Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

Israel imekosea kama Hamas ilivyokosea

Israel imeichokoza vipi Iran? Kwamba mashambulizi ya miaka yote ya vikundi vya Hezbollah, Hamas na Houth ambayo yamekuwa yakielekezwa nchini Israel ambayo mafunzo, pesa, vyote vinafadhiliwa na Iran huo haukuwa uchokozi?
Mlitaka Israel aendelee kupambana na proxies wa Iran yaani Hezbollah, Hamas na Houth? Wakati anayewawezesha yupo ametulia akiwa na amani?
Akipambana na hao proxies mnasema anaua wanawake na watoto, akipimpiga Iran mnasema mchokozi, mlitaka afanyaje?

Bunafsi nilikuwa nashangaa na kuwaona Usrael ni wendawazimy juhangaika na Hamas, Houth na Hezbollah wbadala ya kumtandika Iran.

Tena Israel ni watu wenye kujali sana, ina makombora yanayokwenda masafa ya mbali kuliko Iran lakini imeamua kutumia zaidi ndege.
Where does Iran get its money
 
Imeandikwa jisaidie NAMI nitakusaidia
Mbwembwe tu hizo na mauzauza. Mara utasema Mungu anayaweza yote, mara utasema imeandikwa Bwana ni Simba wa vita kesho utasema jisaidie kwanza mwenyewe.
 
Asipo chapika Israel katika vita hii nitaamini kweli Israel ni Taifa la Mungu

Maana kitendo Cha kigaidi walicho kifanya Israel kuuwa viongozi wa Iran kinampa Iran haki ya kuishambulia Israel anavyotaka
Marekani isijifanye kusema inajiandaa kuishambulia Iran wakati ndiyo inayoishambulia Iran tangu mwanzo. Na kichapo hiki inachokipata Israel usidhani Marekani haimo.
 
Iran wanaenda kuchapwa vibaya, nimesikia kiongozi wa juu wa Iran anaenda kunyongwa sio muda mrefu.
Israel inaficha madhara ya vita kwake na inakuza madhara kwa Iran ili kuepuka kuwavunja moyo waisrael na kuwaita nguvu Iran. Lakini madhara ni makubwa sana hata Israel, inaficha tu kwa njia ya kudhibiti taarifa.
 
Acha wazichape sisi tutawauzia mahindi na maji...
Wale ni ndugu, na ndugu wakigombana wewe chukua jembe kalime. Hawa akina Heche waache vijana wafanyakazi wazalishe tukawauzie wanaogombana. Ni bahati mbaya tu wale wanaogombana ndio wanaozaliza mafuta ya nishati.
 
Israel imeichokoza vipi Iran? Kwamba mashambulizi ya miaka yote ya vikundi vya Hezbollah, Hamas na Houth ambayo yamekuwa yakielekezwa nchini Israel ambayo mafunzo, pesa, vyote vinafadhiliwa na Iran huo haukuwa uchokozi?
Mlitaka Israel aendelee kupambana na proxies wa Iran yaani Hezbollah, Hamas na Houth? Wakati anayewawezesha yupo ametulia akiwa na amani?
Akipambana na hao proxies mnasema anaua wanawake na watoto, akipimpiga Iran mnasema mchokozi, mlitaka afanyaje?

Bunafsi nilikuwa nashangaa na kuwaona Usrael ni wendawazimy juhangaika na Hamas, Houth na Hezbollah wbadala ya kumtandika Iran.

Tena Israel ni watu wenye kujali sana, ina makombora yanayokwenda masafa ya mbali kuliko Iran lakini imeamua kutumia zaidi ndege.
Ufafanuzi mzuri sana, anachofanya israel kwa sasa ni kukata kichwa cha ugaidi mashariki ya kati
 
Israel inaficha madhara ya vita kwake na inakuza madhara kwa Iran ili kuepuka kuwavunja moyo waisrael na kuwaita nguvu Iran. Lakini madhara ni makubwa sana hata Israel, inaficha tu kwa njia ya kudhibiti taarifa.
Wewe ni iran promax kwhy huwezi kusema ukweli kwa kuwa umeshachagua upande
 
Israel inaficha madhara ya vita kwake na inakuza madhara kwa Iran ili kuepuka kuwavunja moyo waisrael na kuwaita nguvu Iran. Lakini madhara ni makubwa sana hata Israel, inaficha tu kwa njia ya kudhibiti taarifa.
Acha uongo Iran hana uwezo wa kumpiga Israel. Anachofanya ni kushambulia makazi ya watu. Ngoja wamnyoshe vizuri
 
Duh; kumbe ule weusi wa mwamposa ni ishara ya ushetani!

I never thought that you could be this dumb.
Weusi wote Ni ushetani. Angalia like dude jeusi wanalizunguka wale jamaa, mle ndani ndo makao makuu ya shetani mkuu.
 
You're so naive.

Ukiambiwa Sadam Hussein kasaidiwa sana na Marekani wakati wa vita ya Iraq na Iran, lakini baadaye kaja kunyongwa na hao hao Marekani utasema ni porojo za vijiweni.

Al Qaeda ya Osama kusaidiwa na kufadhiliwa na Marekani Al Qaeda wakipambana na USSR Afghanistan nayo utasema porojo.
Yote hayo uliyoandika yanajulikana,
Kasoro hiyo naivety
 
Acha uongo Iran hana uwezo wa kumpiga Israel. Anachofanya ni kushambulia makazi ya watu. Ngoja wamnyoshe vizuri
Atakaempiga Iran bali NATO, Israel hana uwezo huo. Na Kuna hatari Israel ikafutwa kwenye ramani, mark my words.
 
Back
Top Bottom