Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,938
- 1,437
naona wewe unaingilia shamba la mbigiri bila viatu..
hivi ni wapi hii thread inaongela ukristo?
kwani ni wapi hii thread imeonglea shamba au mbigiri.
Nilichosema mijadala kwenye mijadala ya dini ndio tunaona watu tulivyomezeshwa sumu. Iwe uislam au dini yeyote sio utamaduni wetu.