nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Tuthibitishie basi hilo la kutofuatwa taratibu kwa Maeneo mengineAwamu ya tano ulikuta taratibu zote za kuanzisha mkoa wa Songwe zimekamilika. Walichofanya ilikuwa ni kuitangaza kwenye gazeti la serikali kama hatua ya mwisho ya kuanza kwa operation na establishment of public offices.