Israel fingerprints all over 9/11 attacks: US lawmaker

Mpendwa, asante kwa kunijua kimakini mata moja ingawa tumeanza kujadiliana hapa mara ya kwanza maishani. Ajabu kweli jinsi umejua ni kivipi mimi napokea habari na kuzipenda!
Basi unanijua kuliko mimi mwenyewe??? Hadi sasa sikujua ya kwamba hoja langu juu ya 9-11 lilikuwa jambo la moyo?
Lakini sidhani.
Akili yangu inaridhika maelezo niliyoona; akili yangu imeniambia kweli ni hatari kwa jengo la saruji -feleji kama moto kubwa inawaka ndani yake kwa masaa mengi (jinsi ilivyokuwa huko Tower 7) kwa sababu fizikia inaniambia feleji inapanuka haraka wakati wa joto hivyo inaweza kuvunja saruji . . . . . Ikiwa hii ni tamko pia ya Umoja wa Mamuhandisi wa Ujenzi Marekani naielewa na sioni sababu ya kuwaza ndoto za ajabu.

Hapana, hii sikujua. Je wewe unajuaje??? Unaongea na malaika wasiofika kwangu? Yaani rais Kennedy aliaga dunia mwaka 1963. Kweli sikujua ya kwamba alihusika na habari za Apollo huko peponi miaka 9 baada ya kifo chake!

(Au: je kuna nadharia ambayo mimi sijui eti Kennedy hakufa bado eti walimwua mwingine aliyefanana naye??? )
Nimekuwekea picha na website ili upate mwanga lakini maskini wapi!? Bado unafikiria kwa kutumia moyo!! Ungepembua kidogo tu ungeliona mwanzilishi na aliyefanya Juhudi ya USA kwenda Space ni JFK na aliyeingia matatizoni ni Nixon kwa bahati mbaya sikuandika mpaka mwisho (mna hili limetokea kutokana na hali ya mtandao nilikuwa nikipost haisave) Ila Endelea kuufuata moyo navyokuambia Iko siku utaujua ukweli watakapouanika kama walivofanya kwa VIETNAM.

Napenda kukomea hapa kwa sababu sitafuti ushindi bali kutaka UKWELI UJULIKANE. Na WATU TUTUMIE AKILI ZETU SI MIOYO KUFIKIRI... ILA TUKIENDEKEZA MIOYO YETU KUTUBAKA AKILI IKO SIKU NJIWA TUTAMUITA POPO!!!
 
Mpendwa, asante kwa kunijua kimakini mata moja ingawa tumeanza kujadiliana hapa mara ya kwanza maishani. Ajabu kweli jinsi umejua ni kivipi mimi napokea habari na kuzipenda!
Basi unanijua kuliko mimi mwenyewe??? Hadi sasa sikujua ya kwamba hoja langu juu ya 9-11 lilikuwa jambo la moyo?
Lakini sidhani.
Akili yangu inaridhika maelezo niliyoona; akili yangu imeniambia kweli ni hatari kwa jengo la saruji -feleji kama moto kubwa inawaka ndani yake kwa masaa mengi (jinsi ilivyokuwa huko Tower 7) kwa sababu fizikia inaniambia feleji inapanuka haraka wakati wa joto hivyo inaweza kuvunja saruji . . . . . Ikiwa hii ni tamko pia ya Umoja wa Mamuhandisi wa Ujenzi Marekani naielewa na sioni sababu ya kuwaza ndoto za ajabu.

Hapana, hii sikujua. Je wewe unajuaje??? Unaongea na malaika wasiofika kwangu? Yaani rais Kennedy aliaga dunia mwaka 1963. Kweli sikujua ya kwamba alihusika na habari za Apollo huko peponi miaka 9 baada ya kifo chake!

(Au: je kuna nadharia ambayo mimi sijui eti Kennedy hakufa bado eti walimwua mwingine aliyefanana naye??? )

Siijui fizikia coz mara ya mwisho kuisoma nilikua form 4 ila labla nikuulize we mwanafizikia, kwa nini majengo marefu yanajengwa na steel? Ni saruji au steel kinachosimamisha jengo? Je moto wa kawaida tu ambao ni tofauti na ule wa kuyeyushia chuma unaweza kuporomosha jengo kama hiyo ya 9/11? Mbona kuna majengo mengi yashawaka sana kama lile la kule Spain lilowaka kwa zaidi ya masaa 20 lakini halikuanguka na lilikua strong enough to hold a crane on top of it? Infact hata wakandarasi wa hayo majengo(twin towers) wanasema waliyajenga waki-invision kuwa yanaweza kuhimili ajali ya kugongwa na ndege? Hilo tower 7 ni kweli liliporomoshwa na kifusi? Real? Mbona Meya wa New York aliamuru watu watoke kwenye hilo jengo kwa sababu aliambiwa " they gonna pull it down", je aliota kwamba litaangukiwa na kifusi?
Wakati wanaenda kuipiga Iraq walisema kuna weapons of mass destruction, cjui mwenzetu unaweza kutupa report yoyote inayoweza kuprove kwamba walizikuta hizo W.O.M.D? If not,kwa nini tuamini sana kile wanachosema wao ili hali kinapingana kabisa na reasoning pamoja na laws of physics ambazo wewe unaziadvocate?
 
Unajua mmiliki nani? Baada ya miaka watatoa taarifa tena (taarifa ambazo si siri tena!)

Mkuu kwa jina ckikumbuki kile kizee ila najua kilinunua hiyo compound miezi michache kabla ya tukio kana kwamba kilijua nini kitatokea na kilifanya insurance cover mpya iliyompa pesa nyingi sana baada ya hilo tukio.
 
Mkuu we kamatilia hapohapo tu panatosha!!! Wataalamu wanasema ISHI KWA MPANGO! Na ndivyo wenzetu wanavyofanya WANAISHI KWA MIPANGO MINGI! ndio maana sisi tusioishi kwa MIPANGO wanatukubalisha mikataba mibovu ya KARNE! (mfano wa mipango hata hapa kwetu ipo ila haina manufaa kwa TAIFA, kumbuka uchomwaji benki kuu na MEREMETA!!)
 
Habari haina mashiko hata kidogo. Mtoa habari hii anakusudia nini kusema "Israel finger prints" badala ya kuwataja wahusika? Hii inaonesha kama kwamba kila aina ya watu wana fingerprints zao, fingerprints za Wanyakusya, Wanyamwezi....za Watanzania, Waganda n.k.

Kwanza mmeona chanzo cha habari hii? AhluBayt News Agency (ABNA), sina ugomvi nao, lakini habari zimekaa kipropaganda zaidi kuliko ukweli.
 
Ndege zilitumika kama trigger button.
Al quida ni adui wa US wa siku nyingi, Jews ni kama walitumia hiyo opportunity na kumpa Al kaida hiyo nafasi.

Kwanini Jews hawakuwa reported kama Victims??

Hv ni kweli hakuna Jew aliyekufa ktk hii incidence?
 
Siijui fizikia coz mara ya mwisho kuisoma nilikua form 4 ila labla nikuulize we mwanafizikia, kwa nini majengo marefu yanajengwa na steel? Ni saruji au steel kinachosimamisha jengo? Je moto wa kawaida tu ambao ni tofauti na ule wa kuyeyushia chuma unaweza kuporomosha jengo kama hiyo ya 9/11? Mbona kuna majengo mengi yashawaka sana kama lile la kule Spain lilowaka kwa zaidi ya masaa 20 lakini halikuanguka na lilikua strong enough to hold a crane on top of it? Infact hata wakandarasi wa hayo majengo(twin towers) wanasema waliyajenga waki-invision kuwa yanaweza kuhimili ajali ya kugongwa na ndege? Hilo tower 7 ni kweli liliporomoshwa na kifusi? Real? Mbona Meya wa New York aliamuru watu watoke kwenye hilo jengo kwa sababu aliambiwa " they gonna pull it down", je aliota kwamba litaangukiwa na kifusi?
Wakati wanaenda kuipiga Iraq walisema kuna weapons of mass destruction, cjui mwenzetu unaweza kutupa report yoyote inayoweza kuprove kwamba walizikuta hizo W.O.M.D? If not,kwa nini tuamini sana kile wanachosema wao ili hali kinapingana kabisa na reasoning pamoja na laws of physics ambazo wewe unaziadvocate?

kwa akili ya kawaida nitaendelea kuamini ndani ya yale majengo waliweka explosives ambazo nadhani zilikuwa detonated baada ya kuwaka kwa muda mrefu na hapo ndio jengo likashuka.
Nyumba za gongo la mboto hazikushuka zote kwa mabomu so kwa twin towers nitaendelea kukataa
 
Unauliza maswali ya maana. Tangu zaidi ya miaka 100 nyumba ndefu zote za aina skyscraper hutengenezwa kwa kutumia fremu ya feleji. Nguzo na boriti za feleji zinaunganishwa , kwa kawaida kimraba, kutengeneza fremu yenye umbo la jengo linalokusudiwa. Ni fermu ya feleji inayosimamisha jengo ndefu (kama unajenga bila fremu nyumba ndefu inawezekana lakini ghali mno; maana ungehitaji kutumia kuta nenenene mno zinazoweza kubeba uzito wa ghorofa za juu...)

Sakafu kila ghorofa na misingi kwa kawaida ni mchanganyiko wa saruji na feleji maana saruji ya pekee si imara vile inavyotakiwa (imara sana dhidi shindikizo lakini hafifu dhidi nguvu za mvutano; hii sababu hutumiwa pamoja yaani nyavu ya feleji ndani ya ganda za saruji).

Hatari ya moto kwa majengo ya fremu za feleji ni tabia ya chuma kupokea joto haraka (tofauti na jiwe au saruji) na kupanuka. Kama vyuma vya mchanganyiko wa saruji-feleji vinashika joto na kupanuka vinaweza kupasua saruji (sawa na tatizo la kawaida kama unyevu unaweza kuingia ndani ya saruji na kufikia vyuma na kusababisha kutu maana chuma cha kutu kinachukua nafasi kubwa kushinda chuma kitupu, hivyo kuta hizi zinaanza kupasuka).

Tatizo ingine (na WTC tatizo kuu) ni sehemu ambako boriti za feleji zinaunganishwa. Kama boriti moja inashika joto inaanza kupanuka na kupinduka kidogo. Hii inaweza kuvunja (au kusababisha kuachana) bolti, skrubu au rivets zinazoshika maboriti pamoja. Kama boriti muhimu zinaachana hatari ya kuporomoka imeshafika maana makdirio ya uimara inategema fremu yote.

Tatizo la minara za WTC lilikuwa kutokea kwa moto kali ambayo haikukadiriwa wakati wa kupanga na kujenga. Katika minara mirefu ukali wa moto iliyoanzishwa na petroli ya ndege ilisababisha kulainika (si kuyeyuka!) kwa sehemu za boriti na kuachana kwa viungo. Ghorofa za juu zilianza kuteleza na kuongeza mzigo kwa sehemu za chini zisizokadiriwa kwa mzigo huu; mwishowe viungo vilianza kuvunjika.

Katika jengo na. 7 WTC tatizo lilikuwa muda wa moto iliyosababishwa na vipande vva kuwaka kutoka minara mirefu na uhaba wa maji. Hapo walinzi moto walijaribu kwa masaa kupambana na moto ndani ya jengo lakini waliona mabadiliko katika umbo la jengo kutokea polepole na kusikia sauti za feleji wakati viungo vilianza kuachana na kupinda. Hapo walitoka nje kwa sababu walitambua hatari.

Huo mfano wa Hispania sijui labda lete chanzo.

Unaweza kujisomea kuanzia hapa 7 World Trade Center - Wikipedia, the free encyclopedia, akuendelea na taarifa ya mamuhandisi wa ujenzi Marekani hapa WTC Disaster Study

Ile kuhusu WMD za Iraq sidhani ya kwamba kuna haja la kujadili. Leo hii imekubaliwa hata Markani na wanasiasa ya kwamba dai hili lilikuwa ama uwongo wa kusudi au kosa tu. Hazikupatikana wala hazikuwepo wakati wa vita.
 
Hv ni kweli hakuna Jew aliyekufa ktk hii incidence?
Bullshit. Uwongo au hali ya fujo kwenye ubongo

"A total of 2,071 occupants of the World Trade Center died on September 11, among the 2749 victims of the WTC attacks. According to an article in the October 11, 2001 Wall Street Journal, roughly 1,700 people had listed the religion of a person missing in the WTC attacks; approximately 10 percent were Jewish. A later article, in the September 5, 2002 Jewish Week, states, "based on the list of names, biographical information compiled by The New York Times, and information from records at the Medical Examiner's Office, there were at least 400 victims either confirmed or strongly believed to be Jewish." This would be approximately 15 percent of the total victims of the WTC attacks. A partial list of 390 Cantor Fitzgerald employees who died (out of 658 in the company) lists 49 Jewish memorial services, which is between 12 percent and 13 percent. (http://myfriendsphotos.tripod.com/cf.html)This 10 percent to 15 percent estimate of Jewish fatalities tracks closely with the percentage of Jews living in the New York area."
Chanzo:
The 4,000 Jews Rumor

kwa akili ya kawaida nitaendelea kuamini ndani ya yale majengo waliweka explosives ambazo nadhani zilikuwa detonated baada ya kuwaka kwa muda mrefu na hapo ndio jengo likashuka.
Nyumba za gongo la mboto hazikushuka zote kwa mabomu so kwa twin towers nitaendelea kukataa

Akili ya kawaida ni safi kwa matatizo ya kawaida. Kwa matatizo mengine ni vema kujaribu elimu kidogo.

Bomu si lazima hatari sana kwa jengo kubwa la fremu ya feleji; inategemea inapogonga. Kiasi jinsi ilivyo juu, si tatizo mno. Ikipasuka ndani ya jengo lakini mbali ya nguzo muhimu si tatizo sana.

Tatizo ni moto ya kudumu inayowaka ndani ya jengo karibu na nguzo kuu (isipokuwa kama inatokea juu kabisa - si tatizo mno kama maghorofa machache ya juu pekee yanaanguka).
 
Mabingwa wa kutapatapa! Kila siku tunaambiwa kuwa Israel haina uwezo wowote bila msaada wa USA. Kumbe tena wana uwezo wa kufanya hujuma kubwa kiasi hicho ndani ya US. Na yale maonyo yote ambayo us ilidharau yalikuwa yanatolewa na kina nani? Hizo theory kuwa hakuna myahudi aliyekufa ndani ya WTC, iliwezekanaje kuwazuia mamia ya watu bila vyombo vya usalama vya us kushtukia?! Njia ya waongo ni fupi sana...
 
Bullshit. Uwongo au hali ya fujo kwenye ubongo

"A total of 2,071 occupants of the World Trade Center died on September 11, among the 2749 victims of the WTC attacks. According to an article in the October 11, 2001 Wall Street Journal, roughly 1,700 people had listed the religion of a person missing in the WTC attacks; approximately 10 percent were Jewish. A later article, in the September 5, 2002 Jewish Week, states, "based on the list of names, biographical information compiled by The New York Times, and information from records at the Medical Examiner's Office, there were at least 400 victims either confirmed or strongly believed to be Jewish." This would be approximately 15 percent of the total victims of the WTC attacks. A partial list of 390 Cantor Fitzgerald employees who died (out of 658 in the company) lists 49 Jewish memorial services, which is between 12 percent and 13 percent. (http://myfriendsphotos.tripod.com/cf.html)This 10 percent to 15 percent estimate of Jewish fatalities tracks closely with the percentage of Jews living in the New York area."
Chanzo:
The 4,000 Jews Rumor

mkuu kipala unajua wall street journal na new york times yanamilikiwa na watu gani?
 
"A total of 2,071 occupants of the World Trade Center died on September 11, among the 2749 victims of the WTC attacks. According to an article in the October 11, 2001 Wall Street Journal, roughly 1,700 people had listed the religion of a person missing in the WTC attacks; approximately 10 percent were Jewish. A later article, in the September 5, 2002 Jewish Week, states, “based on the list of names, biographical information compiled by The New York Times, and information from records at the Medical Examiner’s Office, there were at least 400 victims either confirmed or strongly believed to be Jewish.” This would be approximately 15 percent of the total victims of the WTC attacks. A partial list of 390 Cantor Fitzgerald employees who died (out of 658 in the company) lists 49 Jewish memorial services, which is between 12 percent and 13 percent. (http://myfriendsphotos.tripod.com/cf.html)This 10 percent to 15 percent estimate of Jewish fatalities tracks closely with the percentage of Jews living in the New York area."
Chanzo:
The 4,000 Jews Rumor

mkuu kipala unajua wall street journal na new york times yanamilikiwa na watu gani?
 
loading...kama watu wanapenda amini kuwa Jews wanaweza fnya haya yote kwa ufanisi kiasi hiki kwanini hawatakai amini pia wana mengi makubwa namazuri duniani more superior than their fellow counterpart from Arab world?Kama wana uwezo namna hiyo kwanini wapigane vita na arabworld?

Tunapenda danganywa.
 
Kuna DocumentarieS 999,999,999 za wamarekani na Dunia nzima Kuhusu 9/11...ngumu sana Kujadili hii kwa Sasa Kila mtu ana Fact zake.

9/11 is Closed File and PiCs zote waliokufa WTC ziko "SEALED"

Ni Upuuzi Kuongea kitu ambacho akina TiJa si kwa Wamerekani wala WatanzaniA sie..too Big for Us ...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mkuu kipala unajua wall street journal na new york times yanamilikiwa na watu gani?
Mwenye New York Times ni Arthur Ochs Sulzberger, mwenye Wall Street Journal ni shirika la newscorp inayomilikiwa na Rupert Murdoch- na yote mawili ni magazeti mazuri sana ingawa mwelekeo tofauti kulingana na mielekeo tofauti ya watu wanaomiliki.

Sasa unataka kusema nini kwa swali hili kuhusu habari uliyojibu? Dai la kuwa hakuna Myahudi aliyekufa 9/11 ni uwongo wa kitoto.

"A total of 2,071 occupants of the World Trade Center died on September 11, among the 2749 victims of the WTC attacks. According to an article in the October 11, 2001 Wall Street Journal, roughly 1,700 people had listed the religion of a person missing in the WTC attacks; approximately 10 percent were Jewish. A later article, in the September 5, 2002 Jewish Week, states, "based on the list of names, biographical information compiled by The New York Times, and information from records at the Medical Examiner's Office, there were at least 400 victims either confirmed or strongly believed to be Jewish." This would be approximately 15 percent of the total victims of the WTC attacks. A partial list of 390 Cantor Fitzgerald employees who died (out of 658 in the company) lists 49 Jewish memorial services, which is between 12 percent and 13 percent. (http://myfriendsphotos.tripod.com/cf.html)This 10 percent to 15 percent estimate of Jewish fatalities tracks closely with the percentage of Jews living in the New York area."
 
Mwenye New York Times ni Arthur Ochs Sulzberger, mwenye Wall Street Journal ni shirika la newscorp inayomilikiwa na Rupert Murdoch- na yote mawili ni magazeti mazuri sana ingawa mwelekeo tofauti kulingana na mielekeo tofauti ya watu wanaomiliki.

Sasa unataka kusema nini kwa swali hili kuhusu habari uliyojibu? Dai la kuwa hakuna Myahudi aliyekufa 9/11 ni uwongo wa kitoto.

"A total of 2,071 occupants of the World Trade Center died on September 11, among the 2749 victims of the WTC attacks. According to an article in the October 11, 2001 Wall Street Journal, roughly 1,700 people had listed the religion of a person missing in the WTC attacks; approximately 10 percent were Jewish. A later article, in the September 5, 2002 Jewish Week, states, "based on the list of names, biographical information compiled by The New York Times, and information from records at the Medical Examiner's Office, there were at least 400 victims either confirmed or strongly believed to be Jewish." This would be approximately 15 percent of the total victims of the WTC attacks. A partial list of 390 Cantor Fitzgerald employees who died (out of 658 in the company) lists 49 Jewish memorial services, which is between 12 percent and 13 percent. (http://myfriendsphotos.tripod.com/cf.html)This 10 percent to 15 percent estimate of Jewish fatalities tracks closely with the percentage of Jews living in the New York area."
nilikuwa namaanisha kwamba sulzberger ni myahudi na murdoch alininua wall street journal 2007 kabla lilikuwa na wayahudi kwahiyo hatuwezi kutegemea habari zinazowahusu zitoke kwenye magazeti yao zisiwe na bias
 
kaka tatizo si bias ya NYT au WSJ bali bias yako.

1. unachukua wapi ya kwamba WSJ ilimilikiwa na Wayahudi???? Unapenda kutoa matamko bila kujielimisha kwanza?? Basi hadi 2007 mwenye WSJ ilikuwa kampuni ya Dow Jones & Company - na hii ilimilikiwa kwa 2/3 za hisa zake na familia ya Bancroft wa Boston. Unawaita wayahudi kivipi???

2. hata kama ingemilikiwa na wayahudi inadhuru nini??? Yote 2 ni kati ya magazeti bora duniani. Heri ungeanza kuyasoma - hakika haitakuwa hasara kwa elimu yako.

3. Ungejaribu punje tu kuchungulia ungeona majina tele. Katika post yangu juu kuna marejeo kwa link nyingine ya myfriendsphotos.tipod.com. inayotangaza majina mbalimbali watumishi wa kampuni
Cantor Fitzgerald pamoja na mahali pa mazishi. Umeangalia? Kama umepinga - je umechungulia?
 
Huu uvumi ulianza mara baada ya kutokea tukio la 9/11.. Ila baadae ikaoenakana c ya kweli maana kuna wayahudi waliokufa na kuandikwa kwenye vyombo vya habari.. Vile vile katika moja ya ujumbe wake wa sauti Osama alikiri kupanga kuyashambulia majengo yale.. Na alisema hakutegemea kama angeyadondosha completely kama ilivyotokea..
na ikumbukwe ndege zilizogonga yale majengo zilikuwa na mafuta almost full.. Factor nyingine iliosemwa kuchangia kuporomoka kwa yale majengo..
 
Back
Top Bottom