Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,261
- 28,422
Hivi Lincolin mwishoni alimuoa claudette au Lungi?Tena episodes za mwisho zilikuwa hovyo sana, ni bora imeisha...
So sad
Sichapa Maloi (Motlatsi Mafashe) sio Sessaba....Unaongelea Sebeko Gold Mine? Isindigo ishaisha sisi tuko nyuma ya muda waliamua kuimaliza kwasaabbu ilikuwa hailipi tena. Uwa nikitazama maisha ya Sessaba na Lincoln Sebeko kwenye tamthilia halafu nikawaza pesa wanayolipwa haifiki hata milion mbili kama main character nasema Yeeeh afadhali waendelee kuishi kwenye tamthlia
Yah main characters wanalipwa between 40,000 to 60000 Rs wakati wale helping characters 16000-25000 wa mwezi wale wanaojazia jazia 1500 - 2500 kila wakitokea au kupigiwa simu Rs.Sichapa Maloi (Motlatsi Mafashe) sio Sessaba....
wale wanalipwa chini ya two m!!???
duuh
Claudette, lungi alijichanganya ikala kwake mazimaHivi Lincolin mwishoni alimuoa claudette au Lungi?
Lungi angekuja nimuoe mimi tuClaudette, lungi alijichanganya ikala kwake mazima
....Hawa ndio walikuwa 'Isdingo'! ....hawa was Siku hizi ni was kupitisha jioni zetu tu...!!Nitammiss Baker,Brah G,Zebedee, Agnes,Vusi et al
.....Tena Kwa Mwezi, sio Per Episode?? Kweli INA Haki ya Kuishia....!!Yah main characters wanalipwa between 40,000 to 60000 Rs wakati wale helping characters 16000-25000 wa mwezi wale wanaojazia jazia 1500 - 2500 kila wakitokea au kupigiwa simu Rs.