Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Last warning!!!!
Mod kama utaendelea kuruhusu kundi la wahuni wachache wanaotusi dini za watu kwenye hii forum.tutaprint huu upuuzi na kuusambaza kwa wenye dini waone nini kinaendelea.
Hamuwezi kuubadili uislamu kwa forums its too late! Jaribuni njia nyingine,kuna dini yenye matatizo kama ukiristo ushoga, zinaa,uchafu from the so called pastors,sistors, etc tatueni kwanza uchafu wenu huo.ndio muongee mengine.
Kama mtaendelea na matusi, basi mtakuwa mmechagua forum yote iwe ya matusi ila msiombe msaada serikalini.
Ohh umeingilia choo cha kike naona..matusi yako wapi. Hebu tuoneshe japo moja tu.