Ni unyama wa hali ya juu!
Nimefatilia maelezo ya huyu msichana anayetajwa kubakwa na askari polisi Arusha, binafsi naona kuna mtiririko usiopinda au wa kubuni aliokuwa anasimulia huyu msichana, ingawaje suala lipo mahakamani ila naona kama kuna ukweli flani , mwanzoni nilifikiri walikuwa ni wapenzi na msichana kaamua kumgeuka na kumkomesha kumbe ni kinyume,anyway, mahakama itaamua, sikilizeni na nyie ....
Jitulize weweHuu ni uongo dhahiri field force kwa mrombo napajua vizuri sana. Huo uwanja anaousema haufiki hata mita20 kutoka barabarani sa hio ni sehemu ukipiga kelele usisike? Na mita kama 70 upande wa kambi kuna nyumba za askari wa ffu. No way this is a cooked story kwa hapo tu nimedharau
Wala hata jamaa simjui ni kutokana na masimulizi. Si ungi mkono ubakaji lakini kwa maelezo niliyoyasikia hapa something fishy is going on. Kapiga simu yeye kama yeye ikawa inaita tuu. Then kaamua kutembea akapotea kakutana na msamalia mwema kaomba simu apige wakati huo ya kwake ilokuwa kwenye mfuko wenye crips imekuwaje? Askari aliyefunzwa akupe kitambulisho akutane na watu anaowafahamu wanaomfahamu then eneo la wazi kama uwanja wa ffu usiokuwa na mti akubake? Does it make sense to you? Huo uwanja unaoongelewa ni uwanja wa mpira hauna hata nyasi ni vumbi tuu. Saa 2 upande wa kulia wa barabara wenye baa taa zote humulika hapo uwanjani hilo giza lilitoka wapi? Ni maswali. Ninayojiuliza tu mm. Lakini kama ni kweli kabakwa kama ni kweli basi a atendewe haki. Japo nina mashaka sana na situation hii. Na hii ni kutokana na maelezo ya mhusika.Jitulize wewe
Na rafiki yako ngoma imemfia
Sijui kaandika nini huyu member mwenzetu?Mshana ma ribs pls hahahaaa
Ukiona kuku KWA mganga shida rang yake
Uwezijua rangi ya binti ndio kivutio cha mganga kwikwi
Kumbe uwanja haujajificha?Wala hata jamaa simjui ni kutokana na masimulizi. Si ungi mkono ubakaji lakini kwa maelezo niliyoyasikia hapa something fishy is going on. Kapiga simu yeye kama yeye ikawa inaita tuu. Then kaamua kutembea akapotea kakutana na msamalia mwema kaomba simu apige wakati huo ya kwake ilokuwa kwenye mfuko wenye crips imekuwaje? Askari aliyefunzwa akupe kitambulisho akutane na watu anaowafahamu wanaomfahamu then eneo la wazi kama uwanja wa ffu usiokuwa na mti akubake? Does it make sense to you? Huo uwanja unaoongelewa ni uwanja wa mpira hauna hata nyasi ni vumbi tuu. Saa 2 upande wa kulia wa barabara wenye baa taa zote humulika hapo uwanjani hilo giza lilitoka wapi? Ni maswali. Ninayojiuliza tu mm. Lakini kama ni kweli kabakwa kama ni kweli basi a atendewe haki. Japo nina mashaka sana na situation hii. Na hii ni kutokana na maelezo ya mhusika.
Wala hata jamaa simjui ni kutokana na masimulizi. Si ungi mkono ubakaji lakini kwa maelezo niliyoyasikia hapa something fishy is going on. Kapiga simu yeye kama yeye ikawa inaita tuu. Then kaamua kutembea akapotea kakutana na msamalia mwema kaomba simu apige wakati huo ya kwake ilokuwa kwenye mfuko wenye crips imekuwaje? Askari aliyefunzwa akupe kitambulisho akutane na watu anaowafahamu wanaomfahamu then eneo la wazi kama uwanja wa ffu usiokuwa na mti akubake? Does it make sense to you? Huo uwanja unaoongelewa ni uwanja wa mpira hauna hata nyasi ni vumbi tuu. Saa 2 upande wa kulia wa barabara wenye baa taa zote humulika hapo uwanjani hilo giza lilitoka wapi? Ni maswali. Ninayojiuliza tu mm. Lakini kama ni kweli kabakwa kama ni kweli basi a atendewe haki. Japo nina mashaka sana na situation hii. Na hii ni kutokana na maelezo ya mhusika.