ISIS wabadilisha mbinu, watia mimba wanawake 31,000 kwa mpigo

Status
Not open for further replies.

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
ili kujihakikishia kuwa wanamgambo wa kikundi cha Islamic state (ISIS) wanakuwepo sikuzote na hata milele, wapiganaji hao wamebadilisha mbinu ya recruitment hasa baada ya vijana wengi wa mataifa mbalimbali kupunguza kasi ya kujiunga na kundi hilo.

Mbinu waliyokuja nayo ni kuamua kuzaa watoto wao wenyewe na kuwafundisha ugaidi, ili kuendeleza dora la kiislam lenye msimamo wa kigaidi. KWA MUJIBU WA gazeti la JEWSNEWS imerepotiwa na wana intellijensia kuwa ISIS WAMEWAPA WANAWAKE 31,000 MIMBA KWA MPIGO, na watakuwa wanafanya hivyo kila baada ya miaka miwili.

MY TAKE
wapinga ugaidi inabidi waangalie mbinu zao upya pia, hii ya ISIS ni tishio, hasa ukizingatia wanawake hao wamejitoolea kuzaa kila baada ya miaka miwili. kwa msingi huo katika mika 10 ijayo ISIS WATAKUWA NA KIZAZI CHA MAGAIDI 310,000. duh

Source:
jewsnews
 
Halafu wanasema wanatetea dini hiyo si zinaa? Ni kama wale boko haram waliwateka wanafunzi wakawaficha msituni walipokuja kupatikana wakakutwa na mimba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom