Wapagani wanaomwabudu Amerika.Tupeni elimu kwanwa Israel ni wakristo???
Wapagani wanaomwabudu Amerika.Tupeni elimu kwanwa Israel ni wakristo???
🚮
Msikilize hapa Trump akitangaza mafanikio ya kuua kiongozi mkuu wa hilo kundi la kigaidi la Kobaz ISIS, Ustaadh ABU BAKR AL-BAGHDADI..
View: https://youtu.be/zdZ9C_IrAD8?si=vCVB1TtZsrK3SMTP
Afu jiulize Israel ana balistic ila hazitumii, anasubiri nini?Kwa jinsi iran alivyotumia nguvu kuishambulia Israel yaaani kumbe hamas,hesbola na houth wasingeweza chochote
Kama sio wa kristo hii migala inauhusiano gani na ma Israel???Wapagani wanaomwabudu Amerika.
Andika kwa utulivu ueleweke.Kama sio wa kristo hii migala inauhusiano gani na ma Israel???
Huo siyo uthibitisho. Hata muuaji wa kawaida akiumwa anatibiwa.Hao ISIS waliwahi kupokelewa na kutibiwa na Netanyahu.
Huna unachojua wewe.Huo siyo uthibitisho. Hata muuaji wa kawaida akiumwa anatibiwa.
Leta proof kuwa ISIS, al Qaeda, nk yanamilikiwa na US !!
Ogopa sana porojo za vijiweni maana 99% ni uongo, uzushi
You're so naive.Huo siyo uthibitisho. Hata muuaji wa kawaida akiumwa anatibiwa.
Leta proof kuwa ISIS, al Qaeda, nk yanamilikiwa na US !!
Ogopa sana porojo za vijiweni maana 99% ni uongo, uzushi
Kwa maoni yangu iwapo Vita vitamalizika hata leo, alie kwenye shinikizo zaidi kwa watu wake ni Netapaka.Iran wanaenda kuchapwa vibaya, nimesikia kiongozi wa juu wa Iran anaenda kunyongwa sio muda mrefu.
Kauli hai, bado haijafutwa. Na ikiwa Israel itashindwa kuiangamiza Iran wakati huu basi Iran itaiangamiza Israel wakati ujao.Unawaza inversely proportional na uhalisia.Aliyekuwa anasema kwa deko na tambo atamfuta mwenzake kwenye uso wa dunia ulishawahi kumsikia?Na wale nchi sita waliotaka kuichakaza Israel mwaka 1968 unawajua?Tafuta jibu ndiyo utajua kwa nini Ina "I" ngapi!
Hiko ndio hata mimi nakiona.Na ifahamike pia kama kuna mungu wa Israel, basi huyo mungu ni Marekani. No America, no Israel.
Naongezea hivi kwanini waislamu wawe wengi Isreal kuliko idadi ya wakristo?Tupeni elimu kwanwa Israel ni wakristo???
Kaka sio rahisi hivyo. Nyuma ya Israel yapo mataifa yenye nguvu na nyuma ya Iran yapo mataifa yenye nuclear. Lakini Iran inajiweza wenyewe na mafuta na gesi inayokwenda nchi za Ulaya yanapita Iran na Israel. Mzozo sio rahisi huu , hata wazungu wamechanganyikiwa, hawakukua Iran Ina uwezo mkubwa kiasi hikiMkuu hudhani kuwa hapa vita ilipofikia ndipo Israel ilipopataka ili kutimiza lengo lake? Sidhani kwamba tukio Israel ililolifanya ilitegemea Iran ikae kimya. Halafu ukishaona 🇺🇸 inaanza kutoa matangazo kuwa imekataa mtu fulani sijui asiuawe mara nyingi linakuwa kinyume chake. Tusibiri tuone.
Ni nchi ya waislam, finito. Nyingine ni Alfu Lela Ulela. Sawa na Rwanda kudai Goma ni sehemu ya Rwanda, wanaitaka. Kama Kila watu watadai maeneo yao ya asili kabla ya uvamizi wa wakoloni hata Marekani itafutika, sio kwao. Israel pekee iliachiwa ifanye ujinga huo. Na kama tukiruhusu ujinga huo huu wa Israel wa kukalia nchi ya Palestine kuwa ni eneo lao la asili, nasi ukanda wote wa maili 100 pwani ya bahari ya Hindi ya Afrika Mashariki ni mali ya Zanzibar, yaani Mkoa wa pwani na morogoro, Tanga na Mtwara ni Zanzibar.Naongezea hivi kwanini waislamu wawe wengi Isreal kuliko idadi ya wakristo?
Imeandikwa jisaidie NAMI nitakusaidiaWanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu?
Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Waisrael wapo 9.8 MILION Wanaoamini Uislamu 1.77 MILIONNi nchi ya waislam, finito. Nyingine ni Alfu Lela Ulela. Sawa na Rwanda kudai Goma ni sehemu ya Rwanda, wanaitaka. Kama Kila watu watadai maeneo yao ya asili kabla ya uvamizi wa wakoloni hata Marekani itafutika, sio kwao. Israel pekee iliachiwa ifanye ujinga huo. Na kama tukiruhusu ujinga huo huu wa Israel wa kukalia nchi ya Palestine kuwa ni eneo lao la asili, nasi ukanda wote wa maili 100 pwani ya bahari ya Hindi ya Afrika Mashariki ni mali ya Zanzibar, yaani Mkoa wa pwani na morogoro, Tanga na Mtwara ni Zanzibar.
Israel wana mungu wao wa vita ambaye ni Marekani.Asipo chapika Israel katika vita hii nitaamini kweli Israel ni Taifa la Mungu
Maana kitendo Cha kigaidi walicho kifanya Israel kuuwa viongozi wa Iran kinampa Iran haki ya kuishambulia Israel anavyotaka