Wakuu nina shida na internet ya uhakika, nina vicomputer kumi ambavyo ninataka viwe na internet yenye kasi. nipo mazingira ya kijijini ambapo makampuni ya simu yameniambia huku yana huduma ya voice tu na si data, so nilikuwa naomba mnisaidie kwa wajuzi wa mjini nimeplan kutumia Vsat - kama mnaweza kunipointia providers ambao wanaweza kunipa internet at competive price.