Ishu ya Wilaya mpya ya Kisesa imeingia wapi

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Haloo JF najua kuna wajuzi wengi ndo maaana nineamua kuulizia humu kuhusiana na wilaya mpya ya Kisesa manake nasikia tayari watu washatwangana makonde kisa mapato

Nina kasehemu barabara ya Kisesa to Usagara kama mambo ni bam bam nijongee pande hizo
 
😂😂😂 Mwanza raha sana sasa itajumuisha sehemu zipi na zipi?
 
Akiruhusu tu kugawanywa na baadhi ya wilaya hasa za kanda ya ziwa, basi itakuwa chaos. Kuna watu wanataka mikoa yao igawanywe. Morogoro kusini wanataka mkoa wa Kilombero, Ruvuma kaskazini mashariki wanataka mkoa wa Tunduru, Tabora kaskazini wanataka mkoa wa Nzega. Kuna miji midogo inataka kupandishwa hadhi kuwa mamlaka ya mji yenye kuunda halmashauri. Mfano ni Tukuyu mkoani Mbeya, Ngaramtoni mkoani Arusha, Karatu Mkoani Arusha, Mbalizi mkoani Mbeya etc. Kama hatuko tayari kugharamia maeneo mapya ya kiutawala basi tuwe uniform. Sio tunakataza Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini lakini tunaruhusu Kanda ya Ziwa. Mimi sioni kama tuko tayari kugharamia maeneo mapya ya utawala. Tuache tuone serikali ya awamu ya 6 itakuwaje.
Lakini pia serikali inatakiwa kufuata ushauri wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Wizara ya fedha, Mamlaka ya mapato na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Sio tunaanzisha tu wilaya au mkoa just kwa maombi ya mabaraza ya madiwani au migogoro. Serikali ifuate ushauri wa kitaalam wa Taasisi zake.
 
Huo mkoa wa Songwe ulioanzishwa uko kanda ya Ziwa ?
 
Awamu ya tano ulikuta taratibu zote za kuanzisha mkoa wa Songwe zimekamilika. Walichofanya ilikuwa ni kuitangaza kwenye gazeti la serikali kama hatua ya mwisho ya kuanza kwa operation na establishment of public offices.
 
Halafu unagawa je wilaya ya Magu yenye nwgative growth of population wakati kuna wilaya kibao mikoani zenye wakazi zaidi ya laki 9 na positive growth of population?
 
kisesa inafaa kua jijini kabisa kwa hio ni jambo jema tu,ila kubaki magu inakua haikai sawa na magu yote kama halmshaur bado kuna vijiji vingi sana so yote haiwez kupelekwa jijini
 
Hiyo growth ingeachwa Magu then wakapewa hadhi nyingine kama vile halmashauri ya mji au manispaa in the future.
 
Awamu ya tano ulikuta taratibu zote za kuanzisha mkoa wa Songwe zimekamilika. Walichofanya ilikuwa ni kuitangaza kwenye gazeti la serikali kama hatua ya mwisho ya kuanza kwa operation na establishment of public offices.

Ilaishia wapi hiyo
Mambo meeeengi yamekaaa kisiasa nchi hii ngoja tuone kama nalo litapita kama upepo wa kisulisuli
 
Akiruhusu tu kugawanywa na baadhi ya wilaya hasa za kanda ya ziwa, basi itakuwa chaos. Kuna watu wanataka mikoa yao igawanywe. Morogoro kusini wanataka mkoa wa Kilombero, Ruvuma kaskazini mashariki wanataka mkoa wa Tunduru, Tabora kaskazini wanataka mkoa wa Nzega. Kuna miji midogo inataka kupandishwa hadhi kuwa mamlaka ya mji yenye kuunda halmashauri. Mfano ni Tukuyu mkoani Mbeya, Ngaramtoni mkoani Arusha, Karatu Mkoani Arusha, Mbalizi mkoani Mbeya etc. Kama hatuko tayari kugharamia maeneo mapya ya kiutawala basi tuwe uniform. Sio tunakataza Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini lakini tunaruhusu Kanda ya Ziwa. Mimi sioni kama tuko tayari kugharamia maeneo mapya ya utawala. Tuache tuone serikali ya awamu ya 6 itakuwaje.
Lakini pia serikali inatakiwa kufuata ushauri wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Wizara ya fedha, Mamlaka ya mapato na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Sio tunaanzisha tu wilaya au mkoa just kwa maombi ya mabaraza ya madiwani au migogoro. Serikali ifuate ushauri wa kitaalam wa Taasisi zake.

Kanda ya ziwa wanaweza kujiendesha huwezi kulinganisha nakanda ya hizo unazozitaja.
Mfano mkoa wa nzega, huo mkoa kuna chanzo gani cha pesa hapo chakulipa hata watumishi.

Bora hata morogoro ikiboreshwa itatoa hata gawio.
Sio kuanzisha anzisha tu,

Wanaangalia na chanzo cha pesa pia.
 
Back
Top Bottom