanyahu anajuta kuanzisha ugomvi ule. Alipiga hesabu vibaya.
Unauliza maswali unajijibu mwenyewe !
 
Israel ilopopigwa na Hamas akapata sababu ya kuua maelfu ya watu Gaza, nae akafanya kosa hilohilo akaichokoza Iran. Nina uhakika Sasa hivi netanyahu anajuta kuanzisha ugomvi ule. Alipiga hesabu vibaya.
Mkuu hudhani kuwa hapa vita ilipofikia ndipo Israel ilipopataka ili kutimiza lengo lake? Sidhani kwamba tukio Israel ililolifanya ilitegemea Iran ikae kimya. Halafu ukishaona 🇺🇸 inaanza kutoa matangazo kuwa imekataa mtu fulani sijui asiuawe mara nyingi linakuwa kinyume chake. Tusibiri tuone.
 
Hivi inakuingia akilini Palestina ambayo ina lingana na wilaya moja kwa ukubwa hapa Tanzania,Hamas waweze kuficha mateka kwa jeshi kama la Israel ambalo lionasema ndio superior hapa mashariki ya kati.
Ni propaganda za kijinga tu,yote ilikuwa ni mbinu za kumfikia Irani.
 
Cha ajabu huko makao makuu ya shetani ndio waarabu wenzio wanapakimbilia.
Bwana Yesu alisema njia iendayo uzimani ni nyembamba yenye msongamano, lakini njia ya shetani iendayo kuzimu ni pana na paved.

Inavutia wengi.
 
Israel wanajichomeka kwenye utaifa wa Mungu. Huu ni upuuzi mkubwa. Taifa la Mungu kuwaambia nani, watoe ushahidi. Eti nchi ya ahadi, social construction. Wayahudi walimuua Yesu, na hawamtaki kabisa jana na Leo.
Mpaka leo wanamsubiri masiha wao. Lakini kuna walokole uchwara hawaelewi somo.
 
Ni vichaa kama wewe tu ndio atawaita hao magaidi.
Marekani mwenyewe anawaita hao armed groups sio terrorists.
🚮
Mbona wewe pimbi ndiyo kichaa Og??

Ni lini Marekani alianza kuita magaidi armed groups?

Haya, mie nakuwekea hapa chini proof kuwa ulichoeleza ni uongo mtupu:
----‐----------------------

TERRORISM

The US government designates certain groups as Foreign Terrorist Organizations (FTOs) and designates individuals and entities as Specially Designated Global Terrorists (SDGTs).

These designations are made based on criteria including committing or inciting terrorist activities, preparing for or planning terrorist activities, gathering information on potential targets, or providing material support to terrorist activities.

EXAMPLES OF DESIGNATED FTOs AND SDGTs:
International terrorist groups:
Al-Qa'ida, Al-Shabaab, Boko Haram, Hamas, Hizballah, Islamic State of Iraq and Syria (ISIS).

OTHER GROUPS:
Abu Sayyaf Group, Ansarallah, Asbat al-Ansar, FARC, Jemaah Islamiya, and the Kurdistan Workers' Party.

CONSEQUENCES OF DESIGNATION:
Criminal penalties:
It is illegal for individuals in the US to provide material support to designated FTOs.

FINANCIAL SANCTIONS:
Financial institutions must block funds of designated FTOs.

VISA AND ENTRY RESTRICTIONS:
Representatives and members of designated FTOs must be denied visas or excluded from the US.

ADDITIONAL TOOLS FOR LAW ENFORCEMENT:
These designations provide law enforcement with additional tools to disrupt and counter terrorist activities.

Note: The list of designated groups is dynamic and can be updated as circumstances change
 
Back
Top Bottom