Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,817
Reaction score
62,027
Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel".

Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel akasema kuwa anaamini ktk hilo kwa nguvu zote.

Greater Israel inasemwa kuwa ni nchi ya ahadi ambayo Mungu alimuahidi Ibrahim na uzao wake, na mipaka yake ni kuanzia mto Nile wa Misri hadi mto Euphrates wa Iraq. Miongoni mwa maeneo ya leo yanayoangukia ktk ardhi hiyo ni Lebanon, sehemu kubwa ya Syria, Saudi Arabia na hata baadhi ya maeneo ya Iraq.

Sasa sisi Tanzania na East Afrika tutaathirika vipi?. Bika shaka Myahudi hawezi kumiliki.mto Nile halafu akatuachia uhuru wa kucontrol ziwa victoria.

Halafu andiko linasema kuwa nchi ya ahadi inaanzia mto wa Egypt, hata hivyo mto wa Egypt tunajua una vyanzo viwili, yaani Ethiopia na Ziwa victoria. Je hii haiwezi kuja kuwa excuse ya kudai eneo lote kuanzia ziwa victoria na ethiopia kuelekea east?.

Yetu macho.
 
waje kuchukua ziwa lote, ili kuwe na choko choko watupige wamuondoe na ntu madarakani hata kesho
 
Shida ya watanzania kwasasa ukilinganisha na wale wa enzi za mkoloni ni udhaifu na kuwa wazembe kulikopitiliza.

Sasa ziwa lipo kwetu wakuja kutupangia masharti ni nani miaka hii ya ukweli na uwazi?

Vijana wa sasa siji Ari ya kizalendo mlipoteza wakati gani? Ni waoga,hamna matumaini,hamjiamini,hamna mbinu,mnahisi kutetewa ni muhimu zaidi kuliko kujitetea, mnataka kupewa solution ya kila kitu no wonder tatizo la ajira limeanza na kizazi hiki cha washamba wa maisha na ujinga wa kujitambua.

Anyways,kujifunza ni muhimu zaidi katika maisha cha muhimu ni kuwa na maarifa. Mifumo iliyopo haitu accommodate kama vijana katika kuwa imara. Tunatakiwa kujiweka imara wenyewe bila kushinikizwa wala kupangwa.

Someni stori za zamani za namna vijana wa nyakati hizo walivyokuwa na maamuzi magumu na ya kujitoa. Tazama namna waliyatazama maisha kama movie na kuhakikisha wanatengeneza the best movie itakayouza miaka yote.

Ni kizazi hiki tu mnafuatilia mpira kuliko siasa hamjui kuwa haya mamipira ni distractions imagine una misimu ya UEFA,CAF, NBC legue, haujaja,CAF na kombe la Dunia. Haya makitu ni throughout the years yanajirudia. Kila unapokaa chini unapoteza dakika 90 za maisha for something unproductive, ni bora hata anae tazama series na movie at least anashape akili yake kimaisha kama anatazama movie zenye maudhui ya uhalisia.

Someni vitabu vyenye maarifa ili muwe na vichwa nyenye ufahamu,huko mtandaoni kuna library ya ufahamu wa kila kitu. Why mnakuwa wajinga kiasi hiki?

Sasa tuogope Israel kuchukua Ziwa kwasababu yeye ni nani,taifa teule la MUNGU?😂 Takataka.

Vijana hebu tubadilike, inchi ya maendeleo haijengwi na wapumbavu katika mfumo wa ujinga.
 
Sasa walokole wabongo wakiambiwa nchi ya ahadi inaanzia mto nile si wataweka silaha chini?
 
Wateule wa bwana wametufikia na sisi?
 
Egypt TU anawapiga biti kila siku kua hamna mwenye ruhusa ya kutumia lile ziwa kiholela, nyie mnaweza kweli kudili na mjalana yule akishusha mabomu mawaili walokole wanasema bwana kaja kuwanyenyua, tutakae dili nae ni sisi Waislam msipate shaka lazima nishike kitengo wakijileta ila najua walokole watawaunga mikono Wale wajaalana na kuisaliti Tz hivyo hio vita itakua ngumu kweli.
 
Kwenye makanisa ya Walokole kuna bendera za Israel. Hao ndo watakuwa wa kwanza kuwashawishi Watanzania kuwa tuwaachie Wayahudi zIwa victiria maana tunayo mengine
 
Shida ya watanzania kwasasa ukilinganisha na wale wa enzi za mkoloni ni udhaifu na kuwa wazembe kulikopitiliza.

Sasa ziwa lipo kwetu wakuja kutupangia masharti ni nani miaka hii ya ukweli na uwazi?

Vijana wa sasa siji Ari ya kizalendo mlipoteza wakati gani? Ni waoga,hamna matumaini,hamjiamini,hamna mbinu,mnahisi kutetewa ni muhimu zaidi kuliko kujitetea, mnataka kupewa solution ya kila kitu no wonder tatizo la ajira limeanza na kizazi hiki cha washamba wa maisha na ujinga wa kujitambua.

Anyways,kujifunza ni muhimu zaidi katika maisha cha muhimu ni kuwa na maarifa. Mifumo iliyopo haitu accommodate kama vijana katika kuwa imara. Tunatakiwa kujiweka imara wenyewe bila kushinikizwa wala kupangwa.

Someni stori za zamani za namna vijana wa nyakati hizo walivyokuwa na maamuzi magumu na ya kujitoa. Tazama namna waliyatazama maisha kama movie na kuhakikisha wanatengeneza the best movie itakayouza miaka yote.

Ni kizazi hiki tu mnafuatilia mpira kuliko siasa hamjui kuwa haya mamipira ni distractions imagine una misimu ya UEFA,CAF, NBC legue, haujaja,CAF na kombe la Dunia. Haya makitu ni throughout the years yanajirudia. Kila unapokaa chini unapoteza dakika 90 za maisha for something unproductive, ni bora hata anae tazama series na movie at least anashape akili yake kimaisha kama anatazama movie zenye maudhui ya uhalisia.

Someni vitabu vyenye maarifa ili muwe na vichwa nyenye ufahamu,huko mtandaoni kuna library ya ufahamu wa kila kitu. Why mnakuwa wajinga kiasi hiki?

Sasa tuogope Israel kuchukua Ziwa kwasababu yeye ni nani,taifa teule la MUNGU?😂 Takataka.

Vijana hebu tubadilike, inchi ya maendeleo haijengwi na wapumbavu katika mfumo wa ujinga.
Huyo unamwita kijana ametoa maoni yake ulipaswa uje nasababu kwamba kwasababu hizi na zile sio rahisi kwa bwana nyau hawezi kufanya hayo dunia yaleo vita ni ya uchumi
 
Raia wengi wa Tanzania, Kenya na Uganda ni kondoo walioko tayari kufanywa chochote na wayahudi hivyo ikitokea hivyo hakutokua na upinzani wowote... Leo hii kina Mbaga Jr MK254 echolima, Yoda nk hata wakiambiwa na myahudi wainame wasokomezwe wanainama chapu na samahani za kutosha 😄😄😄
Mbona Waarabu tayari wamewavalisha magauni yao wanaume na mmekubali??
 
Huyo unamwita kijana ametoa maoni yake ulipaswa uje nasababu kwamba kwasababu hizi na zile sio rahisi kwa bwana nyau hawezi kufanya hayo dunia yaleo vita ni ya uchumi
Nimetoa taswira ya haiba ya vijana wa sasa ambao hawana tena matumaini. Lengo ni kuwa na chachu ya kifikra kwaajiri ya vijana kuwazua maisha upya na kuyatazama kwa sura ya kujituma na kujenga na sio kusikilizia.
 
Kama watashirikisha na maji katika himaya hiyo, basi ndio mwanzo wa Vita vya 3.

Wataalamu wa masuala ya vita walishaliweka wazi hili. Kuwa vita vya 3 vitaanza kwa kugombania maji

Sisi hatuogopi tuna maji mengi sana ingawa hatuna maarifa (sorry) ukweli mchungu
Ila tutafunga hayo maji wakati vita ikianza

Sio kuwa tujiandae kukosa, bali wao wajiandae kupata maumivi
 
Nikweli mkuu ila kwa hawa vijana wasimba nayanga na kuhesabu mabasi yamatajiri tumpongeze
 
Imani ya dini ni upumbavu, wanajua kwamba watu wengi haaajitambui na wamenasa ktk Ujinga uliopikwa wa Imani za kidini , So wanatumia huo Mwamvuli kupush agenda zao

Dunia Kuna ungese mwingi sana nikifa sitaki kurudi tena Huku
 
Kama watashirikisha na maji katika himaya hiyo, basi ndio mwanzo wa Vita vya 3.

Wataalamu wa masuala ya vita walishaliweka wazi hili. Kuwa vita vya 3 vitaanza kwa kugombania maji

Sisi hatuogopi tuna maji mengi sana ingawa hatuna maarifa (sorry) ukweli mchungu
Ila tutafunga hayo maji wakati vita ikianza

Sio kuwa tujiandae kukosa, bali wao wajiandae kupata maumivi

Wewe una uwezo wa kuzuia F-35 za Yahudi?
Akija Full force anakapiga ka Dar es salaam kanageuka kama Gaza.

Kambi zote za Jeshi ambazo ziko open anavuruga zote kutoka angani!
 
Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel".

Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel akasema kuwa anaamini ktk hilo kwa nguvu zote.

Greater Israel inasemwa kuwa ni nchi ya ahadi ambayo Mungu alimuahidi Ibrahim na uzao wake, na mipaka yake ni kuanzia mto Nile wa Misri hadi mto Euphrates wa Iraq. Miongoni mwa maeneo ya leo yanayoangukia ktk ardhi hiyo ni Lebanon, sehemu kubwa ya Syria, Saudi Arabia na hata baadhi ya maeneo ya Iraq.

Sasa sisi Tanzania na East Afrika tutaathirika vipi?. Bika shaka Myahudi hawezi kumiliki.mto Nile halafu akatuachia uhuru wa kucontrol ziwa victoria.

Halafu andiko linasema kuwa nchi ya ahadi inaanzia mto wa Egypt, hata hivyo mto wa Egypt tunajua una vyanzo viwili, yaani Ethiopia na Ziwa victoria. Je hii haiwezi kuja kuwa excuse ya kudai eneo lote kuanzia ziwa victoria na ethiopia kuelekea east?.

Yetu macho.
Hivi huwa hamna kazi za kufanya!?
 
Wewe una uwezo wa kuzuia F-35 za Yahudi?
Akija Full force anakapiga ka Dar es salaam kanageuka kama Gaza.

Kambi zote za Jeshi ambazo ziko open anavuruga zote kutoka angani!
Hatuwezi kuzuia ila nao hawataweza kupigana pande zote
Naongelea kama likitokea la kutokea na nchi zikapigania maji
 
Egypt TU anawapiga biti kila siku kua hamna mwenye ruhusa ya kutumia lile ziwa kiholela, nyie mnaweza kweli kudili na mjalana yule akishusha mabomu mawaili walokole wanasema bwana kaja kuwanyenyua, tutakae dili nae ni sisi Waislam msipate shaka lazima nishike kitengo wakijileta ila najua walokole watawaunga mikono Wale wajaalana na kuisaliti Tz hivyo hio vita itakua ngumu kweli.
Tofauti ya masikini na tajiri ni kichwani, wakati tajiri akitumia kichwa kubuni miradi mipya, kulinda uwekezaji wake na kutengeneza kizazi cha kuendeleza huo hizo investments, masikini anasubiri Israel waje kulichukua ziwa Victoria apigane! Uma safari mdefu mno ustaadhi.
 
Back
Top Bottom