Is Tundu Lissu a Moderate?

Is Tundu Lissu a Moderate?

Wewe ulitaka asimamie nini zaidi ya kusimamia utawala wa sheria na ndio ajenda ya watanzania
Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC

Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

TUNDU LISU ana SERA GANI?ANASIMAMIA NINI?JE ANATAKA KWELI KUWA RAIS WA HII NCHI?ANAO UWEZO WA KUWA RAIS WA HII NCHI?
Tuache masihara na cheo cha Urais sio cheo cha Mchezo Mchezo kusema kwamba tunampa mtu kwa sababu tu alipigwa RISASI bila kujua hasa ni nini anachokisimamia na nini anachokiamini

Nimeshangazwa sana na namna anavyozungumza na misimamo yake kuhusu maswala ya msingi haieleweki.Naona kama Tundu Lisu ameshakuwa addicted na Upinzani kiasi kwamba thinkinga yake iko katika kukosoa na kuhoji na kupinga na sio kupanga na kutekeleza maswala yenye maslahi

Niwaulize CHADEMA na TUNDU LISSU MWENYEWE JE Unautaka Urais ILI nini?KWELI unautaka Urais au unataka kugombea Urais?
 
Huu kama siyo ufisadi ni nn? Chama mpaka leo hakina jengo lake lenyewe, wanapanga ili kujustify matumizi.

Hii nchi haipo desperate kiasi hicho, mpaka eti Tundu Lissu aje kufanya majaribio ya kuongoza. Kama mnataka kumjaribu si mumpe hiko chama chenu? Maana kina matatizo mengi kuliko ya nchi. Mbona hamthubutu kumpa mnamng'ang'ania mbowe mwaka wa 20 huu. Nyinyi mnamuona hatoshi kuongoza chama chenu halafu mnataka kutupa galasa lije liongoze nchi.

Serikali ya awamu ya 5 imefanya mengi kwa kipindi kifupi mpaka tumefikia uchumi wa kati. Sasa tunamuhitaji Tundu Lissu aje afanye nn? Dunia nzima itatushangaa kwa uwendawazimu huu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
1.mkuu ni vizuri uache upotoshaji Tumaini makene alishakuja humu na kutolea ufafanuzi kuwa Jengo la ufipa limenunuliwa toka 2012 na la jirani yake limenunuliwa Mwaka huu Mnyika alipoingia madarakani sasa ni lini CHADEMA wamepanga? Kwanini unapotosha umma?

2. Ushawahi sikia kiongozi wa Democrat au Republican amekuwa Rais. Lissu alishapewa Urais wa TLS na sasa ni makamu wa Mbowe ina maana akistaafu ni second in commanda. Alikuwa Minority whip je uongozi gani hajaaminiwa? Magufuli hakuwahi kuwa hta katibu wa ccm ngazi ya kata ila alipewa urais??

3. Eti uchumi wa kati hakuna haja ya Lissu? Kwahiyo Nyerere asingewatoa wazungu kisa tu walijenga miundombinu kma reli,bandari, vyuo n.k? Funny
 
1. Mkuu jikite kwenye hoja nmekwambia ukisoma ripoti ya CAG kurasa kuanzia 30 anaeleza jinsi pesa iliypelekwa sio MAKADIRIO ikifika wizarani inapelekwa kwa matumizi mengine zaidi ya 58% hasa bajeti ya maendeleo je hapo huoni bunge linadharauliwa? Je haki na madaraka ya bunge yapo considered kweli? Naomba unipe jibu. Mfano mwingine bajeti ya ofisi ya CAG/NAO inapangwa na kamati ya bunge sio wizara nakumbuka 2017 ilitengwa billion 80 lakini serikali kwenye bajeti kuu ikatenga billion 40 pekee almost nusu ilikatwa sasa hapo bunge haliingiliwi mamlaka?

2. Hati safi maana yake madeni na mali yamekaguliwa sasa kma deni limeandikwa na CAG kathibitisha sio deni hewa bali kweli Mbowe alikopesha je CHADEMA wanatumia mbinu gani kumdanganya CAG? Mbona 2017 aligundua gari lililonunuliwa na CHADEMA halikua kwa ajili ya chama bali mtu binafsi? Yaani basis ya madai yako ni ipi kwa hyo variation ya 2017 na 2019?

3. Unakumbuka ripoti ya kamati ya Tanzanite? Kwanni iliwasilishwa kwa Rais na sio bungeni ili wapitishe maazimio kwa ajili ya utekelezaji serikalini? Mwisho wa siku wote tunafahamu hakuna hata mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa wala pendekezo la mikataba kupita kamati za bunge kufanyiwa kazi?
Jitahidi sana kujifunza mambo kwa undani kabla ya kukurupuka kuelezea vitu ambavyo huvielewi.

Hakuna Wizara ambayo inaweza kutumia fedha nje ya Bajeti iliyotengewa. Kinachofanyika ni kitu kinachoitwa re allocations. Yaani unahamisha fedha zilizotengwa kwa ajili ya jambo fulani unapeleka sehemu nyingine. Utaratibu huu upo kisheria. CAG anapokagua akikuta hivyo, anaandika kwenye taarifa yake anaipeleka Bungeni. Kazi ya Bunge kupitia Kamati ya PAC ni kuihoji Serikali ili itoe ufafanuzi, Kamati ikiridhika hiyo hoja inakua imeishia hapo. Sasa nyinyi mnaposoma taarifa za CAG mnazichukulia kama ndo final, wakati zinakwenda kujadiliwa kwa ajili ya kutolewa ufafanuzi na Serikali Bungeni.

Kuhusu madai ya mbowe, CAG haidhinishi madai wanaoidhinisha madai ni bodi ya chama. CAG yeye anakagua kilicholipwa kwa kuzingatia taratibu za kihasibu. Sasa yeye anawezaje kujua kama bodi iliidhinisha madai ambayo siyo halali. Tena anakuta taarifa inasema wakati wa Uchaguzi tulinunua magari, Spika za matangazo, kulipa posho kwa wajumbe n.k. Lakini hizo fedha zote zinaenda kwa mbowe kwa madai kwamba alikikopesha chama kufanya yote hayo.Ndo maana TAKUKURU wameenda kujiridhisha, tusubiri taarifa yao.

Kamati iliyoundwa kuchunguza Tanzanite, haikuundwa na Bunge. Hivyo, taarifa yake haiwezi kujadiliwa Bungeni. Kamati ile iliundwa na Spika baada ya kuombwa na Mhe. Rais. Ndo maana baada ya kukamilisha kazi yake taarifa yao waliikabidhi moja kwa moja Serikalini. Taarifa za Kamati zinazojadiliwa na Bunge ni zile ambazo ziliundwa kutokana na Maazimio ya Bunge kwa mfano, Kamati iliyoundwa kuchunguza ESCROW na ile ya RICHMOND. Taarifa zake zote zilijadiliwa Bungeni kwasabb Bunge ndo liliazimia kuziunda ili kulisaidia kufanya maamuzi ya kuishauri na kuisimamia Serikali.
 
1.mkuu ni vizuri uache upotoshaji Tumaini makene alishakuja humu na kutolea ufafanuzi kuwa Jengo la ufipa limenunuliwa toka 2012 na la jirani yake limenunuliwa Mwaka huu Mnyika alipoingia madarakani sasa ni lini CHADEMA wamepanga? Kwanini unapotosha umma?

2. Ushawahi sikia kiongozi wa Democrat au Republican amekuwa Rais. Lissu alishapewa Urais wa TLS na sasa ni makamu wa Mbowe ina maana akistaafu ni second in commanda. Alikuwa Minority whip je uongozi gani hajaaminiwa? Magufuli hakuwahi kuwa hta katibu wa ccm ngazi ya kata ila alipewa urais??

3. Eti uchumi wa kati hakuna haja ya Lissu? Kwahiyo Nyerere asingewatoa wazungu kisa tu walijenga miundombinu kma reli,bandari, vyuo n.k? Funny
Yaani wewe kutokana na ushabiki wako. Unajikuta unashindwa kuwaza nje ya Box na utaendelea kushikiwa akili hivi hivi.

Hivi ile Ofisi ya CHADEMA ina hadhi kweli ya kuitwa Ofisi ya chama Kikuu cha Upinzani? Ukilinganisha na ruzuku wanayopata pamoja na fedha za wahisani wanazopokea? Eti Jengo limenunuliwa juzi baada ya Mnyika kuingia madarakani. Siku zote walikua wapi? Hizi propaganda za Makene ndo unataka kutuaminisha hapa, unadhani nasisi ninwafia chama kama wewe.

Kwa akili yako ndogo inavyokutuma unaweza kulinganisha uzoefu wa magufuli na huyo kichaa wenu Lissu? Magufuli ameserve kwenye Serikali kwa zaidi ya Miaka 20 akiwa Waziri ambae anahudhuria na kushiriki kwenye vikao vyote vya juu vinavyofanya maamuzi ya nchi (Cabinet). Ina maana anajua vizuri sana namna serikali inavyoendeshwa. Kutokana na uzoefu huo, ndo maana ameweza kufanya mambo makubwa sana kwa kipindi kifupi cha utawala wake. Sasa Lissu na TLS yake ambayo ameserve kwa mwaka mmoja tu anaweza kuwa na uzoefu wa kuendesha nchi? Majukumu ya TLS yanafanana na majukumu ya kuendesha nchi? Au kuwa chief whip kusimamia wabunge wa chama chake wasiozidi 60 kunaweza kumpa uzoefu wa kuendesha nchi? Nyie watu hebu kuweni serious kidogo.

Unazungumzia Nyerere kuwaondoa wakoloni. Nyerere alichokipigania ni uhuru wa kujitawala na kufanya mambo yetu wenyewe bila kuamuliwa au kuingiliwa na mtu. Hakuwaondoa wakoloni kisa walijenga Miundombinu. Sasa nyinyi mnataka kuiondoa Serikali iliyopo madarakani ili mje mfanye nini? Mna ajenda gani? Mna sera gani? Kama chama tu kimewashinda kukiendesha ndo mtaweza kuendesha nchi? Hebu tuondoleeni ndoto zenu za abunuasi hapa.
 
Mkuu mie nmekuuliza maswali kwa vidhibiti wewe tangu unaanza unaongea upotoshaji.... Chadema haina sera? Sera ya ugatuzi umeisikia? Sera ya soko huria huijui ambapo Tz iwe private sector- driven economy? Kweli mkuu unaingia kwenye mjadala unadai CHADEMA haina sera? Vile vitabu vya sera toleo la 2017 hujavisoma? Hvi unakujaje kwenye mjadala huna data?

2. Mkuu nmesema jengo limenunuliwa toka 2012 na Jengo la pili yaani plot ya mkabala imenunuliwa na Mnyika sasa nimekuuliza ni lini CHADEMA wamepanga naomba unijibu kwanza? Kwanini unapotosha?

3. Bado huipati point, wewe unasema Lissu hawezi kuwa Rais sababu hajawahi ongoza hata chama chake ndio nkakuuliza ni lini magufuli amewahi kuwa kiongozi ndani ya CCM? Mbona hujibu hili swali? Mie nakujibu kutokana na hoja zako usikimbie

4. Kuhusu Nyerere nimejenga hoja kwamba kma issue ni barabara na madaraja kwanini awatoe wakoloni ilihali waliyafanya yote hayo? Point yangu ni kwamba UONGOZI ni bora kuliko UTENDAJI ndio maana Moi, Kagame, Idd Amin, Gadaffi licha ya kuzipaisha kiuchumi nchi zao ila bado waling'olewa. Au unataka kusema Magufuli kamzidi maendeleo hata Kagame tu?

5. Inaonekana pia elimu yako ni shida kidogo uchumi wa kati sio kwa industrialization au kuwa emerging marketkma Kenya au Sauzi ila sisi tumewekwa pale sababu ya GNI kuvuka average iliyowekwa ila haina maana ni actual figures za wananchi. Ile ni hesabu ya wastani tu ila waki factor in Human Development Index inayopima mpaka regional disparities ama Uchumi jumuishi hatuwezi fika popote. Tusipotoshe kisa elimu yetu ni darasa la 7 mambo ya utaalamu tusiingize siasa. Najua hata formula ya GNI huijui. Embu jiulize Zimbabwe nayo ni uchumi wa kati kma Tanzania!! Nchi ambayo uchumi wake unakuwa kwa negative figures!! Unachekesha
 
Jitahidi sana kujifunza mambo kwa undani kabla ya kukurupuka kuelezea vitu ambavyo huvielewi.

Hakuna Wizara ambayo inaweza kutumia fedha nje ya Bajeti iliyotengewa. Kinachofanyika ni kitu kinachoitwa re allocations. Yaani unahamisha fedha zilizotengwa kwa ajili ya jambo fulani unapeleka sehemu nyingine. Utaratibu huu upo kisheria. CAG anapokagua akikuta hivyo, anaandika kwenye taarifa yake anaipeleka Bungeni. Kazi ya Bunge kupitia Kamati ya PAC ni kuihoji Serikali ili itoe ufafanuzi, Kamati ikiridhika hiyo hoja inakua imeishia hapo. Sasa nyinyi mnaposoma taarifa za CAG mnazichukulia kama ndo final, wakati zinakwenda kujadiliwa kwa ajili ya kutolewa ufafanuzi na Serikali Bungeni.

Kuhusu madai ya mbowe, CAG haidhinishi madai wanaoidhinisha madai ni bodi ya chama. CAG yeye anakagua kilicholipwa kwa kuzingatia taratibu za kihasibu. Sasa yeye anawezaje kujua kama bodi iliidhinisha madai ambayo siyo halali. Tena anakuta taarifa inasema wakati wa Uchaguzi tulinunua magari, Spika za matangazo, kulipa posho kwa wajumbe n.k. Lakini hizo fedha zote zinaenda kwa mbowe kwa madai kwamba alikikopesha chama kufanya yote hayo.Ndo maana TAKUKURU wameenda kujiridhisha, tusubiri taarifa yao.

Kamati iliyoundwa kuchunguza Tanzanite, haikuundwa na Bunge. Hivyo, taarifa yake haiwezi kujadiliwa Bungeni. Kamati ile iliundwa na Spika baada ya kuombwa na Mhe. Rais. Ndo maana baada ya kukamilisha kazi yake taarifa yao waliikabidhi moja kwa moja Serikalini. Taarifa za Kamati zinazojadiliwa na Bunge ni zile ambazo ziliundwa kutokana na Maazimio ya Bunge kwa mfano, Kamati iliyoundwa kuchunguza ESCROW na ile ya RICHMOND. Taarifa zake zote zilijadiliwa Bungeni kwasabb Bunge ndo liliazimia kuziunda ili kulisaidia kufanya maamuzi ya kuishauri na kuisimamia Serikali.
1. Mie nimekutajia mpaka ukurasa wa ripoti ya CAG ina maana hakujua ipo kisheria hadi alaumu kuwepo uzembe?? Hvi mbona wanasiasa mnaingilia utaalamu? Kingine ukopaji uliwekwa kikomo na bunge ila bado serikali ilikopa zaidi!! Kwanini hiyo serikali isirudi bungeni kuomba idhini ikope zaidi kuliko kimya kimya? Huoni bunge lilipokwa mamlaka yake?

2. Mkuu usipotoshe nakumbuka hata Rais siku hiyo aliomba wapitie muswada wa sheria ya mapato ya gesi wa 2015 sasa kivipi mabadiliko ya sheria yalipoombwa spika akaazimia uletwe bungeni upitiwe eti ila kamati ndio ikaripoti kwa Rais pekee!! Huoni double standard hapo

3. Sasa CAG alijuaje kuwa gari lililonunuliwa na chama lilikua la mtu binafsi ilihali document zote zilikuwa za makao makuu ya chama? Au aliingilia majukumu ya bodi? Unajua huwa mnaongea tu bila kureason. Yaani kwenye gari alikagua ila kwa Mbowe eti kaangalia tu taratibu za uhasibu!!!
 
Lissu ni muumini Mzuri wa utawala wa sheria...na ndicho anachokisimamia leo na milele.

Ni kiongozi mzuri, na watanzania wanamkubali....

Ingependeza ikisomeka hivi :-
Lissu ni muumini Mzuri wa utawala wa sheria...na ndicho anachokisimamia leo na milele.

Ni kiongozi mzuri, na wapo watanzania wanaomkubali....

vinginevyo unawapandikizia wengine maneno.
 
Matatizo ya wa Tanzania ni uchumi.
Ataleta Telex ngapi kwa wachimba dhahabu? Ataleta akina Lazier wangapi kwenye Tanzanite?
Atajenga mabwawa ya umeme wapi na kwa pesa IPI?
Kiwanda cha chuma , cement na vigae atazalisha Tani ngapi?
Kwenye kilimo atafungua viwanda vingapi vya mbolea na soko la chakula ataliwezeshaje?
Haya ni maswali yanayohitaji majibu.
Asituzuge na porojo za wanasheria.
Hakuna mwanasiasa atashindwa kujibu hayo maswali mepesi.
Hayo maswali yanajibiwa na DIWANI viti maalumu
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC

Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

TUNDU LISU ana SERA GANI?ANASIMAMIA NINI?JE ANATAKA KWELI KUWA RAIS WA HII NCHI?ANAO UWEZO WA KUWA RAIS WA HII NCHI?
Tuache masihara na cheo cha Urais sio cheo cha Mchezo Mchezo kusema kwamba tunampa mtu kwa sababu tu alipigwa RISASI bila kujua hasa ni nini anachokisimamia na nini anachokiamini

Nimeshangazwa sana na namna anavyozungumza na misimamo yake kuhusu maswala ya msingi haieleweki.Naona kama Tundu Lisu ameshakuwa addicted na Upinzani kiasi kwamba thinkinga yake iko katika kukosoa na kuhoji na kupinga na sio kupanga na kutekeleza maswala yenye maslahi

Niwaulize CHADEMA na TUNDU LISSU MWENYEWE JE Unautaka Urais ILI nini?KWELI unautaka Urais au unataka kugombea Urais?
Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

***************
Andoza niliwahi kupita kwenye maandishi haya haya Kama komenti yangu kwenye moja ya nyuzi humu.

Afadhali Bernard Membe anazo presidential qualities kuliko huyu "roporopo" yamkini kuna siku kwenye kampaini ataamua kubaki na boxa ili kutuaminisha kwamba yeye anashahili kuwa Rais sio kwa sera Bali kwa madhila aliyoyapata.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC

Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

TUNDU LISU ana SERA GANI?ANASIMAMIA NINI?JE ANATAKA KWELI KUWA RAIS WA HII NCHI?ANAO UWEZO WA KUWA RAIS WA HII NCHI?
Tuache masihara na cheo cha Urais sio cheo cha Mchezo Mchezo kusema kwamba tunampa mtu kwa sababu tu alipigwa RISASI bila kujua hasa ni nini anachokisimamia na nini anachokiamini

Nimeshangazwa sana na namna anavyozungumza na misimamo yake kuhusu maswala ya msingi haieleweki.Naona kama Tundu Lisu ameshakuwa addicted na Upinzani kiasi kwamba thinkinga yake iko katika kukosoa na kuhoji na kupinga na sio kupanga na kutekeleza maswala yenye maslahi

Niwaulize CHADEMA na TUNDU LISSU MWENYEWE JE Unautaka Urais ILI nini?KWELI unautaka Urais au unataka kugombea Urais?
Lumumba mmejawa sana na Hofu Tangia Huyu Mtu mliyetaka afe Kinyama arudi nchini
 
1. Mie nimekutajia mpaka ukurasa wa ripoti ya CAG ina maana hakujua ipo kisheria hadi alaumu kuwepo uzembe?? Hvi mbona wanasiasa mnaingilia utaalamu? Kingine ukopaji uliwekwa kikomo na bunge ila bado serikali ilikopa zaidi!! Kwanini hiyo serikali isirudi bungeni kuomba idhini ikope zaidi kuliko kimya kimya? Huoni bunge lilipokwa mamlaka yake?

2. Mkuu usipotoshe nakumbuka hata Rais siku hiyo aliomba wapitie muswada wa sheria ya mapato ya gesi wa 2015 sasa kivipi mabadiliko ya sheria yalipoombwa spika akaazimia uletwe bungeni upitiwe eti ila kamati ndio ikaripoti kwa Rais pekee!! Huoni double standard hapo

3. Sasa CAG alijuaje kuwa gari lililonunuliwa na chama lilikua la mtu binafsi ilihali document zote zilikuwa za makao makuu ya chama? Au aliingilia majukumu ya bodi? Unajua huwa mnaongea tu bila kureason. Yaani kwenye gari alikagua ila kwa Mbowe eti kaangalia tu taratibu za uhasibu!!!
Hapa naona nafukuzana na upepo. Unaleta ubishi wa kitoto wakati uelewa wako ni mdogo. Nimekuambia jitahidi kujifunza kwanza usikurupuke kujibu vioja badala ya hoja.

Kutaja ukurasa wa taarifa ya CAG haimaanishi kwamba umejibu hoja. Kwanza elewa taarifa za CAG huwa zinalenga nn? End - Consumer wake ni nani? Usikurupuke kujifanya unachambua taarifa ya CAG wakati hujui utaratibu wake upoje. Ukitaka kusoma taarifa ya CAG uielewe vizuri, unatakiwa kusoma pia na taarifa ya Kamati ya PAC (ambayo inaongozwa na upinzani) ambayo huchambua taarifa ya CAG na kutoa maoni yake, baada ya kusikiliza pande zote ambazo zimeguswa kwenye taarifa hiyo. Nyinyi mnadandia hoja za CAG ambazo mwisho wa siku Bunge likichambua na kuwaita wahusika kutoa ufafanuzi zinakua zimeisha nyinyi huku mitandaoni mnaziendeleza kama ile ya 1.5T.

Kuhusu ukomo wa Serikali kukopa, Bunge halina mamlaka ya kuweka ukomo wa Serikali kukopa. Lini na wapi ulisikia Bunge limeiwekea ukomo Serikali kukopa? kwa sheria ipi? Nikikuambia una uelewa mdogo ni kutokana na hoja za kijinga kama hizi unazoleta hapa.

Kazi ya Bunge ni kutunga Sheria, sasa ulitaka Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesi Asilia ujadiliwe na nani kama siyo na Bunge. Lakini taarifa ya Kamati teule haiwezi kujadiliwa na Bunge kwasbb Kamati Ile haikuundwa kwa azimio la Bunge bali iliundwa na Spika kwa ombi la rais, na baada ya kukamilika taarifa yake ilikabidhiwa kwa aliyeiomba. Sasa hapo double standard iko wapi? Au ni tatizo lako la uelewa. Kasome Kanuni za Bunge uelewe, unachanganya mambo halafu hutaki kujifunza.

Unapozungumzia gari la Chadema ambalo lina usajili wa mtu binafsi na bodi ya chama kuidhinisha madai ya mbowe, huoni kama umechanganya kinyesi na mkojo? Yaani hata hujui unaongelea nni? CAG aliweka hiyo hoja ya gari kwasbb utaratibu upo wazi kabisa, kwamba Mali za chama lazima ziwe kwa jina la chama. Sasa nyinyi mkajichanganya kwenye matumizi yenu mkaweka na hilo gari kwamba limenunuliwa kwa ruzuku ya Chama, CAG alipochunguza akagundua limesajiliwa kwa jina la mtu binafsi. Lakini asingeweza kujua kwamba fedha zilizotumika kugharamia uchaguzi na uendeshaji wa chama, kumbe analipwa mbowe. Kwasbb nyaraka alizopewa hazionyeshi hivyo.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Matatizo ya wa Tanzania ni uchumi.
Ataleta Telex ngapi kwa wachimba dhahabu? Ataleta akina Lazier wangapi kwenye Tanzanite?
Atajenga mabwawa ya umeme wapi na kwa pesa IPI?
Kiwanda cha chuma , cement na vigae atazalisha Tani ngapi?
Kwenye kilimo atafungua viwanda vingapi vya mbolea na soko la chakula ataliwezeshaje?
Haya ni maswali yanayohitaji majibu.
Asituzuge na porojo za wanasheria.
Ongeza na haya,
Watanzania wanahitaji Huduma Bora za Afya,
Watanzania Wanahitaji Huduma za Umeme wa uhakika na Maji safi,
Maslahi ya Watumishi wa umma vipi?
Wanahitaji kuona uhakika wa watoto wao kwenda shule na kupata Elimu bora,
Wanahitaji kuona Miundombinu ya Usafirishaji inaimarishwa ili wasafirishe mazao ya Kilimo, pia wanahitaji masoko ya Uhakika ya Mazao yao,
Vijana wengi hawana ajira, wanahitaji kusikia Sera zitakazowafanya wapate Ajira,

Hayo mambo ya Katiba ni ya Wanasiasa na Wapinzani wanatafuta namna ya kupata maharaka, si mahitaji ya Wananchi walio wengi,

It only takes common sense kuyaelewa haya, Achana na Hawa wendawazimu humu mitandaoni wamejaa mihemko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lisu Hana sera zaidi ya kubweka Sheria tu ukimtoa kwenye Sheria kichwani mweupe Hana kitu anadhani nchi inachohitaji Ni Sheria tu
Nchi inahitaji Sheria, But zaidi Nchi inahitaji Maendeleo, Hatuwezi kuwa na watu karne hii wanaishi kwenye nyumba za tembe halafu mwendawazimu mmoja anaenda kuhubiri Katiba mpya, for gods sake that's madness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu,Laiti ungelijua msingi wa swali langu na kuelewa mantiki yangu na wewe ungeuliza swali hilo hilo.Kama umemsikiliza Tundu Lissu vizuri kwa aina ya maswali na aina ya majibu utaona kwa nini nimeuliza swali hili la muhimu na ni kwa nini ni muhimu uelewa kama TAL ni moderate.

Subiri baada ya matokeo uje uusome huu uzi utakuwa umeshaelewa
Unapoteza Muda wako mkuu,
Hii Mitandao imejaa emotional driven immature fellows, huwa sijihusishi nao mara nyingi. Wastage of time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom